Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
mimi ningemzaba huyo njemba vibao. Huyo ni kinjemba tu sisi MANJEMBA hatufanyi ujinga. ILA PIA UNGETAKIWA WEWE KUMUELEKEZA NA SIYO KUKIMBILIA ASKARI. Acha uoga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ni Jengo la benki? Hapa natoa maoni na ushauri baada ya tukio na nje ya eneo la tukio bila kusababisha ‘unrest’ kwenye ofisi ya watu.Kwani unachofanya hapa ni nini sasa?
Kwani wewe ukifumuliwa marinda utakufa? So kisa hufi utakatia viuno tu au sio? Kisa hufi na hupendi kujichosha, au sio?Tulia.Hutakufa.Mengine mnapenda kujichosha tu.
Sio jukumu la mteja kufanya confrontation ya aina yeyote na mteja mwingine, kuna utaratibu na protocal, wateja wengine wamevurugwa, hivyo ni kazi ya skilled / trained security personel kushughulika nae, wafanye kazi yao na utaratibu uheshimiwe!!mimi ningemzaba huyo njemba vibao. Huyo ni kinjemba tu sisi MANJEMBA hatufanyi ujinga. ILA PIA UNGETAKIWA WEWE KUMUELEKEZA NA SIYO KUKIMBILIA ASKARI. Acha uoga.
Jambazi haungi foleni anafyatua risasi.Unaniuliza mimi? Mimi ndio trainer wa hao askari, mi ninachojua ni kwamba kuna utaratibu kwa ku-deal na kila situation, na askari wamefundishwa nini cha kufanya, hivyo nilitegemea akifanye, lakini kusema sina la kufanya ni udhaifu na kushindwa kazi!!!
Na akija jambazi utasema ‘ulitaka huyo askari afanye nini’? Si kazi yao na wamefundishwa nini cha kufanya? Wakifanye, wafanye wajibu wao!
Ni BIG deal kwa mtu aliyekaa foleni lisaa lizima akisubiria huduma; sasa kama unashindwa kumshurutisha mteja kupanga foleni, huyo mteja anatofauti gani na jambazi? Maana anaweza akasema teller ni rafiki yangu, nataka niingie ndani ya kibox chake nikapige nae story, sio utaratibu huo, lakini kwakuwa hamna cha kumfanya ili kusimamia utaratibu, basi atafanya anavyotaka. Mambo makubwa huanza na madogo, ukishindwa kusimamia madogo basi hata makubwa yatakushinda!! Hakuna ukawaida kwenye uvunjifu wa utaratibu...Jambazi haungi foleni anafyatua risasi.
Ulifanya vizuri kuhakikisha utaratibu unafatwa lakini pia sio big deal kwa kiwango cha kuhukumu askari wote wa kike.
By the way hayo mambo ya mstari yanatokea sana bank, huyo dada inawezekana ana uzoefu nayo kuliko wewe usiyeshinda hapo. Inawezekana aliona ngoja tu lipite ila wewe ikakuuma kumuacha mtu asiyefata utaratibu wakati wewe unaufuata. Ni kawaida, inatokea mara nyingi tu.
endeleeni kukaa kwenye foleni mkuu...na mwingine akija mtumeni huyo askari wa kike halafu atawajibu hivyo hivyo, na nyie endeleeni kukaa kwenye foleni..
mkitoka bank jioni njooni huku JF usiku tudai Katiba mpya, tukipata katiba mpya hata foleni hamtakaa kwenye mabank..
Ila matusi ya wazi yamezidi sana Jf siku hizi na mod wanaangalia tu!Yaani ukamuelimishe mtu mwny pumbuh zake 2 na mavuzi yaliyojaa mpk mkundn faida za kupanga foleni?Hell Yeah
Sikupingi katika kusisitiza kufuata utaratibu. Nakupinga hitimisho lako la udhaifu wa mwanamke kwa sample ya tukio moja katika matukio mengi Tanzania.Ni BIG deal kwa mtu aliyekaa foleni lisaa lizima akisubiria huduma; sasa kama unashindwa kumshurutisha mteja kupanga foleni, hiyo mteja anatofauti gani na jambazi? Maana anaweza akasema teller ni rafiki yangu, nataka niingie ndani ya kibox chake akapige nae story, si utaratibu huo, lakini kwakuwa hamna cha kumfanya ili kusimamia utaratibu, nasi atafanya anavyotaka. Mambo makubwa hianza na madogo, ukishindwa kusimamia madogo nasi hata makubwa yatakushinda!! Hakuna ukawaida kwenye uvunjifu wa utaratibu...
Kwa nini aliajiriwa kwa kazi hiyo ya kulinda amani?Mwanamke ni mwanamke tu mkuu
Hahahahaa!Acha taharuki Matusi ya nini sasa?Ungepigana na aliyeruka foleni.Kujiliza JF hakuwafanyi Askari wa kike kuwa shupavu.🤣🤣🤣Kwani wewe ukifumuliwa marinda utakufa? So kisa hufi utakatia viuno tu au sio? Kisa hufi na hupendi kujichosha, au sio?
Tabia za hovyo na kukosa ustaarabu kama hizi huanzia mbali sana, tukiwa shule ya sekondari kuna watu walikuwa hawapangi foleni ya chakula kabisa wanawaona wote waliowatangulia ni ngedere tu, bila ubabe ilikuwa hata ukifika kwenye mstari wa kwanza utakula wa mwisho tu.
Mtu mweusi anahitaji kustaarabika zaidi.
Hapana mkuu, tunahitaji katiba mpya ili tuwe civilized....Katiba mpya ndio muarobaini..[emoji3][emoji3]
Huyo mkwe wako anawahusu Nini wana JF?Ila matusi ya wazi yamezidi sana Jf siku hizi na mod wanaangalia tu!
Jamani, wengine haya makala ya Jf tunapenda kusoma tukiwa na wakwe, tuoneeni huruma!
Acheni kutumia lugha zenye ukakasi na zenye kukera wengine.
Kutotimiza wajibu ndo ustaarabu na kuelimika? Mijitu ya cku izi cjui mkojeSasa wewe hulitaka huyu askari afanyeje ampige lisasi au? Jamii umekosa ustarabu civilization toka nyumbani kwetu sioni kama askari analosa lolote hapo nyie wengi mge muelimisha huyu jama jinsi ya kuishi na jamii