Askari wauawa Dodoma wakati wakienda kumkamata mtuhumiwa wa uhalifu.

Askari wauawa Dodoma wakati wakienda kumkamata mtuhumiwa wa uhalifu.

HIVI MMEISIKILIZA HII CLIP NDIYO MKAJA KUANDIKA HAYO MNAYOYAANDIKA? IMEELEZWA KABISA WALIFIKA KWA MWENYEKITI WA MTAA WAKAJITAMBULISHA WAKAONDOKA PAMOJA NA HUYO KIONGOZI WAKAENDA KWA MTUHUMIWA JAMAA ALIKUWA AMEJIANDAA AKATOKA NA CHA MOTO AKAANZA KUWAMIMINIA RISASI WAWILI WAKAFA NA YEYE WAMAEMZIMISHA SASA HAPO SUALA LA WANANCHIKUKOSA IMANI NA POLISI NI UPI HAWAKUSHIRIKI HATA KIDOGO ILIKUWA JAMAA NA MTUHUMIWA TU
Kwani huyo jamaa si mwananchi? Me nadhani tumefika huku kote kwasababu ya siasa maji taka. Jeshi la police lingefanya kazi kwa kufuata miongozo yao ya kazi na wala lingekuwa halijiusishi sana na wanasiasa lingeheshimika na hata lingepewa ushirikiano na wananchi.
 
P

Ukiona bidii kubwa ya jeshi la polisi la Tanzania kwenye tukio la ukamataji fahamu kilichokuwa kinafuatwa ni zaidi ya mtuhumiwa, mfano aliyewacholea ramani kawahadaa jamaa ana kilo 8 za dhahabu, jamaa wakajaa, ni mawazo yangu Tu.
Nahawa walijua kua jamaa bado hzo ml aloiba zpo ndan wapte nazo waseme mtuhumiwa kakutwa na afutatu
 
Back
Top Bottom