Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,236
- 3,544
Waliosema kuna chama kimeleta virusi vya MPOX wamefanywa nini hadi sasa? umakengeza na umburula tu unawasumbuaKwa mujibu wa Katiba ya Tanzania na sheria za nchi, uchaguzi ni msingi wa demokrasia na haki ya kikatiba (Kwa mfano, Katiba ya Tanzania ya 1977, Kifungu cha 5 na 21).
Kutoa vitisho vya "kuharibu uchaguzi" au kuanzisha "uasi" ni uvunjifu wa sheria za Tanzania, kama vile:
(1) Kanuni ya Jinai (Penal Code): Vifungu namba 38 (kuchochea fujo- sedition), 40 (kuchochea machafuko-inciting unrest), au 41 (kuashiria kusudi la kuvunja utulivu wa umma-conspiracies to breach public peace) vinaweza kutumika kuwashitaki wanaotangaza mambo hayo.
(2) Sheria za Usalama wa Taifa: Kuchochea uasi kunaweza kuchukuliwa kama udhalilishaji wa mamlaka ya Serikali, na kusababisha kukamatwa, mashtaka, na hukumu ya jela ikiwa wata patikana na hatia.
(3) Msajili wa Vyama vya Siasa, Kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa (Namba 5 ya 1992), ana wajibu wa kuhakikisha vyama vinazingatia Katiba na sheria za nchi. Ikiwa chama au wanachama wake kinatangaza mambo yanayokiuka Katiba (kama vile kukataa uchaguzi kwa njia za vurugu), Msajili anaweza:
- Kutoa onyo la kisheria
- Kufuta chama kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Kifungu cha 11(2)(e), ikiwa kinaendelea kukiuka masharti ya kikatiba.
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendoMakamu Mwenyekiti na viongozi wengine wa CHADEMA wapo Kituo cha Polisi Songea baada ya Jeshi hilo kupeleka wito wa kuhitajika kituoni hapo.
Nini sababu ya Kuitwa Mchana huu?
Je, Watachomoka salama?
View attachment 3298911
Jioni ya leo Heche alikuwa afanye Mkutano wa hadhara Songea Mjini.
Angalia kwa Umakini Hii Video na Unipe Jibu..Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania na sheria za nchi, uchaguzi ni msingi wa demokrasia na haki ya kikatiba (Kwa mfano, Katiba ya Tanzania ya 1977, Kifungu cha 5 na 21).
Kutoa vitisho vya "kuharibu uchaguzi" au kuanzisha "uasi" ni uvunjifu wa sheria za Tanzania, kama vile:
(1) Kanuni ya Jinai (Penal Code): Vifungu namba 38 (kuchochea fujo- sedition), 40 (kuchochea machafuko-inciting unrest), au 41 (kuashiria kusudi la kuvunja utulivu wa umma-conspiracies to breach public peace) vinaweza kutumika kuwashitaki wanaotangaza mambo hayo.
(2) Sheria za Usalama wa Taifa: Kuchochea uasi kunaweza kuchukuliwa kama udhalilishaji wa mamlaka ya Serikali, na kusababisha kukamatwa, mashtaka, na hukumu ya jela ikiwa wata patikana na hatia.
(3) Msajili wa Vyama vya Siasa, Kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa (Namba 5 ya 1992), ana wajibu wa kuhakikisha vyama vinazingatia Katiba na sheria za nchi. Ikiwa chama au wanachama wake kinatangaza mambo yanayokiuka Katiba (kama vile kukataa uchaguzi kwa njia za vurugu), Msajili anaweza:
- Kutoa onyo la kisheria
- Kufuta chama kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Kifungu cha 11(2)(e), ikiwa kinaendelea kukiuka masharti ya kikatiba.
Hakika !!!Huu ni ushahidi wa wazi kabisa TAL ndiye Rais halali wa wananchi wapiga kura.
wewe leta ushahidi wa mali iliyogawiwa kwa waarabuTuonyeshe na inayozuia kugawa rasilimali za inchi ovyo kwa Waarabu
Hata historia ya YESU KRISTO wa Nazareth alishitakiwa kwa mashitaka ya UONGO na kugushi.Asome hata ya Kenyata tu au Sam Nujoma.
Kumpeleka Lissu Gerezani ndio nji ya mafanikio kwake.
Watu wametumia hadi lori la makarao kusombea watu lakini wapiiiiiHahahaha......Wasira alijaribu lakini wapi. Akaja Makalaa chali. Hii ni nguvu ya Mama mwenyewe
halafu haohao watawaongoza na mtawasikiliza kwa miaka mitano ijayo mkiimba mapambia ya ccm hamna cha kufanyaHalafu wanataka tushiriki uchaguzi.
