Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Hayo maisha mazuri gani wamejaa mikopo tupu kila benki wamekopa mpaka benki ya walemavu, kiujumla ni washamba sana
Elimu yake na huyo trafiki haiwezi kutofautiana; pia wote malimbukeni.Huyu mwanajeshi ni mshamba sana,inaonekana pia elimu ndogo sana imechangia hiyo tabia yake
Elimu yake na huyo trafiki haiwezi kutofautiana; pia wote malimbukeni.
Alisimamishwa kwa kuwa hakuwa kavaa sare za jeshi.
Kaka unafikiri natania? Unazijua ajira ambazo ukimaliza kidato cha nne kuna uwezekano wa kuzipata? Unazijua ajira ambazo ukimaliza kidato cha sita unaweza kuzipata? Unazijua ajira ambazo ukimaliza degree, masters, n.k unaweza kuzipata? Basi hao wote ni takataka kwa wanajeshi ukiwa tu unafikiria sawasawaKweli Wana maisha mazuri lakin sio kuliko watumishi wote (wewe umewaita takataka,),nimesema watumishi kwakua nao ni watumishi wa umma sio wafanyabiashara
Hii mbuzi inaongea nini? Unayajua maisha mazuri wewe? Maisha mazuri ya kunyenyekea kama mtoto?Wanajeshi wana maisha mazuri kuliko takataka yoyote Tanzania. Tatizo linakuja unavyoyatazama wewe
Elimu ndo upumbavu gani wewe, na elimu yako hiyo hata iwe kubwa vipi ni takataka kwa askari yoyote TanzaniaHuyu mwanajeshi ni mshamba sana,inaonekana pia elimu ndogo sana imechangia hiyo tabia yake
Kwenye matusi hata huniwezi shosti achana nayo. Ukiambiwa wanajeshi wana maisha mazuri ni lazima walipwe mshahara sawa na makatibu wakuu? Mshahara sio kipimo cha maisha boraHii mbuzi inaongea nini? Unayajua maisha mazuri wewe? Maisha mazuri ya kunyenyekea kama mtoto? Sina uhakika kama kuna mwanajeshi anapokea 10M, wakati wapo watanzania wengi tu hiyo ni hela ya andazi asubuhi,
Sijui unapozungumzia kuliko yoyote unamlinganisha na nani!!?
Mbuzi tu, kapige kwata huko, kujitutumua tu wakati mnanuka mikopo mitupu!!
Ndio maana nikasema angevaa sare asingesimamishwa. Magari yanayoongoza kwa kuvunja sheria za usalama barabarani ni magari ya serikali.Ni utamaduni Tu umejengeka but ni Jambo la kishamba,
Elimu inakuwaje takataka? Kama utakuwa jeshini basi mwenyezi Mungu atusaidie.Elimu ndo upumbavu gani wewe, na elimu yako hiyo hata iwe kubwa vipi ni takataka kwa askari yoyote Tanzania
Nilijua tu hiki kiburi kimefanywa na mjeda. Raia wa kawaida hawezi kufanya vile. Alafu alikuwa amebeba dem. Madem huponza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] PoleWanajeshi wana maisha mazuri kuliko takataka yoyote Tanzania. Tatizo linakuja unavyoyatazama wewe
Yani kulipwa milioni 50 ndio kipimo cha maisha mazuri? Mikopo ni kila kitu hata huyo anayelipwa hiyo pesa ana mikopo kibao.Maisha gani mazuri!!ya kawaida sana,
Hivyo vimikopo ndio vinawavimbisha vichwa?
Huwezi kuwalinganisha na wahandisi vijana waliopo UN,USAID,migodini,hata pale Helios tower,Kuna watu wanavuta mpunga mrefu kuliko hata wabunge,
Niambie mjeda gani anavuta 50Milioni kwa mwezi?mgodini wapo kibao Tena vijana tu.
Mtaelewa tu kaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pole
Mpuuze tuMaisha gani mazuri!!ya kawaida sana,
Hivyo vimikopo ndio vinawavimbisha vichwa?
Huwezi kuwalinganisha na wahandisi vijana waliopo UN,USAID,migodini,hata pale Helios tower,Kuna watu wanavuta mpunga mrefu kuliko hata wabunge,
Niambie mjeda gani anavuta 50Milioni kwa mwezi?mgodini wapo kibao Tena vijana tu.
Hawa JWTZ ni wapuuzi sana, huwa wanajifanya wako juu ya sheria san katika watu nawachukia ni hawa jamaaJwtz bado baadhi wana ushamba sana, gari lenyewe la miaka ya 90 ndio anafanyia watu dharau
Ulimbukeni tu,haya maisha ukikaa utafakari ndio maana baadhi ya watu hawapewi maisha mazuri, Mungu anajuaga kabisa
Pamoja na Mikopo ya nyumba na magari wanayopewa?Unaita watu takataka ? Mimi nimezaliwa jeshini na ninaandika hapa nikiwa kambini, hawana pesa
Angekuwa na pesa asingeendesha hilo li Nissan la miaka ya 90
Maisha mazuri yapi? Ya kuweza kubadili milo?Wanajeshi wana maisha mazuri kuliko takataka yoyote Tanzania. Tatizo linakuja unavyoyatazama wewe
Huna akiliWanajeshi wana maisha mazuri kuliko takataka yoyote Tanzania. Tatizo linakuja unavyoyatazama wewe
Na kudhulumu, jamaa ni wadhulumaji sanaHayo maisha mazuri gani wamejaa mikopo tupu kila benki wamekopa mpaka benki ya walemavu, kiujumla ni washamba sana