Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Tumeusikiliza!!Waraka wenyewe wananchi wameupuuza wala haujasikilizwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeusikiliza!!Waraka wenyewe wananchi wameupuuza wala haujasikilizwa.
Nimeshakwambia siyo kazi yangu.Acha kuhamisha magoli mzee.
Huna huo ushahidi. Piga kimya tu
Toka kwa baba askofu at :5:10
View: https://youtu.be/EOOgv3JLEj0
=====
Media zote Tanzania hajaripoti Waraka wa TEC isipokuwa ni mitadao ya kijamii pekee na JamiiForums pekee ndio wameripoti tena kwa weledi mkubwa, je waraka huo haukukidhi vigezo vya kuw ahabari kubwa? La hasha ulikidhi ila hajaripotiwa kwa kuwa huenda umezuiliwa usiripotiwe ili usiwafikie walio wengi, lakini hawakujua nguvu ya mitandao habari husambaa kwa haraka zaidi kuliko mainstreem.
Na nawaasa wakati wa uchaguzi mchague viongozi watakaofaa, uchaguzi uliopita ulikuwa na makosa mengi sasa mchague viongozi wanaoweza kuwatetea na kuongoza vyema, na nyie mtimize wajibu wenu, mnachagua viongozi wanaobadili sheria za nchi ili ziwafae, na mnapewa rushwa na kuchagua viongozi wasiofaa sasa mnaanza kutuuliza sisi tuwasemee kwa nini mnatusukumia sisi,
Sisi tumetimiza wajibu wetu na tuko tayari kufa ndio maana ya nguo nyekundu hizi, tuko tayari kufa kwani tutakuwa tumekufa pamoja na Kristo kwa kutimiza wajibu wetu tatizo litabaki kwenu mtimize wajibu wenu.
Kaka kama masuala binafsi yatahitaji kutolewa waraka itakuwa kila siku ni waraka 😆😆😆....Kama hoja ni mawazo ya wananchi kusikilizwa kwa nini hawakutoa waraka juu ya maoni ya wananchi kusikilizwa pale wananchi walipowalalamikia wenzao kula pesa za escrow?
Huyo Mama yenu asingekuwa Rais, bila MagufuliHuyo padri zuzu kweli anasubiri jamaa yao kadedi ndio anasema uchaguzi ulikuwa na mapungufu, kama yeye mwanaume kweli angesema kipindi kile mgalatia mwenzao yuko hai.
Acheni mambo ya udini nyie watu.Huyo padri zuzu kweli anasubiri jamaa yao kadedi ndio anasema uchaguzi ulikuwa na mapungufu, kama yeye mwanaume kweli angesema kipindi kile mgalatia mwenzao yuko hai.
Ukweli kwa mujibu wa nani?Nimeshakwambia siyo kazi yangu.
Rugemalira akuiba Hela za Tegeta Escrow na huo ndiyo ukweli.
Kwa nini Kikwete aliruhusu hela hizo zitolewe?
Kama siyo ukweli ni kwanini Rugemalira aliachiwa??Ukweli kwa mujibu wa nani?
Kwa hiyo malalamiko ya wananchi juu ya pesa za escrow yalikuwa masuala binafsi?Kaka kama masuala binafsi yatahitaji kutolewa waraka itakuwa kila siku ni waraka 😆😆😆....
Kwani kuachiwa inamaanisha hujafanya kosa?Kama siyo ukweli ni kwanini Rugemalira aliachiwa??
Sema umeusikiliza sio tumeusikiliza, walioenda Kanisani nimejaribu kuwauliza vipi waraka unasemaje? Majibu Yao ni kwamba ilipofika muda wa kusoma utulivu ulipungua make kila muumini alikuwa bize kwenda chooni kukojoa!Tumeusikiliza!!
Sasa kama limewafikia watu wengi kwa nini mnalalamika halijatangazwa na mainstream media?Badala yake ni tamko lililo wafikia wengi zaidi kuliko walivyo dhani.
Asante mno jamii forums, hampo kwa bahati mbaya, kusudi la uwepo jamii forum ni ukombozi wa fikra zetu, ukombozi wa uhuru wetu, ukombozi wa kila linalo tupasa.
Jamii forums itakuwepo na itazidi kuwepo
Zombe mahakama ilisema Ili kumtia hatiani ni mpaka awepo Koplo Sad kuthibitisha kuwa alitumwa na Zombe kuwaua wale wafanyabiashara wa madini wa mahenge.Kwani kuachiwa inamaanisha hujafanya kosa?
Zombe aliachiwa kuhusu mauaji wa wafanyabiashara wa madini ila unaamini hakufanya lile kosa?
Mm binafsi niliona hivyo,labda nitoe kamfano ;pesa yako umeuza kiwanja ukagawa kwa jamaa zako.Kwa hiyo malalamiko ya wananchi juu ya pesa za escrow yalikuwa masuala binafsi?
Kwani Rugemalila mahakama ilisema hana hatia?Zombe mahakama ilisema Ili kumtia hatiani ni mpaka awepo Koplo Sad kuthibitisha kuwa alitumwa na Zombe kuwaua wale wafanyabiashara wa madini wa mahenge.
Kwa Ivo mahakama haikuwahi kusema kuwa Zombe ana ama hana hatia mpaka pale Koplo Sad atakapopatikana.
Kwa ishu ya Rugemalira yeye hata kesi yenyewe haijawahi kuendeshwa.
Tulia brother, angalia hata upepo unavuma kuekekea wapi, uchawa usikutie aibu kiasi hicho.Sasa kama limewafikia watu wengi kwa nini mnalalamika halijatangazwa na mainstream media?
Tukisema nyie watu mmechanganyikiwa mnatusema tunawaonea!
Mnasumbuliwa na sonona, chuki na msongo wa mawazo kwa kweli
Upepo kivipi? Nyie watu mmechanganyikiwa hakikaTulia brother, angalia hata upepo unavuma kuekekea wapi, uchawa usikutie aibu kiasi hicho.