Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

Kusema ukweli umekurupuka sana kabisa..yaani kwakua picha iliwekwa kwenye CHADEMA IN BLOOD basi inafanya mkono wa msaidizi wa Lissu uwe mkono wa Mh.Askofu? Ungejenga hoja nyingine kuliko kusema eti ule mkono niwa Baba Askofu. Mkono wa Askofu mmoja ndiyo huo akishikana na Lissu na mwingine ajashika popote. Usitufanye wajinga.
 
Kwa hiyo kama ikitokea Lissu akawa na vidole mnavyodai ni vya mashoga kwa hizo tafiti zenu, ndio tu-conclude Lissu ni shoga?!

This is too low.
 
Kwa hiyo kama ikitokea Lissu akawa na vidole mnavyodai ni vya mashoga kwa hizo tafiti zenu, ndio tu-conclude Lissu ni shoga?!

This is too low.
Huyu ni mpiga ramli tu hamna jambo lolote hapo kabisa. Vidole na tabia za watu wapi na wapi.
 
Kwa hiyo kama ikitokea Lissu akawa na vidole mnavyodai ni vya mashoga kwa hizo tafiti zenu, ndio tu-conclude Lissu ni shoga?!

This is too low.

 
 
Huyu ni mpiga ramli tu hamna jambo lolote hapo kabisa. Vidole na tabia za watu wapi na wapi.
Inashangaza! Kusikia kwamba eti mashoga huzaliwa wakiwa na chembe chembe za ushoga ndiyo maana hata vidole vyao vimebeba sifa hizo. Kama ndivyo, kosa la mashoga ni nini hasa ikiwa huzaliwa hivyo?
 
Weka ushahidui mezani tuujadili
Katika Hali ya kawaida why should you waste your time writing all this long unfounded allegations unnecessarily? Hivi kweli Mungu alikuleta Duniani ili uwe mzushi, mzandiki na mwongo? Huku ukijua unanena uwongo?!
Huna kitu kingine utafanya kujipatia kipato bila kuwa mwongo na mzandiki?! Mungu anakupa afya njema kila leo uendelee kufanya haya unayofanya ya kizandiki?
 
Mdahalo uendelee.
samahani : Naomba kukuuliza , unapoandaa na kuandika andiko kama hili na mengine mengi yanayofanana na hili , unatumia mbinu gani ?!, ukizingatia lugha ya kiswahili haijitoshelezi kimsamiati lakn ww katika maandiko yako ,umeweza tena kwa kiasi kikubwa kabisa ,kwanza kuandika mada zenye kuleta maana na mantiki kwa hadhira ,ukizingatia wakati huo chuo kikuu tunadai hatuwezi kutumia kiswahili kwasababu hakijitoshelezi kimsamiati .msaada Tafadhari.
 
Mada aliyoandika ina mantiki gani zaidi ya uzumbukuku?
 
Hoja inapingwa na Hoja mbadala , kutukana na kutumia lugha ya kuudhi na matusi ,Haifai na pili ni kinyume na miiko na maadili ya kanuni za majadiliano yenye kuleeta .
Hapa hakuna alichokiandika zaidi ya upuuzi mtupu wa kudhalilisha upande asioupenda
 
Mkuu , Mmawia ... , Wastaraabu Huwa Hawatukani , Kama una unapinga Hoja Tajwa kwenye andiko basi ni vema ukaleta Hoja pingamizi ( Hoja mbadala dhidi ya Hoja tajwa hapo juu kwenye bandiko hili)
Hapa ni jukwaa la siasa hatuna kuremba kama ameamua kuwatukana viongozi wetu tutamshushia kibano
 
Kwa hiyo kama ikitokea Lissu akawa na vidole mnavyodai ni vya mashoga kwa hizo tafiti zenu, ndio tu-conclude Lissu ni shoga?!

This is too low.
Huyu ni mpiga ramli tu hamna jambo lolote hapo kabisa. Vidole
Yaani wewe unakimbia hoja...yangu kuhusu mkono wa Mh.Bagonza
 
Asante kuuliza.

Ni kweli, lugha ya kiswahili haijitoshelezi kimsamiati, lakini inaweza kutumika hata chuoni.

Kuna wakati nakosa misamiati ambayo ni kisawe sahihi, lakini natumia mbinu kadhaa za kutafsiri. Mfano, nilipokuwa natafsiri "explicit contradiction", "implicit contradiction" na "formal contradiction" nilihakikisha nimeelewa vizuri kinachosema, na kukipa tafsiri yangu.

Niliposoma nikaona naeleweka. Kwa hiyo, Kiswahili kinaweza kutumika popote. Tatizo ni mtazamo tu.

Mfano, baadhi ya wasomaji wanataka nikiandika kwa Kiswahili, kisha nitoe tafsiri ya Kiimgereza ili waweze kuelewa zaidi.

Nafanya hivyo mara moja moja, japo inachosha. Kunahitajika muda, na rasilimali baki, wakati nafanya kazi hii bila malipo.
 
Binafsi nashukuru sana mama amoni.
Maandiko yako Ni mwanga kwangu ,hasa ukizingatia mimi ni mwanafunzi wa shahada ya awali katika chuo kikuu.
 
Binafsi natamani lakn pia napenda sana maandiko yenye mrengo wa tafakari kama ambayo ww huwa unayaandika hapa.

Natamani sana siku moja na mm niwe na uwezo wa kuandika na kuchapisha maandiko hasa ya kitaaluma ,yaaani publishing Research, Articles ,Books ,papers ,essays in International journals like Academia ,Researchegate ,Google scholar .

Msaada wako Tafadhari katika hili ,naomba unisaidie niweze ku-publish paper na Research kwenye International journals .

Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…