Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HIVI MMEISIKILIZA HII CLIP NDIYO MKAJA KUANDIKA HAYO MNAYOYAANDIKA? IMEELEZWA KABISA WALIFIKA KWA MWENYEKITI WA MTAA WAKAJITAMBULISHA WAKAONDOKA PAMOJA NA HUYO KIONGOZI WAKAENDA KWA MTUHUMIWA JAMAA ALIKUWA AMEJIANDAA AKATOKA NA CHA MOTO AKAANZA KUWAMIMINIA RISASI WAWILI WAKAFA NA YEYE WAMAEMZIMISHA SASA HAPO SUALA LA WANANCHIKUKOSA IMANI NA POLISI NI UPI HAWAKUSHIRIKI HATA KIDOGO ILIKUWA JAMAA NA MTUHUMIWA TUWananchi wameamua kuwafikia Askari. Katika hali inayosikitisha na ya kuonesha imani imeisha kati kati ya wananchi na Askari. Kumetokea mauaji huko Dodoma.
Tupate habari kamili.
View attachment 3179538
Taarifa ya asubuhi imetufikia muda huu jioni? Dodoma ni mbali sana aisee.Wananchi wameamua kuwafikia Askari. Katika hali inayosikitisha na ya kuonesha imani imeisha kati kati ya wananchi na Askari. Kumetokea mauaji huko Dodoma.
Tupate habari kamili.
View attachment 3179538
WALIFUATA TARATIBU ZOTE SEMA TU JAMAA KAWATAIM NA WAO WAKAMALIZANA NAYEWalikuwa na katika mavazi yanayo watambulisha kama askari..?
Unlikely to be true.HIVI MMEISIKILIZA HII CLIP NDIYO MKAJA KUANDIKA HAYO MNAYOYAANDIKA? IMEELEZWA KABISA WALIFIKA KWA MWENYEKITI WA MTAA WAKAJITAMBULISHA WAKAONDOKA PAMOJA NA HUYO KIONGOZI WAKAENDA KWA MTUHUMIWA JAMAA ALIKUWA AMEJIANDAA AKATOKA NA CHA MOTO AKAANZA KUWAMIMINIA RISASI WAWILI WAKAFA NA YEYE WAMAEMZIMISHA SASA HAPO SUALA LA WANANCHIKUKOSA IMANI NA POLISI NI UPI HAWAKUSHIRIKI HATA KIDOGO ILIKUWA JAMAA NA MTUHUMIWA TU
Una uhakika?WALIFUATA TARATIBU ZOTE SEMA TU JAMAA KAWATAIM NA WAO WAKAMALIZANA NAYE
Polisi wana ubabe wa kijinga sana. Walinidhalilisha sana Tunduma mwaka 2015. Siku yao inakuja wale mbw@. Ninawakumbuka wote waliohusika..WALIFUATA TARATIBU ZOTE SEMA TU JAMAA KAWATAIM NA WAO WAKAMALIZANA NAYE
Watu wanakimbilia kushisha hasira zao tu. Watu hawasomi yaliyomo. Wqpe tu kichwa cha habari kinatosjaHIVI MMEISIKILIZA HII CLIP NDIYO MKAJA KUANDIKA HAYO MNAYOYAANDIKA? IMEELEZWA KABISA WALIFIKA KWA MWENYEKITI WA MTAA WAKAJITAMBULISHA WAKAONDOKA PAMOJA NA HUYO KIONGOZI WAKAENDA KWA MTUHUMIWA JAMAA ALIKUWA AMEJIANDAA AKATOKA NA CHA MOTO AKAANZA KUWAMIMINIA RISASI WAWILI WAKAFA NA YEYE WAMAEMZIMISHA SASA HAPO SUALA LA WANANCHIKUKOSA IMANI NA POLISI NI UPI HAWAKUSHIRIKI HATA KIDOGO ILIKUWA JAMAA NA MTUHUMIWA TU
Wenye mb za jero huwa hatufungui link tunakimbilia kukomentHIVI MMEISIKILIZA HII CLIP NDIYO MKAJA KUANDIKA HAYO MNAYOYAANDIKA? IMEELEZWA KABISA WALIFIKA KWA MWENYEKITI WA MTAA WAKAJITAMBULISHA WAKAONDOKA PAMOJA NA HUYO KIONGOZI WAKAENDA KWA MTUHUMIWA JAMAA ALIKUWA AMEJIANDAA AKATOKA NA CHA MOTO AKAANZA KUWAMIMINIA RISASI WAWILI WAKAFA NA YEYE WAMAEMZIMISHA SASA HAPO SUALA LA WANANCHIKUKOSA IMANI NA POLISI NI UPI HAWAKUSHIRIKI HATA KIDOGO ILIKUWA JAMAA NA MTUHUMIWA TU