Asking Aloud: Rais Samia anajua Katiba yetu ni batilifu, na Sheria mpya ya uchaguzi aliyosaini ni sheria batili kinyume cha katiba?

Cheo cha Rais, Makamo, PM, Mawaziri na Wakuu wa Mikoa vimetajwa kwenye katiba, nionyeshe cheo cha Naibu PM kimetajwa kwenye ibara ipi? Kwamba Waziri Mkuu aliyepo ameshindwa kazi mpaka awe na Naibu? Mrema alivyoomba maslahi ya Naibu PM aliambiwa hicho cheo hakipo kikatiba na Ndugai au ulikuwa bado mchanga?
Hii logical fallacy ni logical non sequitur.

Kwa kuwa kuna vyeo vimetajwa kwenye katiba, hilo halimaanishi kila cheo ni lazima kitajwe kwenye katiba.

Kwani katiba imetaja mabalozi? Katiba imetaja makatibu wakuu wa wizara? Katiba imetaja ma RAS?

Mbona rais anateua watu kushika hivyo vyeo kila mara?

Mrema cheo kutokuwepo kwenye katiba si issue, kwa sababu kuna vyeo vingi sana haviko kwenye katiba. Labda useme kuna vitu havikurasimishwa na kuandikwa vizuri, katiba inasema rais ana mamlaka ya kuunda na kuondoa vyeo katika utumishi wa umma. Maana yake anaweza kuweka cheo cha Naibu Waziri Mkuu, kama anavyoweza kuamua Wizara ya Fedha iwe na manaibu wawili.

Hoja ya "mbona cheo hakipo katika katiba" ni mufilisi, kwa sababu mabalozi, ma RAS, makatibu wakuu wa wizara, wakurugenzi wa mashirika ya umma wanateuliwa na rais, lakini vyeo vyao haviko katika katiba.
 
Nyi UWT akili zenu ni ndogo sn, hivi ni vyeo vya kitendaji vimetajwa kwenye sheria na sifa za Katibu Mkuu au RAS vipo wazi kwenye sheria ya utumishi wa umma na ndiyo maana akifika miaka 60 lazima astaafu na mafao yake yametajwa wazi wazi, hawa siyo wanasiasa, haya Cheo cha Naibu PM kimetajwa na Katiba au Sheria ipi?
 
Wapi kwenye katiba imetajwa? Rais, Makamu, PM, Mawaziri na wakuu wa Mikoa wametajwa kwenye katiba, tuonyeshe Naibu PM ametajwa wapi? Kateua Jaji Mkuu amembaye kikatiba anatakiwa kuwa amestaafu kavunja katiba, kimsingi hakuna mvunja katiba kama huyu maza
Kwa mujibu wa Katiba ya JMT, Rais wa JMT anaweza ku create any office and any position, and abolish any office or any positions.

Kwa vile Rais wetu sio mwanasheria, hategemewi kuijua Katiba very deep bali kupitia kwa wasaidizi wake sheria. Kama hawamshauri the right thing, she has no reasons to doubt. Hili la Jaji Mkuu, nilishauri humu, Jaji Mugasha apewe maua yake Jaji Mugasha Apewe Maua Yake Kupinga Uvunjifu wa Katiba Ukomo wa CJ, ila Mbona Hili ni Dogo Tuu, Kubwa ni Katiba Yetu Imenajisiwa! Why Wako Kimya?!.
P
 
Nyi UWT akili zenu ni ndogo sn, hivi ni vyeo vya kitendaji vimetajwa kwenye sheria na sifa za Katibu Mkuu au RAS vipo wazi kwenye sheria ya utumishi wa umma na ndiyo maana akifika miaka 60 lazima astaafu na mafao yake yametajwa wazi wazi, hawa siyo wanasiasa, haya Cheo cha Naibu PM kimetajwa na Katiba au Sheria ipi?

Unafanya logical fallacy ya ad hominem attack.

Mtu akikupa hoja, unamrudishia kashfa za "nyinyi UWT". Hapo ndipo uwezo wako ulipoishia?

