Askofu Almachius Rweyongeza: JamiiForums pekee ndio wameripoti Waraka wa TEC mkataba wa DP World kwa Weledi

Mimi Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume

Napendekeza Waraka Wa TEC Usomwe katika Makanisa Na Jumuia Ndogondogo Za Jumuia ya Afrika Mashariki/ East African Community.
 
Kwa hiyo wanatoa waraka ili utangazwe kwenye vyombo vya habari?

Si walisema usomwe kwenye parokia na jumuiya zao? Sasa mbona mapovu yanawatoka kutaka utangazwe kwenye vyombo vya habari?

Wanavipangia vyombo vya habari habari za kutangaza? Kwani ni lazima vyombo vya habari viutangaze huo waraka?

Hawa watu ni kama wamechanganyikiwa wezi wakubwa
PUNGUZA HASIRA KAZI YA VYOMBO VYA HABARI NI KURIPOTI HABARI HUU WARAKA NI HABARI KUBWA VINAZINDWAJE KURIPOTI? PAMOJA NA KUVIZUIA TEC NI TAIFA KUBWA IPO MPAKA NGAZI YA FAMILIA HABARI IMEWAFIKIA WENYE NCHI YAO
 
Waraka habari kubwa kwa mujibu wa nani?

Hayo ni makasiriko ya wahuni wanaotaka kuendelea kuiibia hii nchi kutokana na kutokuwa na mifumo bora Kwenye sehemu zenye pesa.
 
Kwa hiyo wanatoa waraka ili utangazwe kwenye vyombo vya habari?

Si walisema usomwe kwenye parokia na jumuiya zao? Sasa mbona mapovu yanawatoka kutaka utangazwe kwenye vyombo vya habari?

Wanavipangia vyombo vya habari habari za kutangaza? Kwani ni lazima vyombo vya habari viutangaze huo waraka?

Hawa watu ni kama wamechanganyikiwa wezi wakubwa
Subiri tende za msaada, Hakuna askofu masikini.
 
Wananchi wa wapi walioupuuza. Huku kwetu tumeupokea na tunawashukuru kutufungua macho. Tuko pamoja nao na tunawaunga mkono kwa kuwa wanapinga mkataba mbovu hawajapinga kwa sababu ya dini wala taifa la wale wa upande wa pili wa mkataba. Hawapingi UWEKEZAJI bali wanapinga MKATABA MBOVU. Kwa nini baadhi yetu hatuelewi kinachopingwa na tunaelekezwa kusiko na wanufaika wa mkataba huu? Pathetic!!!
 
Kwa hiyo wanatoa waraka ili utangazwe kwenye vyombo vya habari?

Si walisema usomwe kwenye parokia na jumuiya zao? Sasa mbona mapovu yanawatoka kutaka utangazwe kwenye vyombo vya habari?

Wanavipangia vyombo vya habari habari za kutangaza? Kwani ni lazima vyombo vya habari viutangaze huo waraka?

Hawa watu ni kama wamechanganyikiwa wezi wakubwa
Wezi wakubwa huku mmeshindwa kuwapeleka mahakaman ni mpumbavu pekee anaueweza kuamini upumbavu wako.
 
tunaomba waweke wazi pia jinsi wao wanavyo faidika na hali ya sasa ya bandari. Je kanisa lina maslahi gani hapo bandarini kwa sasa?
 
Alafu tunaambiwa awamu hii media zipo huru. Media zote zimekimbia habari ya TEC na aibu kubwa zikatumiwa ka ujumbe ka kihuni kuhusu maaskofu wakapost wote huo ujinga.

Media za Tanzania kwavile mmekuwa mnaendeshwa na kuogopa kutangaza baadhi ya habari, huko mbele msilie mkishughulikiwa. Tutawakumbusha huu usaliti wenu.

Vyombo vya habari Tanzania vimetusaliti! Ipo siku tutawakumbusha haya hadharani hasa nyie wamiliki na wahariri.
 
Back
Top Bottom