Askari waliopambana na Hamza wapewa zawadi

Askari waliopambana na Hamza wapewa zawadi

Ni kweli laki tano sio nyingi Ila kutambua mchango wao ni heshima kubwa kwa walinzi wetu
 
R I P mzalendo na kada wa CCM Hamza, waliokutoa roho nao wataonja mauti
 
Ndo maana jamaa alivyodondoka
Kila askari alijitahidi kutandika hata ya kalioni kumbe kuna cheti dooooh
Hivi risasi moja inauzwa sh ngapi, naona kama hawa waliopewa vyeti wametutia hasara
 
Back
Top Bottom