PreGE2025 Askari watawanya Watu mkutano wa CHADEMA Songea, mabomu ya machozi yarushwa, Polisi wawabeba Heche na Lema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nilishaacha ushirika na polisi muda mrefu sana baada ya kugundua hili ni kundi la watu wajinga, ndugu yangu nilimpiga marufuku kufika kwangu baada ya kua na urafiki na askari polisi mmoja hivi. Urafiki ulipo uvinja alikuja kunieleza nikamruhusu kufika kwangu.
 
WATANDIKWE TU, NCHI IMETULIA WANATAKA KUTULETEA UJINGA.
LISU MWENYEWE DIKTETA HATA TUKIMPA NCHI ATAENDELEZA YALE YA MWENDAZAKE.
MAMA YETU SAMIA USIRUHUSU UJINGA HUU WA LISU KUSEMA ATAASI, ASHUGHULIKIWE IPASAVYO

Ona mwendawazimu huyuu!!
 
Mpango umeshakamilika Heche kukamatwa na kuunganishwa kesi ya uhaini tarehe 22 April 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…