Askari wa kike kwenye maofisi hasa mabenki, ni dhaifu mno!

Sasa wewe ulitaka huyu askari afanyeje ampige lisasi au? Jamii umekosa ustarabu civilization toka nyumbani kwetu sioni kama askari analosa lolote hapo nyie wengi mge muelimisha huyu jama jinsi ya kuishi na jamii
Askari alipaswa baada ya kumwambia njemba na kukataa akamueleze cashier kwamba hakuna kumpa huduma huyo njemba mpaka arudi nyuma akaunge foleni, mbona simple tuu...
 
Safi kabisa, kama protocal inasema hivyo basi afanye hivyo!!
 
Sasa wewe ulitaka huyu askari afanyeje ampige lisasi au? Jamii umekosa ustarabu civilization toka nyumbani kwetu sioni kama askari analosa lolote hapo nyie wengi mge muelimisha huyu jama jinsi ya kuishi na jamii
Hii tabia ya kulaumu laumu ya ajabu sana. Wenyewe walioko kwenye foleni wangemkazia huyo jamaa mbona angenyooka tu kilaini.
 
Pengine hujanielewa mkuu, kuchua hatua sio kwa kumpiga. Lilikuwa ni jambo la kumjulisha yeye afuate utaratibu, mkipaza sauti lazima angetoka hapo, angeamua kuondoka au kurudi nyuma. Sehemu yenye raia kuanzia 10 na kuendelea mtu mmoja hawezi kuwazidi hata awe baunsa kiasi gani.
Labda kama raia wenyewe ndio hao wanao umia kimya kimya bila kupaza sauti!
 
Back
Top Bottom