Waende wenyewe na watoto wao wakajipigie kura!, Kisha wajitangaze kupitia tume yao wao wenyewe!
Utapigwa miti tena acha kushadadia upumbavuGentleman,
ni muhimu kujikita kwenye hoja mahususi mezana, bila mihemko, makasiriko wala ghadhabu kwasababu hiyo ni useles na completely nonsense kwenye mijadala
Wacha porojo. Mnamjaza ujinga kichwani Tundu Lissu kwenye mitandao lakini akiwa ground hamuwezi hata kuzuia asishikweAngalia kwa Umakini Hii Video na Unipe Jibu..
Inatifauti gani Kinchotojea Tz
View attachment 3298958
Com maji ya shingoTumeshambuliwa na mabomu ya machozi ofisi yetu ya CHAMA SONGEA na ktk eneo ambalo tunapaswa kufanya mkutano leo. It is too Sad I can not even speak. Press Conference Soon.
View attachment 3298822
ongezea hii kwenye stori yako
JOHN HECHE NA LEMA WACHUKULIWA KWA MAHOJIANO NA POLISI
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Brenda Rupia amezungumza na JamiiForums kuhusu tukio hilo amesema “Ni kweli Polisi wamevamia mkutano wetu na Wanahabari, wameondoka na viongozi kadhaa wakiwemo Makamu Mwenyekiti, John Heche na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema.”
Hv hiyo katiba iliandaliwa na nan ? Je hiki kizaz kimewahi shirikishwa kufanya maboresho ?Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania na sheria za nchi, uchaguzi ni msingi wa demokrasia na haki ya kikatiba (Kwa mfano, Katiba ya Tanzania ya 1977, Kifungu cha 5 na 21).
Kutoa vitisho vya "kuharibu uchaguzi" au kuanzisha "uasi" ni uvunjifu wa sheria za Tanzania, kama vile:
(1) Kanuni ya Jinai (Penal Code): Vifungu namba 38 (kuchochea fujo- sedition), 40 (kuchochea machafuko-inciting unrest), au 41 (kuashiria kusudi la kuvunja utulivu wa umma-conspiracies to breach public peace) vinaweza kutumika kuwashitaki wanaotangaza mambo hayo.
(2) Sheria za Usalama wa Taifa: Kuchochea uasi kunaweza kuchukuliwa kama udhalilishaji wa mamlaka ya Serikali, na kusababisha kukamatwa, mashtaka, na hukumu ya jela ikiwa wata patikana na hatia.
(3) Msajili wa Vyama vya Siasa, Kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa (Namba 5 ya 1992), ana wajibu wa kuhakikisha vyama vinazingatia Katiba na sheria za nchi. Ikiwa chama au wanachama wake kinatangaza mambo yanayokiuka Katiba (kama vile kukataa uchaguzi kwa njia za vurugu), Msajili anaweza:
- Kutoa onyo la kisheria
- Kufuta chama kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Kifungu cha 11(2)(e), ikiwa kinaendelea kukiuka masharti ya kikatiba.
Yaani useme utafanya uasi kuzuia uchaguzi halafu uachwe??Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo
Wacha upuuzi wewe.Tuonyeshe na inayozuia kugawa rasilimali za inchi ovyo kwa Waarabu
Nasemaje, ikiwezekana wakawakamate Hadi wake zao wakawasweke pamoja wapate akili....pumbavu sana.Makamu Mwenyekiti na viongozi wengine wa CHADEMA wapo Kituo cha Polisi Songea baada ya Jeshi hilo kupeleka wito wa kuhitajika kituoni hapo.
Nini sababu ya Kuitwa Mchana huu?
Je, Watachomoka salama?
View attachment 3298911
Jioni ya leo Heche alikuwa afanye Mkutano wa hadhara Songea Mjini.
Hiyo ndiyo Katiba tunayoifuata na iliyohalalisha vyama vingi ikiwapoCHADEMA , haijalishi ni mbaya au ina mapungufu. Ukicheza nayo lazima ukanyee debeHv hiyo katiba iliandaliwa na nan ? Je hiki kizaz kimewahi shirikishwa kufanya maboresho ?
Two wrongs do not make one right. Usifanye kosa kwa vile na fulani naye anafanya kosaWaliosema kuna chama kimeleta virusi vya MPOX wamefanywa nini hadi sasa? umakengeza na umburula tu unawasumbua