Doctor Mama Amon
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 2,089
- 2,725
- Thread starter
- #101
Mdahalo uendelee.Nashukuru kwa ufafanuzi .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdahalo uendelee.Nashukuru kwa ufafanuzi .
Kusema ukweli umekurupuka sana kabisa..yaani kwakua picha iliwekwa kwenye CHADEMA IN BLOOD basi inafanya mkono wa msaidizi wa Lissu uwe mkono wa Mh.Askofu? Ungejenga hoja nyingine kuliko kusema eti ule mkono niwa Baba Askofu. Mkono wa Askofu mmoja ndiyo huo akishikana na Lissu na mwingine ajashika popote. Usitufanye wajinga.Ndugu, huwa sifanyi ujinga huo. Picha hiyo ipo kwenye ukurasa wa wanachadema wenyewe. Tazama hapa: Chadema in Blood. Ilibandikwa hapo 15 Desemba 2020. Naiposti tena hapa chini bila labels zangu, lakini kwa kuonyesha context ya mtandaoni ...
View attachment 2518140
Picha zingine zilizo kwenye ukurasa wao hizi hapa:
View attachment 2518141
Na hii....
View attachment 2518142
Na hii....
View attachment 2518192
Na hii....
View attachment 2518201
Kwa ajili ya kukuondolea shaka kuhusu anatomia ya vidole vya Lissu, picha hii hapa inamaliza utata (iangalie vizuri):
![]()
Hii nayo nimeichakachua?
Kwa hiyo kama ikitokea Lissu akawa na vidole mnavyodai ni vya mashoga kwa hizo tafiti zenu, ndio tu-conclude Lissu ni shoga?!Kanuni za usanifu wa hoja zinatutaka kutofautisha hoja na mleta hoja. Tujielekeze kwenye hoja. Nimesema kuwa, ni jukumu la Lissu na Bagonza kujitetea kuhusu tuhuma hizo mbili. Hakuna mtu mwingine anayeweza kuwatetea vizuri. Sababu ni mbili.
Mosi, mosi, Lissu ndiye anavijua vidole vyake vizuri. Anapaswa kutokea mbele ya kamera ya TV na kuweka bayana anatomia yake ili watu tuone vidole vyake vina muundo gani. Mojawapo ya picha hizi mbili, hapa chini, itajitokeza, nasi tutapata ushahidi wa awali kuhusu tuhuma hizo:
View attachment 2518118
Pili, uwiano wa urefu wa kidole cha pili na cha nne (2D:4D ratio) sio confirmatory test ya ushoga wala kinyume chake.
Kuna tafiti zinaonyesha mashoga wenye vidole vyenye 2D:4D ratio ya kike, wapo mashoga wenye vidole vyenye 2D:4D ratio ya kiume, wapo wanaume wa kawaida wenye vidole vyenye 2D:4D ratio ya kike, wapo wanawake wa kawaida wenye vidole vyenye 2D:4D ratio ya kiume.
Ni kama ambavyo wako wanaume wenye sura za kike, na wanawake wenye sura za kiume, na maisha yanasonga mbele.
Confirmatory tests za ushoga ni mbili: hormone test pamoja na sexual orientation test. Kuhusu hili la pili, hakuna mtu mwingine anayeweza kutupa taarifa sahihi isipokuwa mtuhumiwa mwenyewe.
Maana yeye pekee ndiye anayeweza kujichunguza na kujifahamu vizuri kuanzia kwenye mtazamo wa nafsi ya kwanza, yaani from the first person perspective (introspection).
Mbali na hapo sisi watazamaji wa nje tutatambua mbetuko wa kimapenzi wa mtu kwa kuangalia tabia yake, yaani anapenda kutiana na kina nani.
Huyu ni mpiga ramli tu hamna jambo lolote hapo kabisa. Vidole na tabia za watu wapi na wapi.Kwa hiyo kama ikitokea Lissu akawa na vidole mnavyodai ni vya mashoga kwa hizo tafiti zenu, ndio tu-conclude Lissu ni shoga?!
This is too low.
Kwa hiyo kama ikitokea Lissu akawa na vidole mnavyodai ni vya mashoga kwa hizo tafiti zenu, ndio tu-conclude Lissu ni shoga?!
This is too low.
Kwa ujumla, tafiti zote za kisayansi zinaonyesha kwamba, miongoni mwa wanaume, “hisa ya urefu wa kidole cha pili dhidi ya urefu wa kidole cha nne” inaanzia 0.918 hadi 0.976, wastani wa 0.947.
Na miongoni mwa wanawake, fafiti hizo zinaonyesha kwamba, “hisa ya urefu wa kidole cha pili dhidi ya urefu wa kidole cha nne” inaanzia 0.939 hadi 0.991, wastani wa 0.965.
Linabaki ni jukumu la Bagonza na Tundu Lissu kujibu tuhuma mbili zinazoelekezwa kwao.
