Askari wa kike kwenye maofisi hasa mabenki, ni dhaifu mno!

Polisi na tambo zote zile hua hana ofisi. Akifika kituoni anakua anarandaranda tu nje, anaingia na kutoka.
 
Mfano mtu umeenda benki, umekuta watu wamekaa kwenye foleni, na wewe kwa ustaarabu unaamua kuunga foleni kusubiria huduma.

Unakaa foleni lisaa lizima linakatika ukisubiria huduma, halafu anakuja njemba na miharaka haraka yake linaenda mbele kabisa badala ya kuunga foleni nyuma na kama utaratibu unavyotaka.

Sasa hili swala linakera, hivyo unaamua kuomba muongozo wa askari aliyepewa jukumu la kusimamia utaratibu, na anaenda kwa muhusika kumuelekeza utaratibu wa foleni jinsi ulivyo, sasa badala ya kutekelezwa kwa utaratibu yule njemba anaamua tu kuketa ubabe, anagoma.

Sasa basi, ikabidi wadau tuulize kulikoni? Eti kala kadada kanajibu mi nimeshamuelekeza yeye hataki, mi nifanyeje sasa? Heeee, nikamuuliza, wewe si ndio umepewa mamalaka ya kusimamaia utaratibu, unashindwaje kusimamia jukumu lako!? Kanatoa macho tu, nikataka nikawashe kibao!

Kwahiyo hata jambazi akija benki kuiba mtamuomba afuate utaratibu kwa kujaza fomu? Na akikataa huyo jambazi mtamuacha tu achukue fedha jinsi anavyotaka?

Nikamfuata askari wa kiume, machine gun nzito mkononi, ile njema kabla hata hajafikiwa na kamanda, akajiongeza, akarudi nyuma kabisa!!

Askari wa kike kwenye mabenki ni useless garbage!!!

mwanamke sehemu yoyote hafai kuwa kiongozi mungu ndie aliewaumba hawa na yeye ndie anaesema mtashindana na mungu
 
kama exim bank, wahindi hawakuwa wanapanga foleni kabla ya kuanzisha mfumo wa tiketi
 
Waambie hiyo benki wawe wanatoa namba kwa mteja anayeingia na ahudumiwe kwa kufuata namba
 
Huyo askari nae kapewa utaratibu na benki wa kutobugudhi wateja,utamlaumu bure kabisa.
Mteja anapoongea na simu kwa sauti kubwa ndani ya benki pia anabughudhi wengine, na ni kinyume na utaratibu wa benki, je, aaachwe asibughudhiwe, si ndio?
 
Mfano mtu umeenda benki, umekuta watu wamekaa kwenye foleni, na wewe kwa ustaarabu unaamua kuunga foleni kusubiria huduma.

Unakaa foleni lisaa lizima linakatika ukisubiria huduma, halafu anakuja njemba na miharaka haraka yake linaenda mbele kabisa badala ya kuunga foleni nyuma na kama utaratibu unavyotaka.

Sasa hili swala linakera, hivyo unaamua kuomba muongozo wa askari aliyepewa jukumu la kusimamia utaratibu, na anaenda kwa muhusika kumuelekeza utaratibu wa foleni jinsi ulivyo, sasa badala ya kutekelezwa kwa utaratibu yule njemba anaamua tu kuketa ubabe, anagoma.

Sasa basi, ikabidi wadau tuulize kulikoni? Eti kala kadada kanajibu mi nimeshamuelekeza yeye hataki, mi nifanyeje sasa? Heeee, nikamuuliza, wewe si ndio umepewa mamalaka ya kusimamaia utaratibu, unashindwaje kusimamia jukumu lako!? Kanatoa macho tu, nikataka nikawashe kibao!

Kwahiyo hata jambazi akija benki kuiba mtamuomba afuate utaratibu kwa kujaza fomu? Na akikataa huyo jambazi mtamuacha tu achukue fedha jinsi anavyotaka?

Nikamfuata askari wa kiume, machine gun nzito mkononi, ile njema kabla hata hajafikiwa na kamanda, akajiongeza, akarudi nyuma kabisa!!

Askari wa kike kwenye mabenki ni useless garbage!!!
Mkweli mtupu....wannawake wakae reception tuu...tena provided wana sura na takko
 
Kwanza sio kazi yake kuwapanga kwenye foleni.
Social etiquette ndo kinachofanya watu wapange foleni, yan umekuta foleni nawe ukaifuata
 
Ulitegemea huyo askari dada amkunje jamaa shati amtoe nje? Wakati nyie madume mpo tu mmesimama hata back up ya maneno mlishindwa kutoa!? Kafanya vizuri kuachana nae mana hakua akihatarisha chochote na hata angemkomalia.. sana sana meneja angeingilia Kati ili huyo mteja mkorofi ahudumiwe haraka aondoke ili amani iendelee kutawala. Mteja hafukuzwi aisee.
Nilitegemea afanye kile alichofundishwa kwenye training kadiri ya taaluma yake ili kuhakikisha anasimamia utaratibu na utaratibu unafuatwa kama ilivyo majukumu yake aliyokabidhiwa na mwajiri husika, na kama akishindwa pia aandike barua ya kushimdwa kazi na kuomba kuhamishwa kituo au kitengo.
 
Kwanza sio kazi yake kuwapanga kwenye foleni.
Social etiquette ndo kinachofanya watu wapange foleni, yan umekuta foleni nawe ukaifuata
Sio kazi yake ndio kupanga watu foleni, ila ni kazi yake kuhakikisha utaratibu unafuatwa
 
Sio mteja mkorofi, bali ni mteja mpumbavu.
Ulitegemea huyo askari dada amkunje jamaa shati amtoe nje? Wakati nyie madume mpo tu mmesimama hata back up ya maneno mlishindwa kutoa!? Kafanya vizuri kuachana nae mana hakua akihatarisha chochote na hata angemkomalia.. sana sana meneja angeingilia Kati ili huyo mteja mkorofi ahudumiwe haraka aondoke ili amani iendelee kutawala. Mteja hafukuzwi aisee.
 
Mimi ndio nimemwajiri hapo? Au mimi ndiye niliyefanya mchujo wa kuwapa hiyo kazi? Mi ninachojua ni kwamba amepewa kazi sababu waliompa wamemwamini kwamba anaiweza.., sasa aifanye!!!
Askari wa kikosi gani ?
 
Kila siku ni kulalamika tu. Go kill yourself and get done with all life problems forever, as it’s clear you have no life at all. Hata Ukisukumwa kwenye daladala utaingia humu kulalamika, like a bit.ch. Senge kweli wewe. In fact, you’re the biggest bit.ch of them all.
 
KATIBA MPYA itamaliza kabisa hiyo kero yako.
 
Hawapati mafunzo mathubuti favour nyingi sana depo
hasa wakezenu wakiwa huko na dadazetu na Hawa wanaoitwa kwamujibu kwakweli huingia vyuo wakiwa wamechoka Mana sio mchezo mchezo kazi ni solo tu
 
Kila siku ni kulalamika tu. Go kill yourself and get done with all life problems forever, as it’s clear you have no life at all. Hata Ukisukumwa kwenye daladala utaingia humu kulalamika, like a bit.ch. Senge kweli wewe. In fact, you’re the biggest bit.ch of them all.
Mmmh, fuateni utaratibu, matusi hayatasaidia sana
 
Back
Top Bottom