Askofu anamiliki HAMMER ya 250million!

Askofu anamiliki HAMMER ya 250million!

Status
Not open for further replies.
Haki yenu isipozidi haki ya mafarisayo, hamwezi kuingia mbinguni. Ni maneno yake Yesu mwenyewe. kardinali Pengo, mkatoliki na kwa mujibu wa mtazamo za kipentekoste hajaokoka (maana ya hili unalijua). kwa sasa

1 - anajenga vocational training na hospital kisiju-mkuranga ambako 99.5% ni waislamu-nimeshuhudia kwa macho yangu.

2-alipewa msaada na shirika moja la kiitaliano, lakini yeye akaamua kutoa msaada huo kujenga modern state of the art labour ward and theater na kuikarabati hospitali yote wilaya ya mafia pale kilindoni (note that 98% ya Mafia dwellers ni waislamu)

4-wakati wa jubilei aliomba gari land cruser, but amelipeleka kuhudumia wagonjwa hopitali ya mafia.

3 - kituo cha PASADA kusaidia walioathirika na HIV pale changombe, na vitu kibao.

4 - na nenda Kanisani St joseph uliza gari la kardinali analotumia utaambiwa ni Toyota escudo.

Je leo ikiwapo hukumu kwa haya mambo machache niliyokutajia ni nani scale yake ya matendo ya rehema na huruma itakuwa juu na atapata kibali mbele za Mungu.

Mimi si mkatoliki lakini wachungaji wa kipentekoste wanachefua kwa lachish life wanayoishi.

Mwendawazimu peke yake ndiye anayeweza kutetea, maisha ya anasa ambayo yamekuwa fashioni kwa wachungaji hawa.

Ikiwa huoni shida hapo linganisha maisha hayo ya pengo na ya huyo mchungaji wetu na uone nani anatumika shambani mwa BWANA kwa moyo wake wote na kwa akili na mali zake zote. Ningependa pia useme mpaka amenunua hiyo hammer maana kusema amepewa na wajapani huo ni uongo mtakatifu, amefanya tendo gani la huruma na rehema kwa wenye dhiki ndani ya kanisa lake na nje ya kanisa.

Kwaanza hakuna Gari linaloitwa TOYOTA ESCUDO. Kanisa Katoliki lina mali tangu enzi za Constatine karne ya sita Hata hiyo Toyota Escudo hakuitaji kuwa nayo kwani anatakiwa atembelee gari la Kanisa. Embu jiulize kwanini Yesu alisema maneno haya Marko 14:4
4[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Baadhi ya watu waliokuwapo pale walikuwa wakisemezana wao kwa wao, ‘‘Kwa nini ubadhirifu huu wa manukato? [/FONT][/FONT]5[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Mafuta haya yangeweza kuuzwa kwa zaidi ya dinari 300[/FONT][/FONT]b [FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]na fedha hizo wakapewa maskini.’’ Wakamkemea vikali huyo mwanamke.
[/FONT]
[/FONT]6[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Lakini Yesu akawaambia, ‘‘Kwa nini mnamsumbua? Mwacheni! Amenitendea jambo la kupendeza. [/FONT][/FONT]7[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Maskini mnao pamoja nanyi siku zote na mnaweza kuwasaidia wakati wo wote mnaotaka. Lakini Mimi hamko nami daima. [/FONT][/FONT]8[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Huyu mwanamke amenitendea lile aliloweza. Ameutia mwili wangu manukato kuniandaa kwa maziko Yangu. [/FONT][/FONT]9[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Amin, amin nawaambia, mahali po pote duniani ambapo Injili itahubiriwa, jambo hili alilotenda huyu mwanamke litatajwa kwa ukumbusho wake. " [/FONT][/FONT]
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][/FONT][/FONT]
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][/FONT][/FONT]
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]MUNGU ANAANGALIA SANA ROHONI. Toa utoavyo lakini kama rohoni ni kuchafu wapoteza muda
[/FONT]
[/FONT]
 
