Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Kisasi ni hakiPolisi wana ubabe wa kijinga sana. Walinidhalilisha sana Tunduma mwaka 2015. Siku yao inakuja wale mbw@. Ninawakumbuka wote waliohusika..
Hakikisha na wao liwakute jambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisasi ni hakiPolisi wana ubabe wa kijinga sana. Walinidhalilisha sana Tunduma mwaka 2015. Siku yao inakuja wale mbw@. Ninawakumbuka wote waliohusika..
Umeleta taarifa ambayo mwenyewe hukuisikiliza na kuelewa kilichotokea....Wananchi wameamua kuwafikia Askari. Katika hali inayosikitisha na ya kuonesha imani imeisha kati kati ya wananchi na Askari. Kumetokea mauaji huko Dodoma.
Tupate habari kamili.
View attachment 3179538
Kifo ni kifo tu.
Sasa hapo nguvu na kutotumia weledi kupi kulikotumika wakati taratibu zote wamefuata?..Tunako elekea Polisi watakua na weledi badala ya kutanguliza kifua mbele kama watunisha misuli.
Ukiwakuta site wanatumia nguvu kubwa kwenye vitu ambavyo haviitaji nguvu. Unprofessional
Kisasi huondoa sumu na hasira kutoka mwilini..Kisasi ni haki
Hakikisha na wao liwakute jambo
KweliWenye mb za jero huwa hatufungui link tunakimbilia kukoment
Dduuhh. Km movieWALIFUATA TARATIBU ZOTE SEMA TU JAMAA KAWATAIM NA WAO WAKAMALIZANA NAYE
Na wewe ni polisi au muke wa polisiHIVI MMEISIKILIZA HII CLIP NDIYO MKAJA KUANDIKA HAYO MNAYOYAANDIKA? IMEELEZWA KABISA WALIFIKA KWA MWENYEKITI WA MTAA WAKAJITAMBULISHA WAKAONDOKA PAMOJA NA HUYO KIONGOZI WAKAENDA KWA MTUHUMIWA JAMAA ALIKUWA AMEJIANDAA AKATOKA NA CHA MOTO AKAANZA KUWAMIMINIA RISASI WAWILI WAKAFA NA YEYE WAMAEMZIMISHA SASA HAPO SUALA LA WANANCHIKUKOSA IMANI NA POLISI NI UPI HAWAKUSHIRIKI HATA KIDOGO ILIKUWA JAMAA NA MTUHUMIWA TU
Safi sana kusikia majambazi yaliyoajiriwa yanalamba vumbi.Wananchi wameamua kuwafikia Askari. Katika hali inayosikitisha na ya kuonesha imani imeisha kati kati ya wananchi na Askari. Kumetokea mauaji huko Dodoma.
Tupate habari kamili.
View attachment 3179538
WaongoKIFO NI KIFO polisi kabsa waanzie kwa kiongozi wa mtaa
Apumzike Kwa Amani.Pole Sana mtuhumuwa
Ni mchepuko tu.
Ukiona bidii kubwa ya jeshi la polisi la Tanzania kwenye tukio la ukamataji fahamu kilichokuwa kinafuatwa ni zaidi ya mtuhumiwa, mfano aliyewacholea ramani kawahadaa jamaa ana kilo 8 za dhahabu, jamaa wakajaa, ni mawazo yangu Tu.Inaelekea hao askari hawakujua kuwa jamaa alikuwa na silaha. Kama yale ya Zakaria miaka ile.
Wangejua, bila shaka wangemnyemelea kwa tahadhari kubwa kama ilivyokuwa kwa Hamza.
Kwa vyovyote vile, polisi wawe makini na kazi zao. Siasa imewapunguzia weledi. Kushughulika na majambazi wa ukweli si sawa kushughulikia wapinzani au zile drama wanazosimulia kwenye PR zao. Na hizi tuhuma za utekaji badala ya ukamataji ndio zinaharibu kabisa.
Umemnukuu mtu auKifo ni kifo tu.