Umeondoka kwenye Katiba sasa umeongeza "katiba au sheria ipi"?

Nimekujibu kwenye suala la Mrema kuwa tatizo si katiba, tatizo labda cheo chake hakijarasimishwa huko chini, lakini katiba haina tatizo. Umekubali hilo kwanza?

Soma sheria

"Utekelezaji wa shughuli za Serikali Sheria ya 1984 Na.15 ib.9"

Soma sheria

"Mamlaka ya kuanzisha na kuwateua watu wa kushika nafasi za madaraka Sheria ya 1984 Na.15 ib.9 Sheria ya 2000 Na.3 ib.6"

Soma ibara ya 36 ya Katiba.

36.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo yaliyomo katika Katiba hii na ya sheria nyingine yoyote, Rais atakuwa na mamlaka ya kuanzisha na kufuta nafasi za madaraka ya namna mbalimbali katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.

(2) Rais atakuwa na madaraka ya kuteua watu wa kushika nafasi za madaraka ya viongozi wanaowajibika kuweka sera za idara na taasisi za Serikali, na watendaji wakuu wanaowajibika kusimamia utekelezaji wa sera za idara na taasisi hizo katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, nafasi ambazo zimetajwa katika Katiba hii au katika sheria mbalimbali zilizotungwa na Bunge kwamba zitajazwa kwa uteuzi unaofanywa na Rais.

(3) Bila ya kuathiri masharti ya ibara ndogo ya (2), masharti mengineyo yaliyomo katika Katiba hii na ya sheria yoyote inayohusika, mamlaka ya kuwateua watu wengine wote wasiokuwa viongozi wala watendaji wakuu, kushika nafasi za madaraka katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, na pia mamalaka ya kuwapandisha vyeo watu hao, kuwaondoa katika madaraka, kuwafukuza kazi na mamlaka ya kudhibiti nidhamu ya watu waliokabidhiwa madaraka, yatakuwa mikononi mwa Tume za Utumishi na mamlaka mengineyo yaliyotajwa na kupewa madaraka kuhusu nafasi za madaraka kwa mujibu wa Katiba hii au kwa mujibu wa sheria yoyote inayohusika.

(4) Masharti ya ibara ndogo ya (2) na ya (3) hayatahesabiwa kuwa yanamzuia Rais kuchukua hatua za kudhibiti nidhamu ya watumishi na utumishi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
 
Kwa mujibu wa Katiba ya JMT, Rais wa JMT anaweza ku create any office and any position, and abolish any office or any positions.

Kwa vile Rais wetu sio mwanasheria, hategemewi kuijua Katiba very deep bali kupitia kwa wasaidizi wake sheria. Kama hawamshauri the right thing, she has no reasons to doubt. Hili la Jaji Mkuu, nilishauri humu, Jaji Mugasha apewe maua yake Jaji Mugasha Apewe Maua Yake Kupinga Uvunjifu wa Katiba Ukomo wa CJ, ila Mbona Hili ni Dogo Tuu, Kubwa ni Katiba Yetu Imenajisiwa! Why Wako Kimya?!.
P
Ndiyo maana tunaingia mikataba ya hovyo ya kifisadi, Rais unatakiwa kuijua katiba haswa, kufanya tafiti, kuwa na mijadala ya kutosha na siyo kuendekeza kusifiwa sifa za uongoz na kudanganywa, Dikteta Magu pamoja na maovu yake lakini alikuwa anapenda kusoma sn vitu na kufuatilia ndiyo maana watendaji walianza kubadilika, wazanzibar ni wavivu sn wa kusoma wala kufanya tafiti ni watu soft sn.
 
Ahaaa, umeondoka kwenye Katiba sasa umeongeza "katiba au sheria ipi"?

Nimekijibu kwenye suala la Mrema kuwa tatizo si katiba, tatizo labda cheo chake hakijarasimishwa huko chini, lakini katiba haina tatizo. Umekubali hilo kwanza?