Kwaanza hakuna Gari linaloitwa TOYOTA ESCUDO. Kanisa Katoliki lina mali tangu enzi za Constatine karne ya sita Hata hiyo Toyota Escudo hakuitaji kuwa nayo kwani anatakiwa atembelee gari la Kanisa. Embu jiulize kwanini Yesu alisema maneno haya Marko 14:4
4[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Baadhi ya watu waliokuwapo pale walikuwa wakisemezana wao kwa wao, '‘Kwa nini ubadhirifu huu wa manukato? [/FONT][/FONT]5[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Mafuta haya yangeweza kuuzwa kwa zaidi ya dinari 300[/FONT][/FONT]b [FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]na fedha hizo wakapewa maskini.'' Wakamkemea vikali huyo mwanamke. [/FONT]
[/FONT]6[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Lakini Yesu akawaambia, '‘Kwa nini mnamsumbua? Mwacheni! Amenitendea jambo la kupendeza. [/FONT][/FONT]7[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Maskini mnao pamoja nanyi siku zote na mnaweza kuwasaidia wakati wo wote mnaotaka. Lakini Mimi hamko nami daima. [/FONT][/FONT]8[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Huyu mwanamke amenitendea lile aliloweza. Ameutia mwili wangu manukato kuniandaa kwa maziko Yangu. [/FONT][/FONT]9[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Amin, amin nawaambia, mahali po pote duniani ambapo Injili itahubiriwa, jambo hili alilotenda huyu mwanamke litatajwa kwa ukumbusho wake. " [/FONT][/FONT]

[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]MUNGU ANAANGALIA SANA ROHONI. Toa utoavyo lakini kama rohoni ni kuchafu wapoteza muda[/FONT]
[/FONT]

Ni suzuki escudo, it is a minor error. NA SIJASEMA NI GARI LAKE, NIMESEMA ANALOTUMIA. HATA UKIMWALIKA NI LAZIMA WEWE ULIYEMWALIKA UMTUMIE USAFIRI KWA SABABU USAFIRI WAKE HIYO ESCUDO INAMILIKIWA NA PAROKIA YA ST JOSEPH.
SI MPENDA ANASA KAMA GWAJIMA WAKO. KWANZA GWAJ WAKO KAWEKA WAJANE NDIYO WASAIDIZI WAKE-HILO UNAONA NI SAWA...ACHA UJINGA TUTAANZA KUMVUA NGUO SASA.........!!!!!!!
Kumbuka kuwa hata unapotoa ukijua unachotoa hakitendi kazi ya Mungu unatenda dhambi na sadaka yako ni batili. Ndicho wengi mnafanya.

hata maandiko unayonukuu hayaendani kabisa na mada. Huyu mchungaji wenu alitakiwa ahubiri sana hapa nchini. Ingekuwa Mungu alimpa wito wa kuhubiri china na japani angekuwa huko na asingeanzisha kanisa hapa.
hata kakobe alianza kutoka na kuhubiri nje ya nchi na hata mwingira pia na wengine wengi wameanza kuhubiri nje ya nchi baada ya kuwa wamechapa kazi ya Mungu sana hapa nchini na matunda yameonekana. Huyo gwajima wenu kuna tatizo la utume wake.

Mshaurini aangalie ni wapi ameteleza, Mungu ni mwingi wa rehema atamrejesha na kumkumbusha wito wake.
Nijuavyo mimi china hasa Hong Kong inataka alliance na makanisa ya africa na hii nikwa nchi zote za ASEAN na china. Kusema ana makanisa huko hilo ni changa la macho.

UKIOKOKA UNAKUWA KUHANI WA KWELI NA KUSEMA UKWELI; IWENI WAKWELI KAMA KRISTO ALIVYO MKWELI.
 
