Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 29,314 Reaction score 93,919 Sep 2, 2025 #1 Hawa , Angekua ni Mtanzania ndo Kauliwa ,wangeishia kutoa Matamko na kujifanya kama wao sio Watanzania Ila kwakua mwenzio ndio Kauliwa, hamna Maneno mtaacha kusikia kutoka kwao. View: https://youtu.be/ByUTXlIIKd0?si=k3kt4hSaLPB3T9Uk
Hawa , Angekua ni Mtanzania ndo Kauliwa ,wangeishia kutoa Matamko na kujifanya kama wao sio Watanzania Ila kwakua mwenzio ndio Kauliwa, hamna Maneno mtaacha kusikia kutoka kwao. View: https://youtu.be/ByUTXlIIKd0?si=k3kt4hSaLPB3T9Uk
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,719 Reaction score 60,636 Sep 2, 2025 #2 Ajali kazini
A Anonymous Caller JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 1,434 Reaction score 1,930 Sep 2, 2025 #3 Safi, as long as ni askari wa TANAPA afe tu. Civilians wakiuliwa na makundi ya tembo mjini wanaambiwa wao ndio wamewachokoza wanyama....wanatoa laki 3 za jeneza wanarudi porin. Sasa wewe jeruhi mnyama pori sasa Uone...hata kama mnyama ndie kavamia kijiji. Tanzania hii, mnyama pori ana thamani kuliko raia.
Safi, as long as ni askari wa TANAPA afe tu. Civilians wakiuliwa na makundi ya tembo mjini wanaambiwa wao ndio wamewachokoza wanyama....wanatoa laki 3 za jeneza wanarudi porin. Sasa wewe jeruhi mnyama pori sasa Uone...hata kama mnyama ndie kavamia kijiji. Tanzania hii, mnyama pori ana thamani kuliko raia.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,459 Reaction score 100,799 Sep 2, 2025 #4 Kaua mmoja tu? Chui atakua shoga huyo
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,646 Reaction score 36,604 Sep 2, 2025 #5 Mimi nimefurahi.. sababu askari wa Tanapa wana tabia ya kuwapa umuhimu wanyama kuliko binadamu. Binadamu akiuliwa na tembo ama simba wao wanaona sawa tu. Ila binadamu wakimuua simba wao ndio wanaona binadamu kakosea
Mimi nimefurahi.. sababu askari wa Tanapa wana tabia ya kuwapa umuhimu wanyama kuliko binadamu. Binadamu akiuliwa na tembo ama simba wao wanaona sawa tu. Ila binadamu wakimuua simba wao ndio wanaona binadamu kakosea
C Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 14,424 Reaction score 30,799 Sep 3, 2025 #6 Kachui ni kashenzi sana aisee, tena wana bahati, haki ni nyau kakubwa. Kanaruka kama umeme, hakakawii kukuvua ngozi ya fuvu. Kana nguvu, ni kepesi sio poa. Hujafyatua risasi kameshakufikia. Chui ni mshenzi, ana visu sio kucha.
Kachui ni kashenzi sana aisee, tena wana bahati, haki ni nyau kakubwa. Kanaruka kama umeme, hakakawii kukuvua ngozi ya fuvu. Kana nguvu, ni kepesi sio poa. Hujafyatua risasi kameshakufikia. Chui ni mshenzi, ana visu sio kucha.