Askari zaidi 30 wa Israeli wafariki katika uvamizi wa Lebanon kusini

Muisrael mweusi wa SHAMWENNGO anakanusha kuwa Wanajeshi wa Israel hawajafa😅
Mie huku nafurahia tu yeyote afumuliwe........kikubwa wengine tulikua na mrusi na Ukraine ila hizi vita za madini ya majahazi wakiweza wafutane wote tu tuanze 1
 


Emepunguza idadi tulikubaliana tuseme 50. Na wengine 30 wametekwa. Na ushahidi wetu uwe ni picha na maneno x au instagram ya Imam Abbas
 
Yule Waziri wa Ulinzi wa Israel anasema kalibia Hezbollah anaishiwa mabomu😅
 
⚡️BREAKING: Hezbollah husasisha na kuchapisha upya tangazo na onyo kwa walowezi kuhama.

"Jeshi la adui la Israel linatumia nyumba za walowezi katika baadhi ya makazi kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu kama maeneo ya kukusanya maafisa na wanajeshi wake. Kadhalika, kambi zake za kijeshi zinazosimamia uvamizi dhidi ya Lebanon ziko ndani ya maeneo yenye watu wengi ndani ya miji mikuu inayokaliwa kwa mabavu, kama vile Haifa na Tiberius, na mingineyo. Haya ni malengo halali ya roketi na vikosi vya anga vya Islamic Resistance.

Hivyo basi, Islamic Resistance inawaonya walowezi kuepuka kuwa karibu na mikusanyiko hii ya kijeshi ili kuhifadhi maisha yao hadi itakapotangazwa tena.”

Idhaa ya Kiebrania 14: Amri ya Mbele ya Nyumbani inaamuru wakaazi waliolindwa na wa Galilaya ya Juu kukaa karibu na maeneo yenye ngome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…