kwaanza hakuna gari linaloitwa toyota escudo. Kanisa katoliki lina mali tangu enzi za constatine karne ya sita hata hiyo toyota escudo hakuitaji kuwa nayo kwani anatakiwa atembelee gari la kanisa. Embu jiulize kwanini yesu alisema maneno haya marko 14:4
4[font=arial narrow,arial narrow][font=arial narrow,arial narrow]baadhi ya watu waliokuwapo pale walikuwa wakisemezana wao kwa wao, ‘‘kwa nini ubadhirifu huu wa manukato? [/font][/font]5[font=arial narrow,arial narrow][font=arial narrow,arial narrow]mafuta haya yangeweza kuuzwa kwa zaidi ya dinari 300[/font][/font]b [font=arial narrow,arial narrow][font=arial narrow,arial narrow]na fedha hizo wakapewa maskini.’’ wakamkemea vikali huyo mwanamke. [/font]
[/font]6[font=arial narrow,arial narrow][font=arial narrow,arial narrow]lakini yesu akawaambia, ‘‘kwa nini mnamsumbua? Mwacheni! Amenitendea jambo la kupendeza. [/font][/font]7[font=arial narrow,arial narrow][font=arial narrow,arial narrow]maskini mnao pamoja nanyi siku zote na mnaweza kuwasaidia wakati wo wote mnaotaka. Lakini mimi hamko nami daima. [/font][/font]8[font=arial narrow,arial narrow][font=arial narrow,arial narrow]huyu mwanamke amenitendea lile aliloweza. Ameutia mwili wangu manukato kuniandaa kwa maziko yangu. [/font][/font]9[font=arial narrow,arial narrow][font=arial narrow,arial narrow]amin, amin nawaambia, mahali po pote duniani ambapo injili itahubiriwa, jambo hili alilotenda huyu mwanamke litatajwa kwa ukumbusho wake. " [/font][/font]

[font=arial narrow,arial narrow][font=arial narrow,arial narrow]mungu anaangalia sana rohoni. Toa utoavyo lakini kama rohoni ni kuchafu wapoteza muda[/font]
[/font]

yaani hata thamani ya gari analoendesha inazidi thamani ya kanisa. You people are very fun if not stupid to see it!!!!!!!!!!!!
 
Unashangaa Hummer? ALIPEWA HUMMER MBILI NA MAGARI MENGINE YA KIJAPANI AMEWAGAWIA WACHUNGAJI WENZAKE. Hummer ingine inauzwa kama kuna mtu anataka pesa yake tu. Pia bei mmekuza sana siyo 250 milioni uje na 80 milioni tu! kwani siyo mpya zote ni used.

Subirini miaka mitano mbele mtaona mambo makubwa na magumu ambayo Mungu anaenda kutenda kupia lile Kanisa. Wengi walio kinyume leo kesho wanaenda kuwa wapendwa palepale kilimani mwa Bwana

siku hizi wachina kariakoo wapo wengi...hata ze komedi wanawakodishaga wanafanya nao shooting.......

....je kanisa lina mipango endelevu au limejikita juu ya mwanzilishi wake....? maana thats the big problem ya makanisa uyoga....sustainability....yalipokuwa yote chini ya pentecoste au TAG ...yalikuwa yanaeleweka zaidi tofauti na sasa kila mtu na lwake......kwanini hayaungani???ili yadumu milele...
 
Makanisa yote utapeli tu, dini zote uongo tu, uongo mkubwa kabisa ni kuwafanya watu waamini katika mungu ambaye hayupo.

Mungu, malaika, jini na shetani ni wewe mwenyewe mwanadamu.
 
My my my Yeah, now isee!! here we have a league between angles Vs demons. I am not worth enough to know who is who but you observers knowing it very much, that U can tell!!
 
Wa Tz wote mnaosali kwenye makanisa ya kisasa amkeni. Hao manabii, mitume wengi wanatumia uchawi na umeme kwenye mikoba na pete kuwatupia mfikirie ni roho mtakatifu halafu mnatoa sadaka kama wajinga wenyewe wanatajirika.
 
Ni suzuki escudo, it is a minor error. NA SIJASEMA NI GARI LAKE, NIMESEMA ANALOTUMIA. HATA UKIMWALIKA NI LAZIMA WEWE ULIYEMWALIKA UMTUMIE USAFIRI KWA SABABU USAFIRI WAKE HIYO ESCUDO INAMILIKIWA NA PAROKIA YA ST JOSEPH.
SI MPENDA ANASA KAMA GWAJIMA WAKO. KWANZA GWAJ WAKO KAWEKA WAJANE NDIYO WASAIDIZI WAKE-HILO UNAONA NI SAWA...ACHA UJINGA TUTAANZA KUMVUA NGUO SASA.........!!!!!!!
Kumbuka kuwa hata unapotoa ukijua unachotoa hakitendi kazi ya Mungu unatenda dhambi na sadaka yako ni batili. Ndicho wengi mnafanya.

hata maandiko unayonukuu hayaendani kabisa na mada. Huyu mchungaji wenu alitakiwa ahubiri sana hapa nchini. Ingekuwa Mungu alimpa wito wa kuhubiri china na japani angekuwa huko na asingeanzisha kanisa hapa.
hata kakobe alianza kutoka na kuhubiri nje ya nchi na hata mwingira pia na wengine wengi wameanza kuhubiri nje ya nchi baada ya kuwa wamechapa kazi ya Mungu sana hapa nchini na matunda yameonekana. Huyo gwajima wenu kuna tatizo la utume wake.

