Askari wavamia kanisa Mbeya kuwafuata wafuasi wa CHADEMA

Askari wavamia kanisa Mbeya kuwafuata wafuasi wa CHADEMA

Tumefikia hapa! Tanzania yangu inaangamia.

Ewe Mungu fanya miujiza yako kwa wale wenye nia ovu ya kujineemesha wao na familia zao hapa Tanzania na kujiwekea wao mazingira mazuri uku walio wengi wakitaabika hapa Tanzania.
 
Kwakua taarifa haijakamilika siwezi kutoa neno, ila kama waliamua kutafuta njia ya kufanya kongamano kanisani,huenda uongozi wa kanisa ndio uliowachoma kwa polisi kwasababu hakuna mtu anaetakiwa umpangia mtu mavazi ya kuvaa.
 
Hii taarifa kama ni ya kweli ni hivi;
Msipumbazwe na hao waliovalia hizo tisheti.Ni wao kwa wao kufanya jambo liwe kubwa kuwafanya watz wawachukie wanaodai katiba.Mbinu za kimafya
 
Mbona hao chadema waliokamatwa wamevaa sare za chama hawaonekani? Pamoj na kuendeleza siasa za propaganda mfu lkn kikifika kipindi cha uchaguzi mnaangukia pua. Mjifunze kutafuta mbinu nyingin zenye mashiko, hizi hazina maana sababu zimeshatumiwa san na CUF miaka ishirini iliyopita na bado hazikuwa msaada kwao.
 
Hili ni Kanisa Katoliki Mwanjelwa Jijini Mbeya.

Hao ni Askari wakiwa na defender 3. wameenda kuwaondoa wafuasi wa Chadema wanaodaiwa kuwa wamevaa sare zenye uwiano na za Chadema.

Hivi kwani kanisani kuna mavazi maalumu ya kuvaa.?

View attachment 1867548
Maelekezo ya kanisa

USSR
 
Ndo walichokwambia kwamba. Wameenda kwa ajili ya sare. Huwa wanapata taarifa kila siku.
 
Wakumbushe kuwa aliyekua Mkurugenzi was Itigi alienda akafyatua risasi Kanisani akamuua muumini mmojja, as we speak Yuko Lupango na Godfather wake ameshazikwa....yuko yeye na baadhi ya Askari.....
Hivi yule jamaa alikamatwa ?
 
Mbona hao chadema waliokamatwa wamevaa sare za chama hawaonekani? Pamoj na kuendeleza siasa za propaganda mfu lkn kikifika kipindi cha uchaguzi mnaangukia pua. Mjifunze kutafuta mbinu nyingin zenye mashiko, hizi hazina maana sababu zimeshatumiwa san na CUF miaka ishirini iliyopita na bado hazikuwa msaada kwao.
Jiwe alisema wabunge wengi yeye ndiye kawapa huo ubunge kwa kuiba kura, hilo unalisemeaje?
 
Back
Top Bottom