and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Huwezi jua anajipanga vipi, Watu wana akili na malengo tofauti, Kuna mtu ana millions za pesa anaendesha escudo old model plate number A.Kuna mjeshi nimesoma nae yuko hapo chalinze ana nyumba ya slope..na anaendaga sana congo...unaielewa slope? Ni zile nyumba ambazo haina haja ya ramani...unajenga tu mradi upate chumba na korido kama jengo la shuleđźš®