Soma sheria

"Utekelezaji wa shughuli za Serikali Sheria ya 1984 Na.15 ib.9"

Soma sheria

"Mamlaka ya kuanzisha na kuwateua watu wa kushika nafasi za madaraka Sheria ya 1984 Na.15 ib.9 Sheria ya 2000 Na.3 ib.6"

Soma ibara ya 36 ya Katiba.

36.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo yaliyomo katika Katiba hii na ya sheria nyingine yoyote, Rais atakuwa na mamlaka ya kuanzisha na kufuta nafasi za madaraka ya namna mbalimbali katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.

(2) Rais atakuwa na madaraka ya kuteua watu wa kushika nafasi za madaraka ya viongozi wanaowajibika kuweka sera za idara na taasisi za Serikali, na watendaji wakuu wanaowajibika kusimamia utekelezaji wa sera za idara na taasisi hizo katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, nafasi ambazo zimetajwa katika Katiba hii au katika sheria mbalimbali zilizotungwa na Bunge kwamba zitajazwa kwa uteuzi unaofanywa na Rais.

(3) Bila ya kuathiri masharti ya ibara ndogo ya (2), masharti mengineyo yaliyomo katika Katiba hii na ya sheria yoyote inayohusika, mamlaka ya kuwateua watu wengine wote wasiokuwa viongozi wala watendaji wakuu, kushika nafasi za madaraka katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, na pia mamalaka ya kuwapandisha vyeo watu hao, kuwaondoa katika madaraka, kuwafukuza kazi na mamlaka ya kudhibiti nidhamu ya watu waliokabidhiwa madaraka, yatakuwa mikononi mwa Tume za Utumishi na mamlaka mengineyo yaliyotajwa na kupewa madaraka kuhusu nafasi za madaraka kwa mujibu wa Katiba hii au kwa mujibu wa sheria yoyote inayohusika.

(4) Masharti ya ibara ndogo ya (2) na ya (3) hayatahesabiwa kuwa yanamzuia Rais kuchukua hatua za kudhibiti nidhamu ya watumishi na utumishi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
Unataka jibu gani zaidi ya hilo? wewe ndiyo umewataja Katibu mkuu na maRAS kuwa hawajatajwa kwenye katiba, nikakujibu kuwa ni vyeo vya kitendaji vyenyewe vipo kisheria zaidi, vyeo vya Rais, mpaka mbunge vipo kikatiba, haya cheo cha Naibu PM kimetajwa kwenye katiba au sheria ipi? maslahi yake kisheria ni yapi?
 
Kwa mujibu wa Katiba ya JMT, Rais wa JMT anaweza ku create any office and any position, and abolish any office or any positions.

Kwa vile Rais wetu sio mwanasheria, hategemewi kuijua Katiba very deep bali kupitia kwa wasaidizi wake sheria. Kama hawamshauri the right thing, she has no reasons to doubt. Hili la Jaji Mkuu, nilishauri humu, Jaji Mugasha apewe maua yake Jaji Mugasha Apewe Maua Yake Kupinga Uvunjifu wa Katiba Ukomo wa CJ, ila Mbona Hili ni Dogo Tuu, Kubwa ni Katiba Yetu Imenajisiwa! Why Wako Kimya?!.
P
Wakili Msomi,

Post #44 nimeweka ibara ya 36 ya katiba ku document hiyo habari ya rais kuwa na uwezo wa kikatiba wa kuunda na kuondoa vyeo katika serikali.

Watu wengi wanapinga kwa muhemko bila kujua katiba.
 
Unataka jibu gani zaidi ya hilo? wewe ndiyo umewataja Katibu mkuu na maRAS kuwa hawajatajwa kwenye katiba, nikakujibu kuwa ni vyeo vya kitendaji vyenyewe vipo kisheria zaidi, vyeo vya Rais, mpaka mbunge vipo kikatiba, haya cheo cha Naibu PM kimetajwa kwenye katiba au sheria ipi? maslahi yake kisheria ni yapi?
Kwanza kabisa umekubali kwamba cheo kutotajwa kwenye katiba si issue, kwamba rais ana uwezo wa kuteua mtu kushika cheo hata kama hakipo kwenye katiba? Kwamba rais ana uwezo wa kuunda na kuondoa cheo?

