Na inakunywa mafuta kishenzi, kwa uchumi wa Tanzania walipaswa watembelee Rav 4L old model
Mkuu shukuru hata kwa hichi kidogoHata mie sijafurahi kwakweli, wamekufa wachache mnoo!!.
Iziraili sijui kapewa mlungula na wambura,anatakiwa siku awakusanye kwenye zile ashok Reyland wajae mle kisha akawabamize sehemuHata mie sijafurahi kwakweli, wamekufa wachache mnoo!!.
Wapumzike kwa amani!
Askari wawili wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia Mkoa wa Mbeya, wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea jana Desemba 16, 2025, katika eneo la Karasha, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, kwenye Barabara Kuu ya Mbeya—Tunduma.
Ajali hiyo ilihusisha gari la Mitsubishi Canter Boxbody la SGA Mbeya, lililokuwa likisafirisha fedha kutoka Tunduma kwenda Mbeya, pikipiki aina ya Fekon na gari la abiria Toyota Coaster lililokuwa likielekea Tunduma kutoka Mbeya. Askari waliopoteza maisha ni CPL Chirungu Misango John na PC Amina Japhari Hamisi.
Uchunguzi wa awali wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe umeeleza kuwa chanzo cha ajali ni uzembe wa dereva wa Coaster, aliyegonga pikipiki na kupoteza mwelekeo na kusababisha kugongana uso kwa uso na Canter, huku mwendo kasi katika eneo la makazi ukichangia.
Mh! Sema kwa vile polisi wote ni makatili, lakini sidhani kama haya huyu binti alishiriki kuua watuWatu watano wakiwemo askari wawili wa kikosi Cha kutuliza ghasia mkoani mbeya, wamefariki dunia na wengine Tisa kujeruhiwa katika AJALI ya barabarani iliyotokea disemba 16, 2025 eneo la karasha, wilaya mbozi mkoani songwe barabara kuu ya mbeya - tubduma.
Askari waliofariki CPL chirungu misango John, PC Amina japhari hamisi
Kilicho kuleta hapa ni nini, harusi si yako unaivalia Sheria, kapake make up sasaWewe jamaa toka uijue jamiiforum umekuwa mjinga sana
Yupo kwenye kikosi Cha kutuliza ghasia anakosaje? Hukusikia zile sniper za yule jamaa alie kuwepo juu ya jengo?Mh! Sema kwa vile polisi wote ni makatili, lakini sidhani kama haya huyu binti alishiriki kuua watu
Baada ya yule mkenya kukunyonya mate naona bado wenge halijaishaKilicho kuleta hapa ni nini, harusi si yako unaivalia Sheria, kapake make up sasa
Yupo kwenye kikosi Cha kutuliza ghasia anakosaje? Hukusikia zile sniper za yule jamaa alie kuwepo juu ya jengoMh! Sema kwa vile polisi wote ni makatili, lakini sidhani kama haya huyu binti alishiriki kuua watu
Unakatwa nini, ofisi zipi mi ni machinga mkuu hizo ofisi za abduli ni zipiMbona kama unatokea ofisi za abdul maana IP yako inatokea kule na ID nyingi
Mashoga ni wewe na familia YENU nyote mnapumuliana nyumba nzimaBaada ya yule mkenya kukunyonya mate naona bado wenge halijaisha
Punguza ushoga hatununui saiz maisha magumu