Askari wanyamapori auawa na chui Mwanza - wengine 4 wajeruhiwa wakipambana naye - polisi waeleza

Askari wanyamapori auawa na chui Mwanza - wengine 4 wajeruhiwa wakipambana naye - polisi waeleza

Safi, as long as ni askari wa TANAPA afe tu.

Civilians wakiuliwa na makundi ya tembo mjini wanaambiwa wao ndio wamewachokoza wanyama....wanatoa laki 3 za jeneza wanarudi porin.

Sasa wewe jeruhi mnyama pori sasa Uone...hata kama mnyama ndie kavamia kijiji.

Tanzania hii, mnyama pori ana thamani kuliko raia.
 
Mimi nimefurahi.. sababu askari wa Tanapa wana tabia ya kuwapa umuhimu wanyama kuliko binadamu.

Binadamu akiuliwa na tembo ama simba wao wanaona sawa tu. Ila binadamu wakimuua simba wao ndio wanaona binadamu kakosea
 
Kachui ni kashenzi sana aisee, tena wana bahati, haki ni nyau kakubwa. Kanaruka kama umeme, hakakawii kukuvua ngozi ya fuvu. Kana nguvu, ni kepesi sio poa. Hujafyatua risasi kameshakufikia.
Chui ni mshenzi, ana visu sio kucha.
 
Back
Top Bottom