Askari wauawa Dodoma wakati wakienda kumkamata mtuhumiwa wa uhalifu.

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Wananchi wameamua kuwafikia Askari. Katika hali inayosikitisha na ya kuonesha imani imeisha kati kati ya wananchi na Askari. Kumetokea mauaji huko Dodoma.

Tupate habari kamili.


Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-12-18-14-59-57-613_com.whatsapp~2.jpg
    278.1 KB · Views: 2
Wananchi wameamua kuwafikia Askari. Katika hali inayosikitisha na ya kuonesha imani imeisha kati kati ya wananchi na Askari. Kumetokea mauaji huko Dodoma.

Tupate habari kamili.


View attachment 3179538
HIVI MMEISIKILIZA HII CLIP NDIYO MKAJA KUANDIKA HAYO MNAYOYAANDIKA? IMEELEZWA KABISA WALIFIKA KWA MWENYEKITI WA MTAA WAKAJITAMBULISHA WAKAONDOKA PAMOJA NA HUYO KIONGOZI WAKAENDA KWA MTUHUMIWA JAMAA ALIKUWA AMEJIANDAA AKATOKA NA CHA MOTO AKAANZA KUWAMIMINIA RISASI WAWILI WAKAFA NA YEYE WAMAEMZIMISHA SASA HAPO SUALA LA WANANCHIKUKOSA IMANI NA POLISI NI UPI HAWAKUSHIRIKI HATA KIDOGO ILIKUWA JAMAA NA MTUHUMIWA TU
 
Unlikely to be true.
 
Hata nchi zilizokosa utulivu walianza hivihivi...piga nikupige
 
Tunako elekea Polisi watakua na weledi badala ya kutanguliza kifua mbele kama watunisha misuli.

Ukiwakuta site wanatumia nguvu kubwa kwenye vitu ambavyo haviitaji nguvu. Unprofessional
 
Watu wanakimbilia kushisha hasira zao tu. Watu hawasomi yaliyomo. Wqpe tu kichwa cha habari kinatosja
 
Wenye mb za jero huwa hatufungui link tunakimbilia kukoment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…