Askari wavamia kanisa Mbeya kuwafuata wafuasi wa CHADEMA

Nimecheka na baadae kuhuzunika kwamba kiongozi flani wa kanisa kuanza ku point waumini wa chadema😂😂
 
Kwahi CHADEMA wa Mbeya wote ni RC, hwaabudu kwenye makanisa mengine?
 
Inachekesha sana, kumbe wanachadema wanafahamika popote walipo machoni mwa wanaccm.
 
Huo ni upumbavu wa hali ya juu. Hivi mpumbavu anaruhusiwa vipi kuzuia ibada? Kuvuruga ibada? Waliowatuma hakika wameoza.
 
Ghaidi anaombewa Dua msikitini sio kanisani,polisi wako sahihi.

Mikumi Tena kwa mama samia
 
Inachekesha sana, kumbe wanachadema wanafahamika popote walipo machoni mwa wanaccm.
 
Kama hujui mambo bora ukae kimya......Mbowe anatuhumiwa kwa ugaidi na kuoanga njama za kuua viongozi, unaelewa uzito wa hizo tuhuma?? Kwenye criminology kitendo cha hao wafuasi kukusanyika tayari nao wanajumuishwa kama sehem ya kosa!! Tatizo Tanzania mambo serious tunaleta hoja za kipuuzi ....Nenda Sudani ukaone madhara ya viongozi wa upinzani wasipodhibitiwa!!
 
Mfalme Verishaza wa Tanzania,,, [emoji848][emoji848][emoji2960]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…