PreGE2025 Askari watawanya Watu mkutano wa CHADEMA Songea, mabomu ya machozi yarushwa, Polisi wawabeba Heche na Lema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakati ule CUF wanakula hizi mbanga za ngunguri mlikuwa mnawaita magaidi! Na kuwa lazima chama kife!

Naam, what goes around, comes around!

Kula Ngoma kwa kutulia!

Tukishamaliza hapa wote tutakuwa tumepevuka tutajenga taifa tukiwa wamoja!
 
Tuonyeshe na inayozuia kugawa rasilimali za inchi ovyo kwa Waarabu
 
well done vyombo vya ulinzi na usalama Songea
ni muhimu sana magenge ya kihalifu yanayojificha nyuma ya kufanya mikutano ya kisiasa kote nchini, yakasamabaratishwa mapema iwezekanvyo bila huruma, kabla hayajaleta uharibifu na madhara kwa wananchi
Mbaya zaidi ni kuweka akili mfukoni gentleman 😊 😅 naamini LECTURER unaelewaa Ila TU najua wewe ni kazi maalum.
 
Wakati ule CUF wanakula hizi mbaga za ngunguri mlikuwa mnawaita magaidi! Na kuwa lazima chama kife!

Naam, what goes around, comes around!

Kula Ngoma!

Tukishamaliza hapa wote tutakuwa tumepevuka tutajenga taifa tukiwa wamoja!
Haters
 
Umeandika mambo mengi lakini ni ya kujifurahisha mwenyewe.
 
No reforms no election imeleta balaa. Wakati huu Watanzania ndio tulipaswa kuonyesha nguvu ya umma, viongozi waliokamatwa ni katika harakati za reforms tunazozitaka.

Huu ukamataji hovyo lazima ukome.
Tumekuwa kama kundi la nyumbu wengi katikati ya simba wachache tu. Yaani mwenzetu anakamatwa, tunaangalia tu.
 
Walishasema Ni Aidha uchaguzi utafanyikwa wamekufa au wako Jela.

Hii ni kumpiga Teke Chura.
 
Samia naona umekuja na ID mpya.
 
Samia naona umekuja na ID mpya.
 
Anatokea Kibaka amevimbiwa maharage anakuambia CDM chini ya TAL aka Simba inekufa thubutuuuuuuuu siku 18 tu za NRNE watu wamekatikiwa pumzi unafanya mchezo nini wakipiga miezi mitatu nchi nzima hii sisiemu inarudi kwenye zile zama za ukivaa alizeti unapopolewa na mawe
 
No reforms no election imeleta balaa. Wakati huu Watanzania ndio tulipaswa kuonyesha nguvu ya umma, viongozi waliokamatwa ni katika harakati za reforms tunazozitaka.

Huu ukamataji hovyo lazima ukome.
Nifah mtihani huu ni wa kidato cha nne ndiyo kwanza Elimu ya No reforms No election ilikuwa imetolewa Kwa kiwango cha chekechea.

Ili tufike kupambana na huu ujinga ni lazima hii Elimu ifikie kiwango kinachotarajiwa.
 
Hahahaha......Wasira alijaribu lakini wapi. Akaja Makalaa chali. Hii ni nguvu ya Mama mwenyewe
 
Samia naona umekuja na ID mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…