Mshaurini aangalie ni wapi ameteleza, Mungu ni mwingi wa rehema atamrejesha na kumkumbusha wito wake.
Nijuavyo mimi china hasa Hong Kong inataka alliance na makanisa ya africa na hii nikwa nchi zote za ASEAN na china. Kusema ana makanisa huko hilo ni changa la macho.

UKIOKOKA UNAKUWA KUHANI WA KWELI NA KUSEMA UKWELI; IWENI WAKWELI KAMA KRISTO ALIVYO MKWELI.
Nyie wote wazushi tu. Mijini kwetu magari yote ya kifahari yanayojulikana na kupigwa vita serikalini hayo tena ndiyo yamejaa mitaani na ni ya makanisa yenu mnayodai yanatumia escudo.
Waongopeeni vipofu wenzenu.
Bado nitabaki muaminifu kwa makanisa haya haya na si yenu. Mtashangaa mtakaponikuta mkono wa kuume wa Yesu.
 
Wa Tz wote mnaosali kwenye makanisa ya kisasa amkeni. Hao manabii, mitume wengi wanatumia uchawi na umeme kwenye mikoba na pete kuwatupia mfikirie ni roho mtakatifu halafu mnatoa sadaka kama wajinga wenyewe wanatajirika.
Sure your a evil agent! Mungu akushughulikie hadi utakapo repent!
 
Sure your a evil agent! Mungu akushughulikie hadi utakapo repent!

Mungu hawezi kumshughulikia Tujisenti maana anasema ukweli. Watu wengi siku hizi wanahama makanisa yao wakidai hayana upako na kuhamia makanisa ambayo askofu/mchungaji anafanya miujiza ya uongo. Ukiona mtu amekuja akapona basi unakubali haraka haraka kuwa ni nguvu za Mungu, wakati shetani naye yuko na ana nguvu za kufanya miujiza ya kuponya vile vile.
 
Haya yote yaliandikwa lakini cha msingi ni imani tu lakini what is behind the scene GOD know's
 
Mungu hawezi kumshughulikia Tujisenti maana anasema ukweli. Watu wengi siku hizi wanahama makanisa yao wakidai hayana upako na kuhamia makanisa ambayo askofu/mchungaji anafanya miujiza ya uongo. Ukiona mtu amekuja akapona basi unakubali haraka haraka kuwa ni nguvu za Mungu, wakati shetani naye yuko na ana nguvu za kufanya miujiza ya kuponya vile vile.
Kama unasema mungu wa tujisenti hawezi kumshughulikia hapo nitakuelewa lakini Mungu wangu anaweza kumshughulikia.
Ninamuamini Mungu wangu aliye hai.
Sikuokoka kwa sababu ya kuona muujiza kwa mtu mwingine bali huyo Mungu wangu ninayemuamini alishughulika na mimi na bado anashughulika na mimi.
Sijaona uponyaji wala muujiza kwa watu wengine peke yao bali muujiza wa kwanza ulianzia kwangu. WOKOVU.
Halafu niliponywa na shida za magonjwa na leo ni mwaka wa saba hata hospitali sipajui.
Liimidiwe jina la Mungu wangu huyo. yeye ni Jehova, Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo. Yeye yu hai na ni mshidi. Maneno yako na huyo tujisenti hayawezi kubadilisha ukweli huu. Nakushauri kwanza muamini Mungu huyu anayeweza kuponya mwili na roho.
 
n85299705407_6554.jpg

Hallelujah[1].gif
 
"Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana....."
Na bado,mil 250 tu???????????! watu wanashangaa.
Lazima urithi wa watoto wa Mungu urudi mikononi mwao.
 
