Miye sikuamini sana slogan ya No reform No election, ina impact kiasi hiki !!!!!Makamu Mwenyekiti na viongozi wengine wa CHADEMA wapo Kituo cha Polisi Songea baada ya Jeshi hilo kupeleka wito wa kuhitajika kituoni hapo.
Nini sababu ya Kuitwa Mchana huu?
Je, Watachomoka salama?
View attachment 3298911
Jioni ya leo Heche alikuwa afanye Mkutano wa hadhara Songea Mjini.
Mungu hapangiwi, Iła kuna watu Oktoba hawafiki kwa mapenzi ya Mungu aliyeamua kesi ya Machi 2021.Two wrongs do not make one right. Usifanye kosa kwa vile na fulani naye anafanya kosa
Halafu mungu mwenyewe ni wewe Terrible Teen sasaMungu hapangiwi, Iła kuna watu Oktoba hawafiki kwa mapenzi ya Mungu aliyeamua kesi ya Machi 2021.
Kwa jina la Mwenyezi Mungu aliyehaihakuna mtu wakumshinda lisu
Acha kufuruHalafu mungu mwenyewe ni wewe Terrible Teen sasa
Hiyo katiba inafuatwa Kwa Wapinzani pekee. Yule bumunda Dalali wa Mpox mmemfanya nini?Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania na sheria za nchi, uchaguzi ni msingi wa demokrasia na haki ya kikatiba (Kwa mfano, Katiba ya Tanzania ya 1977, Kifungu cha 5 na 21).
Kutoa vitisho vya "kuharibu uchaguzi" au kuanzisha "uasi" ni uvunjifu wa sheria za Tanzania, kama vile:
(1) Kanuni ya Jinai (Penal Code): Vifungu namba 38 (kuchochea fujo- sedition), 40 (kuchochea machafuko-inciting unrest), au 41 (kuashiria kusudi la kuvunja utulivu wa umma-conspiracies to breach public peace) vinaweza kutumika kuwashitaki wanaotangaza mambo hayo.
(2) Sheria za Usalama wa Taifa: Kuchochea uasi kunaweza kuchukuliwa kama udhalilishaji wa mamlaka ya Serikali, na kusababisha kukamatwa, mashtaka, na hukumu ya jela ikiwa wata patikana na hatia.
(3) Msajili wa Vyama vya Siasa, Kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa (Namba 5 ya 1992), ana wajibu wa kuhakikisha vyama vinazingatia Katiba na sheria za nchi. Ikiwa chama au wanachama wake kinatangaza mambo yanayokiuka Katiba (kama vile kukataa uchaguzi kwa njia za vurugu), Msajili anaweza:
- Kutoa onyo la kisheria
- Kufuta chama kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Kifungu cha 11(2)(e), ikiwa kinaendelea kukiuka masharti ya kikatiba.
Mpaka aliitwa mhaini anataka kumpindua MfalmeHata historia ya YESU KRISTO wa Nazareth alishitakiwa kwa mashitaka ya UONGO na kugushi.
Hata ungekuwa wewe mkuu..ungefanyaje ?sisi ni keyboard warriors..!!Tumekuwa kama kundi la nyumbu wengi katikati ya simba wachache tu. Yaani mwenzetu anakamatwa, tunaangalia tu.
Mwasifiga unatuletea Katiba ya TANU ambayo Mama yenu anaiita kakitabu Non functional n useless letters..... Waifuate wao Kwanza ndio sisi tufuateKwa mujibu wa Katiba ya Tanzania na sheria za nchi, uchaguzi ni msingi wa demokrasia na haki ya kikatiba (Kwa mfano, Katiba ya Tanzania ya 1977, Kifungu cha 5 na 21).
Kutoa vitisho vya "kuharibu uchaguzi" au kuanzisha "uasi" ni uvunjifu wa sheria za Tanzania, kama vile:
(1) Kanuni ya Jinai (Penal Code): Vifungu namba 38 (kuchochea fujo- sedition), 40 (kuchochea machafuko-inciting unrest), au 41 (kuashiria kusudi la kuvunja utulivu wa umma-conspiracies to breach public peace) vinaweza kutumika kuwashitaki wanaotangaza mambo hayo.
(2) Sheria za Usalama wa Taifa: Kuchochea uasi kunaweza kuchukuliwa kama udhalilishaji wa mamlaka ya Serikali, na kusababisha kukamatwa, mashtaka, na hukumu ya jela ikiwa wata patikana na hatia.
(3) Msajili wa Vyama vya Siasa, Kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa (Namba 5 ya 1992), ana wajibu wa kuhakikisha vyama vinazingatia Katiba na sheria za nchi. Ikiwa chama au wanachama wake kinatangaza mambo yanayokiuka Katiba (kama vile kukataa uchaguzi kwa njia za vurugu), Msajili anaweza:
- Kutoa onyo la kisheria
- Kufuta chama kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Kifungu cha 11(2)(e), ikiwa kinaendelea kukiuka masharti ya kikatiba.
Bush Lawyer nipo hapa. Nitamtetea.Una mwanasheria?