TANZIA Askari wawili wa kikosi cha kutuliza ghasia mkoani Mbeya wafariki katika ajali ya gari

Askari wawili wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia Mkoa wa Mbeya, wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea jana Desemba 16, 2025, katika eneo la Karasha, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, kwenye Barabara Kuu ya Mbeya—Tunduma.

Ajali hiyo ilihusisha gari la Mitsubishi Canter Boxbody la SGA Mbeya, lililokuwa likisafirisha fedha kutoka Tunduma kwenda Mbeya, pikipiki aina ya Fekon na gari la abiria Toyota Coaster lililokuwa likielekea Tunduma kutoka Mbeya. Askari waliopoteza maisha ni CPL Chirungu Misango John na PC Amina Japhari Hamisi.

Uchunguzi wa awali wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe umeeleza kuwa chanzo cha ajali ni uzembe wa dereva wa Coaster, aliyegonga pikipiki na kupoteza mwelekeo na kusababisha kugongana uso kwa uso na Canter, huku mwendo kasi katika eneo la makazi ukichangia.
Je wameitwa na Genz waliowatanguliza ama tuseme ajali ni ajali tu?
 
Mungu wetu anatenda hata sasa
Tumshukuru
 
Serikali ijitasmin uhusiano wa jeshi letu ni mashaka kwa wananchi.wananch hawana imani na polisi.polisi wanahusika kwnye matukio meng ya utekaji.angalia comment watu wanaombea dua mbya
 
polisi akifa ni sawa na mbwa wa barabarani tu. tena wangekufa hata 100 kwa pamoja ingefaa zaidi
polisi anayebambikia watu kesi ana niuma nini mimi hata akifa?
asante mungu
 
Poleni sana ndugu na jamaa kwa kuwapoteza wapendwa wenu..Waliopata majeraha Mungu awafanyie wepesi waweze kuludi kwenye majukumu yao..Waliofariki Mungu azilaze roho za marehemu pema peponi..VIP FEDHA ZILIPONA AU NAZO ZILIFARIKI?
 
Kama kuna polisi yeyote yule anapita kwenye huu uzi, basi ana kitu cha kujifunza.
Binafsi nawaombea pumziko la milele.
 
Back
Top Bottom