Siamini kama bado kuna mazuzu yanayodanganywa na hizi dini za middle east kiasi hiki!

Hivi bado kuna wanaoamini kuwa Mungu ambaye yote kayaumba mwenyewe anahitaji kupewa kitu na viumbe vyake? What sense does it make, kuwa kila kilichoko duniani na kwingineko kimeumbwa na Mungu, yet Mungu huyohuyo anataka apewe hivyo vitu ilhali ni vyake tayari! Nonsense, total nonsense!

Na wajinga wataendelea kugugunwa tu!
 
Kama unasema mungu wa tujisenti hawezi kumshughulikia hapo nitakuelewa lakini Mungu wangu anaweza kumshughulikia.
Ninamuamini Mungu wangu aliye hai.
Sikuokoka kwa sababu ya kuona muujiza kwa mtu mwingine bali huyo Mungu wangu ninayemuamini alishughulika na mimi na bado anashughulika na mimi.
Sijaona uponyaji wala muujiza kwa watu wengine peke yao bali muujiza wa kwanza ulianzia kwangu. WOKOVU.
Halafu niliponywa na shida za magonjwa na leo ni mwaka wa saba hata hospitali sipajui.
Liimidiwe jina la Mungu wangu huyo. yeye ni Jehova, Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo. Yeye yu hai na ni mshidi. Maneno yako na huyo tujisenti hayawezi kubadilisha ukweli huu. Nakushauri kwanza muamini Mungu huyu anayeweza kuponya mwili na roho.

Sawa umeponywa magonjwa yote na umepata muujiza wa wokovu, lakini labda nikuulize maswali yafuatayo?

1. Kabla ya kuhamia makanisa hayo ambayo Tujisenti anayaita ya "KISASA" ulikuwa unasali kanisa gani?

2. Kwa nini uliondoka huko? Ina maana huko hakuna Mungu?

3. Je hakuna watu waliiokoka na wanaomtumikia Mungu kisawasawa katika kanisa uliloondoka?

4. Ina maana Mungu alikupa neema ya wokovu na kukwambia "toka huko maana huko siko"?

5. Una maoni gani kuhusu watu ambao hawajaokoka na bado hawajawahi kuumwa kwa miaka kumi sasa?

Jibu then tuendelee....
 
Ajabu iko wapi wewe?

Nenda uwaone waumini wa mtu huyu, ni watu wenye pesa zao na wanaheshimika mno katika jamii, si wale mazuzu ambao utasema labda wanadanganywa..Ni watu wenye uelewa kuliko wewe!

Nani aliyewaambia kwa Mungu wetu kuna umasikini?

Hakuna definition ya umasikini zaidi ya MENDE NA PANYA, mnataka watu wanaomtumikia Mungu aliye hai waishi na funza na Panya ndo muone wanaongea ukweli?

Acheni fikra mbofumbofu bana, mi naona sawa, ili mradi hakuna malalamiko kanisani kwake,,who are we to judge?
Kiongozi wa kanisa kumiliki gari la kifahari isingekuwa ni issue kubwa km nyumba ya ibada inayotumiwa na kondoo ni bora na yenye mvuto na hadhi stahiki. Kwa sababu hiyo siamini kama Askofu kutumia sadaka za waumini kujinunulia gari la gharama kubwa kama hilo ni kipaumbele kilichostahili. Kama kiasi hicho cha fedha angekitumia kujenga kanisa lenye hadhi ingekuwa bora zaidi...Ona jinsi gari hilo linavyochukiza katika mazingira duni na ya kifukara ya kanisa hilo...shame on all those who capitalise on weak human souls for their selfish ends......haya makanisa yanayochipukia toka marekani ...we acha tu!!!
 
Kuna wengi wana uliza kama mimi nasali makanisa hayo, ndiyo, mimi ni prominent religious person wa karibu sana na watu hao wote. Nina uhakika huyo ana makanisa Japan, Korea na China. I mean the one mwenye kanisa la UFUFUO NA UZIMA pale ubungo, na gari ile alipewa zawadi na makanisa ya japan. mimi nasali hapo. njoo pale hata leo, utakuta kuna wajapani wamejaa pale, wengine wamekuja kujifunza uchungaji from him, wengi wanaishi hapa.