Tumalizane na hili kwanza.

Kwa sababu objection yako ya kwanza ilikuwa kwamba cheo hakipo katika katiba.
 
Unafanya logical fallacy ya ad hominem attack.

Mtu akikupa hoja, unamrudishia kashfa za "nyinyi UWT". Hapo ndipo uwezo wako ulipoishia?

Umeondoka kwenye Katiba sasa umeongeza "katiba au sheria ipi"?

Nimekijibu kwenye suala la Mrema kuwa tatizo si katiba, tatizo labda cheo chake hakijarasimishwa huko chini, lakini katiba haina tatizo. Umekubali hilo kwanza?

Soma sheria

"Utekelezaji wa shughuli za Serikali Sheria ya 1984 Na.15 ib.9"

Soma sheria

"Mamlaka ya kuanzisha na kuwateua watu wa kushika nafasi za madaraka Sheria ya 1984 Na.15 ib.9 Sheria ya 2000 Na.3 ib.6"

Soma ibara ya 36 ya Katiba.

36.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo yaliyomo katika Katiba hii na ya sheria nyingine yoyote, Rais atakuwa na mamlaka ya kuanzisha na kufuta nafasi za madaraka ya namna mbalimbali katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.

(2) Rais atakuwa na madaraka ya kuteua watu wa kushika nafasi za madaraka ya viongozi wanaowajibika kuweka sera za idara na taasisi za Serikali, na watendaji wakuu wanaowajibika kusimamia utekelezaji wa sera za idara na taasisi hizo katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, nafasi ambazo zimetajwa katika Katiba hii au katika sheria mbalimbali zilizotungwa na Bunge kwamba zitajazwa kwa uteuzi unaofanywa na Rais.

(3) Bila ya kuathiri masharti ya ibara ndogo ya (2), masharti mengineyo yaliyomo katika Katiba hii na ya sheria yoyote inayohusika, mamlaka ya kuwateua watu wengine wote wasiokuwa viongozi wala watendaji wakuu, kushika nafasi za madaraka katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, na pia mamalaka ya kuwapandisha vyeo watu hao, kuwaondoa katika madaraka, kuwafukuza kazi na mamlaka ya kudhibiti nidhamu ya watu waliokabidhiwa madaraka, yatakuwa mikononi mwa Tume za Utumishi na mamlaka mengineyo yaliyotajwa na kupewa madaraka kuhusu nafasi za madaraka kwa mujibu wa Katiba hii au kwa mujibu wa sheria yoyote inayohusika.

(4) Masharti ya ibara ndogo ya (2) na ya (3) hayatahesabiwa kuwa yanamzuia Rais kuchukua hatua za kudhibiti nidhamu ya watumishi na utumishi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
Mkuu Kiranga, thanks for this, Watanzania wanahitaji sana kuelimishwa kuhusu katiba, sheria na haki.
Kuna baadhi ni majinga sana, mfano hili jinga
This is unnecessary invasion to the right to privacy ya rais wetu!, kuna tofauti ya mwanaume na mwanamke kwenye idara hiyo, hivyo our president, she has all the rights to have all the comfortable amenities around her, 24/7.
P
 
Kwanza kabisa umekubali kwamba cheo kutotajwa kwenye katiba si issue, kwamba rais ana uwezo wa kuteua mtu kushika cheo hata kama hakipo kwenye katiba?

Tumalizane na hili kwanza.

