FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #81
Sawa, hata jambazi wamwache aibe tu, maan ugomvi si mzuriHawataki kuanzisha ugomvi ndani...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, hata jambazi wamwache aibe tu, maan ugomvi si mzuriHawataki kuanzisha ugomvi ndani...
Ukiiba bank kuna special unit inakuja kukutight siyo huyo unayemuona anasimamia foleni...Sawa, hata jambazi wamwache aibe tu, maan ugomvi si mzuri
Mijitu ya hivyo na mimi huwaga naitoa nishai kinyama,sipendagi dharau kabisa,kuna broo mmoja na mtambitambi wake alijifanya anakaza kukaa mbele yng bila kuniomba,hakuamini maneno niliyompa,mwenyewe alinipisha nihudumiwe mimi kwanza,bora akuombe kistaarabu,anajifanya anatumia ubabeMfano mtu umeenda benki, umekuta watu wamekaa kwenye foleni, na wewe kwa ustaarabu unaamua kuunga foleni kusubiria huduma.
Unakaa foleni lisaa lizima linakatika ukisubiria huduma, halafu anakuja njemba na miharaka haraka yake linaenda mbele kabisa badala ya kuunga foleni nyuma na kama utaratibu unavyotaka.
Sasa hili swala linakera, hivyo unaamua kuomba muongozo wa askari aliyepewa jukumu la kusimamia utaratibu, na anaenda kwa muhusika kumuelekeza utaratibu wa foleni jinsi ulivyo, sasa badala ya kutekelezwa kwa utaratibu yule njemba anaamua tu kuketa ubabe, anagoma.
Sasa basi, ikabidi wadau tuulize kulikoni? Eti kala kadada kanajibu mi nimeshamuelekeza yeye hataki, mi nifanyeje sasa? Heeee, nikamuuliza, wewe si ndio umepewa mamalaka ya kusimamaia utaratibu, unashindwaje kusimamia jukumu lako!? Kanatoa macho tu, nikataka nikawashe kibao!
Kwahiyo hata jambazi akija benki kuiba mtamuomba afuate utaratibu kwa kujaza fomu? Na akikataa huyo jambazi mtamuacha tu achukue fedha jinsi anavyotaka?
Nikamfuata askari wa kiume, machine gun nzito mkononi, ile njema kabla hata hajafikiwa na kamanda, akajiongeza, akarudi nyuma kabisa!!
Askari wa kike kwenye mabenki ni useless garbage!!!
Mfano mtu umeenda benki, umekuta watu wamekaa kwenye foleni, na wewe kwa ustaarabu unaamua kuunga foleni kusubiria huduma.
Unakaa foleni lisaa lizima linakatika ukisubiria huduma, halafu anakuja njemba na miharaka haraka yake linaenda mbele kabisa badala ya kuunga foleni nyuma na kama utaratibu unavyotaka.
Sasa hili swala linakera, hivyo unaamua kuomba muongozo wa askari aliyepewa jukumu la kusimamia utaratibu, na anaenda kwa muhusika kumuelekeza utaratibu wa foleni jinsi ulivyo, sasa badala ya kutekelezwa kwa utaratibu yule njemba anaamua tu kuketa ubabe, anagoma.
Sasa basi, ikabidi wadau tuulize kulikoni? Eti kala kadada kanajibu mi nimeshamuelekeza yeye hataki, mi nifanyeje sasa? Heeee, nikamuuliza, wewe si ndio umepewa mamalaka ya kusimamaia utaratibu, unashindwaje kusimamia jukumu lako!? Kanatoa macho tu, nikataka nikawashe kibao!
Kwahiyo hata jambazi akija benki kuiba mtamuomba afuate utaratibu kwa kujaza fomu? Na akikataa huyo jambazi mtamuacha tu achukue fedha jinsi anavyotaka?
Nikamfuata askari wa kiume, machine gun nzito mkononi, ile njema kabla hata hajafikiwa na kamanda, akajiongeza, akarudi nyuma kabisa!!
Askari wa kike kwenye mabenki ni useless garbage!!!
