TANZIA Askari wawili wa kikosi cha kutuliza ghasia mkoani Mbeya wafariki katika ajali ya gari

Hivi ndivyo ccm ilipovifikisha vyombo vyetu vya ulinzi mbele ya macho ya raia.
 
Nina brutal yangu kwenye friji acha nijipongeze huku nikirudia kusoma hii habari kwa kurudia rudia huku nikifurahi 🍷😝
 

Mungu awaangalie na wakubwa
 
Watu watano wakiwemo askari wawili wa kikosi Cha kutuliza ghasia mkoani mbeya, wamefariki dunia na wengine Tisa kujeruhiwa katika AJALI ya barabarani iliyotokea disemba 16, 2025 eneo la karasha, wilaya mbozi mkoani songwe barabara kuu ya mbeya - tubduma.

Askari waliofariki CPL chirungu misango John, PC Amina japhari hamisi
 
Mh! Sema kwa vile polisi wote ni makatili, lakini sidhani kama haya huyu binti alishiriki kuua watu
 
Mh! Sema kwa vile polisi wote ni makatili, lakini sidhani kama haya huyu binti alishiriki kuua watu
Yupo kwenye kikosi Cha kutuliza ghasia anakosaje? Hukusikia zile sniper za yule jamaa alie kuwepo juu ya jengo?
 
Mh! Sema kwa vile polisi wote ni makatili, lakini sidhani kama haya huyu binti alishiriki kuua watu
Yupo kwenye kikosi Cha kutuliza ghasia anakosaje? Hukusikia zile sniper za yule jamaa alie kuwepo juu ya jengo
Mbona kama unatokea ofisi za abdul maana IP yako inatokea kule na ID nyingi
Unakatwa nini, ofisi zipi mi ni machinga mkuu hizo ofisi za abduli ni zipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…