FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Mfano mtu umeenda benki, umekuta watu wamekaa kwenye foleni, na wewe kwa ustaarabu unaamua kuunga foleni kusubiria huduma.
Unakaa foleni lisaa lizima linakatika ukisubiria huduma, halafu anakuja njemba na miharaka haraka yake linaenda mbele kabisa badala ya kuunga foleni nyuma na kama utaratibu unavyotaka.
Sasa hili swala linakera, hivyo unaamua kuomba muongozo wa askari aliyepewa jukumu la kusimamia utaratibu, na anaenda kwa muhusika kumuelekeza utaratibu wa foleni jinsi ulivyo, sasa badala ya kutekelezwa kwa utaratibu yule njemba anaamua tu kuketa ubabe, anagoma.
Sasa basi, ikabidi wadau tuulize kulikoni? Eti kala kadada kanajibu mi nimeshamuelekeza yeye hataki, mi nifanyeje sasa? Heeee, nikamuuliza, wewe si ndio umepewa mamalaka ya kusimamaia utaratibu, unashindwaje kusimamia jukumu lako!? Kanatoa macho tu, nikataka nikawashe kibao!
Kwahiyo hata jambazi akija benki kuiba mtamuomba afuate utaratibu kwa kujaza fomu? Na akikataa huyo jambazi mtamuacha tu achukue fedha jinsi anavyotaka?
Nikamfuata askari wa kiume, machine gun nzito mkononi, ile njema kabla hata hajafikiwa na kamanda, akajiongeza, akarudi nyuma kabisa!!
Askari wa kike kwenye mabenki ni useless garbage!!!