Sio askari wanawake pekee wanawake popote walipo iwe customer care, cashier, daktari, hata akiwa rais kote ni GARBAGE tupu.Mfano mtu umeenda benki, umekuta watu wamekaa kwenye foleni, na wewe kwa ustaarabu unaamua kuunga foleni kusubiria huduma.
Unakaa foleni lisaa lizima linakatika ukisubiria huduma, halafu anakuja njemba na miharaka haraka yake linaenda mbele kabisa badala ya kuunga foleni nyuma na kama utaratibu unavyotaka.
Sasa hili swala linakera, hivyo unaamua kuomba muongozo wa askari aliyepewa jukumu la kusimamia utaratibu, na anaenda kwa muhusika kumuelekeza utaratibu wa foleni jinsi ulivyo, sasa badala ya kutekelezwa kwa utaratibu yule njemba anaamua tu kuketa ubabe, anagoma.
Sasa basi, ikabidi wadau tuulize kulikoni? Eti kala kadada kanajibu mi nimeshamuelekeza yeye hataki, mi nifanyeje sasa? Heeee, nikamuuliza, wewe si ndio umepewa mamalaka ya kusimamaia utaratibu, unashindwaje kusimamia jukumu lako!? Kanatoa macho tu, nikataka nikawashe kibao!
Kwahiyo hata jambazi akija benki kuiba mtamuomba afuate utaratibu kwa kujaza fomu? Na akikataa huyo jambazi mtamuacha tu achukue fedha jinsi anavyotaka?
Nikamfuata askari wa kiume, machine gun nzito mkononi, ile njema kabla hata hajafikiwa na kamanda, akajiongeza, akarudi nyuma kabisa!!
Askari wa kike kwenye mabenki ni useless garbage!!!
Si ndio, huyo msimamizi wa foleni kazi ya kusimamia foleni imemshinda sababu hatupendi ugomvi bankUkiiba bank kuna special unit inakuja kukutight siyo huyo unayemuona anasimamia foleni...
Sikuona cheti chake cha uaskari, so sina uhakikaUna uhakika huyo ni askari kweli?
DuuhSio askari wanawake pekee wanawake popote walipo iwe customer care, cashier, daktari, hata akiwa rais kote ni GARBAGE tupu.
Ulifanya vizuri kumkubusha jukumu lake. Kufuata taratibu ni ustaarabu.Mfano mtu umeenda benki, umekuta watu wamekaa kwenye foleni, na wewe kwa ustaarabu unaamua kuunga foleni kusubiria huduma.
Unakaa foleni lisaa lizima linakatika ukisubiria huduma, halafu anakuja njemba na miharaka haraka yake linaenda mbele kabisa badala ya kuunga foleni nyuma na kama utaratibu unavyotaka.
Sasa hili swala linakera, hivyo unaamua kuomba muongozo wa askari aliyepewa jukumu la kusimamia utaratibu, na anaenda kwa muhusika kumuelekeza utaratibu wa foleni jinsi ulivyo, sasa badala ya kutekelezwa kwa utaratibu yule njemba anaamua tu kuketa ubabe, anagoma.
Sasa basi, ikabidi wadau tuulize kulikoni? Eti kala kadada kanajibu mi nimeshamuelekeza yeye hataki, mi nifanyeje sasa? Heeee, nikamuuliza, wewe si ndio umepewa mamalaka ya kusimamaia utaratibu, unashindwaje kusimamia jukumu lako!? Kanatoa macho tu, nikataka nikawashe kibao!
Kwahiyo hata jambazi akija benki kuiba mtamuomba afuate utaratibu kwa kujaza fomu? Na akikataa huyo jambazi mtamuacha tu achukue fedha jinsi anavyotaka?
Nikamfuata askari wa kiume, machine gun nzito mkononi, ile njema kabla hata hajafikiwa na kamanda, akajiongeza, akarudi nyuma kabisa!!
Askari wa kike kwenye mabenki ni useless garbage!!!
anabeep fayaMfano mtu umeenda benki, umekuta watu wamekaa kwenye foleni, na wewe kwa ustaarabu unaamua kuunga foleni kusubiria huduma.
Unakaa foleni lisaa lizima linakatika ukisubiria huduma, halafu anakuja njemba na miharaka haraka yake linaenda mbele kabisa badala ya kuunga foleni nyuma na kama utaratibu unavyotaka.