Kwa sababu objection yako ya kwanza ilikuwa kwamba cheo hakipo katika katiba.
Mkuu siamini kama unaelewa hata unachobishania, Katiba umenukuu mwenyewe lakini bado huelewi. Hatari sn
 
Unataka jibu gani zaidi ya hilo? wewe ndiyo umewataja Katibu mkuu na maRAS kuwa hawajatajwa kwenye katiba, nikakujibu kuwa ni vyeo vya kitendaji vyenyewe vipo kisheria zaidi, vyeo vya Rais, mpaka mbunge vipo kikatiba, haya cheo cha Naibu PM kimetajwa kwenye katiba au sheria ipi? maslahi yake kisheria ni yapi?
Sio kila cheo au kila office lazima itajwe kwenye katiba, once established, protocol zake na maslahi yake yanatengenezwa, and by now yameishatengenezwa, watu hatuna utamaduni wa kusoma gazeti la Serikali, the government gazette, kila kitu kuhusu establishments kinatangazwa.
P
 
Katiba ikitaka kubadilishwa ya nchii ni kwanza kiondoke chama cha ccm. Bila hivo tutazidi kumuongea max JF ma v8,kwa kufuta nyuzi za ukweli
 
Wakili Msomi,

Post #44 nimeweka ibara ya 36 ya katiba ku document hiyo habari ya rais kuwa na uwezo wa kikatiba wa kuunda na kuondoa vyeo katika serikali.

Watu wengi wanapinga kwa muhemko bila kujua katiba.
Mkuu Kiranga , kwanza mimi japo ni wakili, siungi mkono mawakili kujiita wasomi, ni pompous titles.

Asante kuendelea kuwafundisha katiba, sheria na haki members wetu humu, kwenye eneo la utoaji elimu kwa umma ndiko mimi niliko jikita. Thanks for this.
P
 
Sio kila cheo au kila office lazima itajwe kwenye katiba, once established, protocol zake na maslahi yake yanatengenezwa, and by now yameishatengenezwa, watu hatuna utamaduni wa kusoma gazeti la Serikali, the government gazette, kila kitu kuhusu establishments kinatangazwa.
P
Kisipotajwa kwenye katiba lazima kitajwe kwenye sheria maana kila cheo kina maslahi yake na masharti yake, kisipokuwepo kwenye sheria au katiba kinakuwa kwenye gazeti la serikali pekee? na maslahi yake yanakuwa kwenye gazeti pekee? nashauri tuweke uchawa pembeni, kwa hiyo leo Rais anaweza kuamka tu akakifuta cheo cha Makamu au Waziri Mkuu kisa atakitangaza kwenye gazeti kuwa amekifuta?
 
Mkuu siamini kama unaelewa hata unachobishania, Katiba umenukuu mwenyewe lakini bado huelewi. Hatari sn
Moja ya njia za kumaliza tatizo ni kuligawanya tatizo hilo katika sehemu ndogondogo na kutatua zile sehemu ndogondogo.

Objection yako ya kwanza ilikuwa kwamba rais kateua mtu kushika cheo ambacho hata kwenye katiba hakipo.

Nimekuonesha kuwa kuna wateule wengi wa rais vyeo vyao havipo katika katiba.

Nimekuonesha ibara ya 36 ya katiba inayoonesha rais ana mamlaka ya kuunda na kuondoa vyeo serikalini.

Mpaka sasa, umekubali kwamba cheo kutokuwapo kwenye katiba si tatizo linalomzuia rais kumteua mtu kushika cheo? Unakubali kwamba katiba inampa rais mamlaka ya kuunda na kuondoa vyeo katika utumishi wa serikali?
 
Kisipotajwa kwenye katiba lazima kitajwe kwenye sheria maana kila cheo kina maslahi yake na masharti yake, kisipokuwepo kwenye sheria au katiba kinakuwa kwenye gazeti la serikali pekee? na maslahi yake yanakuwa kwenye gazeti pekee? nashauri tuweke uchawa pembeni, kwa hiyo leo Rais anaweza kuamka tu akakifuta cheo cha Makamu au Waziri Mkuu kisa atakitangaza kwenye gazeti kuwa amekifuta?
Kwa hiyo umekubali kwamba kutotajwa kwenye katiba si issue, kwa sababu kinaweza kutotajwa kwenye katiba kikatajwa kwenye sheria?
 
Back
Top Bottom