Dr.Mbura
Senior Member
- Jun 30, 2009
- 193
- 122
Haki yenu isipozidi haki ya mafarisayo, hamwezi kuingia mbinguni. Ni maneno yake Yesu mwenyewe. kardinali Pengo, mkatoliki na kwa mujibu wa mtazamo za kipentekoste hajaokoka (maana ya hili unalijua). kwa sasa
1 - anajenga vocational training na hospital kisiju-mkuranga ambako 99.5% ni waislamu-nimeshuhudia kwa macho yangu.
2-alipewa msaada na shirika moja la kiitaliano, lakini yeye akaamua kutoa msaada huo kujenga modern state of the art labour ward and theater na kuikarabati hospitali yote wilaya ya mafia pale kilindoni (note that 98% ya Mafia dwellers ni waislamu)
4-wakati wa jubilei aliomba gari land cruser, but amelipeleka kuhudumia wagonjwa hopitali ya mafia.
3 - kituo cha PASADA kusaidia walioathirika na HIV pale changombe, na vitu kibao.
4 - na nenda Kanisani St joseph uliza gari la kardinali analotumia utaambiwa ni Toyota escudo.
Je leo ikiwapo hukumu kwa haya mambo machache niliyokutajia ni nani scale yake ya matendo ya rehema na huruma itakuwa juu na atapata kibali mbele za Mungu.
Mimi si mkatoliki lakini wachungaji wa kipentekoste wanachefua kwa lachish life wanayoishi.
Mwendawazimu peke yake ndiye anayeweza kutetea, maisha ya anasa ambayo yamekuwa fashioni kwa wachungaji hawa.
Ikiwa huoni shida hapo linganisha maisha hayo ya pengo na ya huyo mchungaji wetu na uone nani anatumika shambani mwa BWANA kwa moyo wake wote na kwa akili na mali zake zote. Ningependa pia useme mpaka amenunua hiyo hammer maana kusema amepewa na wajapani huo ni uongo mtakatifu, amefanya tendo gani la huruma na rehema kwa wenye dhiki ndani ya kanisa lake na nje ya kanisa.
Kwaanza hakuna Gari linaloitwa TOYOTA ESCUDO. Kanisa Katoliki lina mali tangu enzi za Constatine karne ya sita Hata hiyo Toyota Escudo hakuitaji kuwa nayo kwani anatakiwa atembelee gari la Kanisa. Embu jiulize kwanini Yesu alisema maneno haya Marko 14:4
4[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Baadhi ya watu waliokuwapo pale walikuwa wakisemezana wao kwa wao, Kwa nini ubadhirifu huu wa manukato? [/FONT][/FONT]5[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Mafuta haya yangeweza kuuzwa kwa zaidi ya dinari 300[/FONT][/FONT]b [FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]na fedha hizo wakapewa maskini. Wakamkemea vikali huyo mwanamke.
[/FONT][/FONT]6[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Lakini Yesu akawaambia, Kwa nini mnamsumbua? Mwacheni! Amenitendea jambo la kupendeza. [/FONT][/FONT]7[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Maskini mnao pamoja nanyi siku zote na mnaweza kuwasaidia wakati wo wote mnaotaka. Lakini Mimi hamko nami daima. [/FONT][/FONT]8[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Huyu mwanamke amenitendea lile aliloweza. Ameutia mwili wangu manukato kuniandaa kwa maziko Yangu. [/FONT][/FONT]9[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Amin, amin nawaambia, mahali po pote duniani ambapo Injili itahubiriwa, jambo hili alilotenda huyu mwanamke litatajwa kwa ukumbusho wake. " [/FONT][/FONT]
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][/FONT][/FONT]
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][/FONT][/FONT]
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]MUNGU ANAANGALIA SANA ROHONI. Toa utoavyo lakini kama rohoni ni kuchafu wapoteza muda
[/FONT][/FONT]

![Hallelujah[1].gif Hallelujah[1].gif](https://xf23.jamii.app/data/attachments/3114/3114062-198643857b251e1218b839f3be6a1e03.jpg?hash=GYZDhXslHh)