Sasa hili swala linakera, hivyo unaamua kuomba muongozo wa askari aliyepewa jukumu la kusimamia utaratibu, na anaenda kwa muhusika kumuelekeza utaratibu wa foleni jinsi ulivyo, sasa badala ya kutekelezwa kwa utaratibu yule njemba anaamua tu kuketa ubabe, anagoma.
Sasa basi, ikabidi wadau tuulize kulikoni? Eti kala kadada kanajibu mi nimeshamuelekeza yeye hataki, mi nifanyeje sasa? Heeee, nikamuuliza, wewe si ndio umepewa mamalaka ya kusimamaia utaratibu, unashindwaje kusimamia jukumu lako!? Kanatoa macho tu, nikataka nikawashe kibao!
Kwahiyo hata jambazi akija benki kuiba mtamuomba afuate utaratibu kwa kujaza fomu? Na akikataa huyo jambazi mtamuacha tu achukue fedha jinsi anavyotaka?
Nikamfuata askari wa kiume, machine gun nzito mkononi, ile njema kabla hata hajafikiwa na kamanda, akajiongeza, akarudi nyuma kabisa!!
Askari wa kike kwenye mabenki ni useless garbage!!!
Ni vile tu sisi WaTanzania ni wastaarabu sana...Si ndio, huyo msimamizi wa foleni kazi ya kusimamia foleni imemshinda sababu hatupendi ugomvi bank
Upumbavu nao ni kama kipaji tu. Bora uwe mjinga. Ukielimishwa ujinga unakutoka (Nyerere, n.d)Kila siku ni kulalamika tu. Go kill yourself and get done with all life problems forever, as it’s clear you have no life at all. Hata Ukisukumwa kwenye daladala utaingia humu kulalamika, like a bit.ch. Senge kweli wewe. In fact, you’re the biggest bit.ch of them all.
Ni muhimu kutoa maoni, na maoni yasichukuliwe kwamba ni kulalamikaUpumbavu nao ni kama kipaji tu. Bora uwe mjinga. Ukielimishwa ujinga unakutoka (Nyerere, n.d)
Sasa kama wewe mwanaume umeshindwa na unaogopa kudeal na mwanaume mwenzako. Unataka yeye afanye?Unaniuliza mimi? Mimi ndio trainer wa hao askari, mi ninachojua ni kwamba kuna utaratibu kwa ku-deal na kila situation, na askari wamefundishwa nini cha kufanya, hivyo nilitegemea akifanye, lakini kusema sina la kufanya ni udhaifu na kushindwa kazi!!!
Na akija jambazi utasema ‘ulitaka huyo askari afanye nini’? Si kazi yao na wamefundishwa nini cha kufanya? Wakifanye, wafanye wajibu wao!
Mimi kama mteja nina mipaka, mipaka yangu inaishia kwenye kutoa taarifa kwa aliyepewa mamlaka ya usimamizi, hivyo atimize wajibu wakeSasa kama wewe mwanaume umeshindwa na unaogopa kudeal na mwanaume mwenzako. Unataka yeye afanye?
Hata hivyo hongera mkuu una hela za kupeleka bankMimi kama mteja nina mipaka, mipaka yangu inaishia kwenye kutoa taarifa kwa aliyepewa mamlaka ya usimamizi, hivyo atimize wajibu wake
Hata elfu 10 wanaipokea, sasa sijui unamaanisha nnHata hivyo hongera mkuu una hela za kupeleka bank
Ni muhimu kutoa maoni, na yasichukuliwe kwamba ni kulalamikaYour
Kwani wewe unalazimishwa kuja humu?! JF ni adhabu kwako? Sasa kwanini unakuja? Topic haikuvutii unaachana nayo, changia zinazokuvutia, mimi kero nitaziweka tu humu.., nonsensical ni subjective, siwezi kubishana na hilo.., halafu acha kujibu kixhogaxhoga.. , umekalia bichi bichi..; nitake attention yako kwani unanijua?Nakuomba u retire kuchangia kwa muda mkuu! Maana kila kero katika maisha yako ya kila siku, however nonsensical, unabwagia humu. You need to man up, dude. Stop bitchin.g and behaving like you’re in need of constant attention from other people.