Kwa mchungaji mwingine, hasa mwenye hammer nyeupe sijui, naye si tatizo pamoja na kwamba sisali huko, ila ni wenzangu katika Bwana. Hii ni kitu cha kawaida.

Angalia wahubiri kama kina Bonke, Beny Hinn etc, hawa wanamiliki ndege, ma vitu vya thamani, vingine wamepewa tu na washirika wao watumie, na huwezi kuwalazimisha waviuze, wewe unayetaka waviuze ni wivu tu kwa vitu ambavyo haujachangia. kwa kifupi kwetu sisi walokole, tunaamini kuwa, UKIMPOKEA mtumishi wa Mungu kwa kumbariki na kitu chochote, unampokea Mungu, "imeandikwa, atakayempokea yeye niliyemtuma, anipokea mimi, na awayeyote atakaye mpa mtumishi wangu nga kikombe cha maji, atapata thawabu, pia, ampokeaye nabii, atapata thawabu ya nabii". HIVYO, ukimchangia mtumishi wa Mungu kwa chochote, iwe pesa, gari, ndege, nyumba etc lazima utapata thawabu kwa Mungu. HII NI IMANI YETU, hatuhitaji wewe uturidhie kama ni vyema au si vyema, and DON'T EVER QUESTION vile tunavyofanya kwa watumishi wetu, na hatutaki muwajadili watumishi wetu, kwasababu ni sisi tunaowahudumia.

Pia, tangu agano la kale, Mungu aliwaamuri wana wa Israel wawape Walawi fungu la kumbi la kila watakachopata. KWANINI?, Kwasababu walawi hawakupata urithi wa ardhi kule Israel kati ya yale makabila kumi na mawili. Na fungu hili la Kumi, Mungu alisema litakuwa ndio urithi wao walawi AMBAO NI UKOO WA KIKUHANI/KICHUNGAJI.

Hivyo, Wachungaji wa kilokole ni Walawi wetu, kila tunachopata tunatakiwa kutoa fungu la kumi, na linaenda moja kwa moja kwenye account zao. THE BIGGER THE NUMBER OF MEMBERS YOU HAVE, THE BIGGER THE TITHE(TEN PERCENT) WILL BE. Hivyo, kama mchungaji ni mzembe ana wanashirika wachache, atapata fungu chache ambalo hata nunua hata baiskeli, labda tu abarikiwe kwa namna nyingine na washirika. Angalia, Kakobe, Gwajima, Gamanywa, Lwakatale, Efatha, kuna watu zaidi ya elfu ishirini wengine. KUNA NAMNA YA KU APPROPRIATE PESA ZA KANISA, KWA KUFUATA BIBLIA, NA WACHUNGAJI HAO WOTE HAWAJAKOSEA KITU.

KUSEMA KUWA WAUZE ILI PESA WASAIDIE WATU, HUO NI MTAZAMO WAKO. Mungu ndiye anajua namna anavyowasaidia hao unaowaonea huruma. KIKUBWA HAPA NI WIVU TU KWASABABU MNAONA MUNGU AMEWABARIKI. Fumbeni midomo yenu kwa Jina la Yesu, na nawahakikishia, mtavuna mnachopanda kwenye mioyo ya watu hapa, ukimgusa mtu wa Mungu, umemgusa Mungu, ukimdhihaki mtu wa Mungu, umemdhihaki Mungu mwenyewe, ukimshambulia pia unamshambulia Mungu, NA WASHINDANAO NA BWANA WATAPONDWA KABISA, JIANDAENI KUPONDWA KABISA. ASANTE.
 
check bolded and reply
1 - Does God count on quality au quantity
2 - Uzembe wa mtumishi ni idadi ya washirika? na kama mchungaji mwenye washirika wachache anakemea dhambi ndiyo maana wengi wanakimbia na yule mwenye wengi hakemei dhambi ndiyo sababu kanisa lake linajaa watu? what can you say about that?
3 - usihukumu usije ukahukumiwa
 
Makanisa mengi ya siku hizi yanatumika na WAJASILIAMALI kufanyia mambo yao, wamewageuza waumimi wao kuwa wateja wao kwa mtaji wa neno la Mungu. Sikiliza wimbo wa Madee wa Pesa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom