Askofu Almachius Rweyongeza: JamiiForums pekee ndio wameripoti Waraka wa TEC mkataba wa DP World kwa Weledi

Hekima itumike, huu mkataba wa DP World uachwe.

Wote waliohusika nao wajiudhuru.

Vinginevyo, tutarajie mambo kuwa mabaya zaidi.
 
Kwani Serikali inalazimishwa kufuata maoni ya hao Maaskofu?
Mkuu achana nae huyo Punguani!Ana Msongo wa Mawazo maana amesahau kuwa Melo na Mushi ni Wakristo sijui kikinuka atakuwa anapost wapi Huo ujinga wake.
 
Tamko la TEC NI uchafu UJINGA udini Jamii forums NI chombo chenu kitaachaje kuandika vyombo vya habari vyenye kujua maadili Yao hawawezi andika mambo ya kuwagawa Taifa
 
Tamko la TEC NI uchafu UJINGA udini Jamii forums NI chombo chenu kitaachaje kuandika vyombo vya habari vyenye kujua maadili Yao hawawezi andika mambo ya kuwagawa Taifa
Thibitisha, ukishindwa, futa kauli yako mkuu...hapa JF ni kama bungeni hivi... sio maneno yasiyo na ushahidi
 
Jee uhuni WA Jecha TEC wakitoka tamko? Hivyo wote NI wanafik Tu wanafikiri Kwa matumbo
 
Safi sana.

Vyombo vikubwa vya habari Tanzania vimejawa na unafiki na vinaiogopa sana CCM.

Hata Maalim Seif alipofanyiwa uhuni na JECHA (huko aliko ahukumiwe anavyostahili) hakuna hata chombo kimoja kilichoripoti kadhia Ile.
Tec walitoa tamko baada uhuni WA Jecha? Hivyo genge la TEC NI genge la wahuni tuu kama magenge mengine
 
Wamevishwa nepi. Wanajiendea haja humo humo hakuna anayeona bali tunapata harufu tu.

Uhuru wa vyombo vya habari upo mikononi mwa Nepi
 
Mkuu mpaka muda huu umemaliza kreti la Mo Energy. Hulali wala husinziimaana hauamini namna meza ilivyopinduliwa mbele yenu
 
JF mna leseni hai kweli au tutarajie ya The Cask Bar and Grill?
 
Mkuu mpaka muda huu umemaliza kreti la Mo Energy. Hulali wala husinziimaana hauamini namna meza ilivyopinduliwa mbele yenu
Pesa ipi? Unaamini kabisa Serikali itaacha kutekeleza mipango yake ya kimaendeleo kwa sababu ya matamko ya vyombo vya kidini? Utakuwa ni mjinga wa mwisho kabisa hapa duniani
 
Pesa ipi? Unaamini kabisa Serikali itaacha kutekeleza mipango yake ya kimaendeleo kwa sababu ya matamko ya vyombo vya kidini? Utakuwa ni mjinga wa mwisho kabisa hapa duniani
Maneno yanapandana wala hujui unaongelea kitu gani.

Kalale mkuu, kutetea ujinga haukufanyi uonekane una akili sana
 
Una matatizo ya akili ya uelewa. Nini kazi ya waandishinwa habari!
Si ukalele !
 
Wenyewe wanadai uhuru wa habari umeongezeka na magazeti hayafungiwi huku wahariri wanapigiwa simu kuambiwa kipi kichapwe na kipi kiachwe!

Balile ni kama Karani wa ofisi ya Nape kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…