Askari wavamia kanisa Mbeya kuwafuata wafuasi wa CHADEMA

Askari wavamia kanisa Mbeya kuwafuata wafuasi wa CHADEMA

Kama ni vazi MTU aweza vaa asiwe wa chama.kama vile kuvaa safe za jeshi kumbe sio mwanajeshi
Huwezi ukavaa gwanda ukatinga kanisani,mavazi ya vyama hayaruhusiwi kwenye nyumba za ibada.Ibadani kuna nguo zake utakiwi kuvaa gambuti,overoli,dela,bikini,nguo za kuogelea,nguo za disco,jezi za mpira.
Kila mavazi yana mahali pake
 
Mbona hao chadema waliokamatwa wamevaa sare za chama hawaonekani? Pamoj na kuendeleza siasa za propaganda mfu lkn kikifika kipindi cha uchaguzi mnaangukia pua. Mjifunze kutafuta mbinu nyingin zenye mashiko, hizi hazina maana sababu zimeshatumiwa san na CUF miaka ishirini iliyopita na bado hazikuwa msaada kwao.
Nimecheka kwa nguvu ulichoandika hapa we kilaza, kuangukia pua ndio kupitia kura za kwenye yale mabeg meusi, na wakurugenzi kuwaengua wapinzani? Enzi za ccm kushinda kihalali kwa wingi zimepita, na hazitokaa zirudi tena. Ccm ni chama kizee hakina mvuto tena kwenye kizazi hiki, haya matumizi makubwa ya vyombo vya dola ni kwakuwa ushawishi wa kisiasa umeisha.
 
9 Julai 2021
Mbeya, Tanzania

CCM wamuombea mbunge wao Maryprisca

 
CCM wanahangaika sana kuhusu katiba mpya yaani ni kama kuku mtetea asiye na jogoo karibu.
 
Askari wanakatazwa kuingia kanisani au msikitini. Hii ni kanuni kubwa tu inayotambulika kimataifa.

Yani hata mwizi akiiba akakimbilia kanisani au msikitini, askari wanatakiwa kuongea na Mchungaji au Shehe mwizi atoke mwenyewe ndani, ila askari hawatakiwi kuingia kanisani au msikitini.
 
Mleta mada ulikuweko huko kanisani na ukashuhudia wanaendelea na ibada?

Kiongozi anatuhumiwa na ugaidi alafu usikie wanachama wamekusanyika mahali fulani kumzungumzia yeye, hii ni mbaya sana kiusalama.
Acha ujinga ww fara
 
Hizo zote ni strategies za mwigulu kwani yupo mbeya na lengo lake ni kumharibia mama SSH ili aonekane hafai kuwa rais wa TZ. TISS nao wamejiunga kwenye ujinga huu na kusahau majukumu Yao ya kuilinda taasisi ya urais pamoja na amani na usalama wa taifa! Madame SSH hebu fanya maamuzi magumu ya kuireform TISS pamoja polisi
 
Back
Top Bottom