Yaani: (1) Je, ni kweli kwamba katika kiganja cha Lissu, kidole cha pili ni kirefu kuliko kidole cha nne? (2) Na je, kama ni kweli kwamba, katika kiganja cha Lissu, kidole cha pili ni kirefu kuliko kidole cha nne, taarifa hiyo inamaanisha kwamba lazima Lissu ni shoga?
Kusema ukweli umekurupuka sana kabisa..yaani kwakua picha iliwekwa kwenye CHADEMA IN BLOOD basi inafanya mkono wa msaidizi wa Lissu uwe mkono wa Mh.Askofu? Ungejenga hoja nyingine kuliko kusema eti ule mkono niwa Baba Askofu. Mkono wa Askofu mmoja ndiyo huo akishikana na Lissu na mwingine ajashika popote. Usitufanye wajinga.
Kwa ujumla, tafiti zote za kisayansi zinaonyesha kwamba, miongoni mwa wanaume, “hisa ya urefu wa kidole cha pili dhidi ya urefu wa kidole cha nne” inaanzia 0.918 hadi 0.976, wastani wa 0.947.
Na miongoni mwa wanawake, fafiti hizo zinaonyesha kwamba, “hisa ya urefu wa kidole cha pili dhidi ya urefu wa kidole cha nne” inaanzia 0.939 hadi 0.991, wastani wa 0.965.
Inashangaza! Kusikia kwamba eti mashoga huzaliwa wakiwa na chembe chembe za ushoga ndiyo maana hata vidole vyao vimebeba sifa hizo. Kama ndivyo, kosa la mashoga ni nini hasa ikiwa huzaliwa hivyo?Huyu ni mpiga ramli tu hamna jambo lolote hapo kabisa. Vidole na tabia za watu wapi na wapi.
Katika Hali ya kawaida why should you waste your time writing all this long unfounded allegations unnecessarily? Hivi kweli Mungu alikuleta Duniani ili uwe mzushi, mzandiki na mwongo? Huku ukijua unanena uwongo?!Weka ushahidui mezani tuujadili
Mkuu , Mmawia ... , Wastaraabu Huwa Hawatukani , Kama una unapinga Hoja Tajwa kwenye andiko basi ni vema ukaleta Hoja pingamizi ( Hoja mbadala dhidi ya Hoja tajwa hapo juu kwenye bandiko hili)Pumbaf
Hoja inapingwa na Hoja mbadala , kutukana na kutumia lugha ya kuudhi na matusi ,Haifai na pili ni kinyume na miiko na maadili ya kanuni za majadiliano yenye kuleeta .Umeandika utumbo mtupu pumbaf
samahani : Naomba kukuuliza , unapoandaa na kuandika andiko kama hili na mengine mengi yanayofanana na hili , unatumia mbinu gani ?!, ukizingatia lugha ya kiswahili haijitoshelezi kimsamiati lakn ww katika maandiko yako ,umeweza tena kwa kiasi kikubwa kabisa ,kwanza kuandika mada zenye kuleta maana na mantiki kwa hadhira ,ukizingatia wakati huo chuo kikuu tunadai hatuwezi kutumia kiswahili kwasababu hakijitoshelezi kimsamiati .msaada Tafadhari.Mdahalo uendelee.
Mada aliyoandika ina mantiki gani zaidi ya uzumbukuku?samahani : Naomba kukuuliza , unapoandaa na kuandika andiko kama hili na mengine mengi yanayofanana na hili , unatumia mbinu gani ?!, ukizingatia lugha ya kiswahili haijitoshelezi kimsamiati lakn ww katika maandiko yako ,umeweza tena kwa kiasi kikubwa kabisa ,kwanza kuandika mada zenye kuleta maana na mantiki kwa hadhira ,ukizingatia wakati huo chuo kikuu tunadai hatuwezi kutumia kiswahili kwasababu hakijitoshelezi kimsamiati .msaada Tafadhari.
Hapa hakuna alichokiandika zaidi ya upuuzi mtupu wa kudhalilisha upande asioupendaHoja inapingwa na Hoja mbadala , kutukana na kutumia lugha ya kuudhi na matusi ,Haifai na pili ni kinyume na miiko na maadili ya kanuni za majadiliano yenye kuleeta .
Hapa ni jukwaa la siasa hatuna kuremba kama ameamua kuwatukana viongozi wetu tutamshushia kibanoMkuu , Mmawia ... , Wastaraabu Huwa Hawatukani , Kama una unapinga Hoja Tajwa kwenye andiko basi ni vema ukaleta Hoja pingamizi ( Hoja mbadala dhidi ya Hoja tajwa hapo juu kwenye bandiko hili)
Huyu ni mpiga ramli tu hamna jambo lolote hapo kabisa. VidoleKwa hiyo kama ikitokea Lissu akawa na vidole mnavyodai ni vya mashoga kwa hizo tafiti zenu, ndio tu-conclude Lissu ni shoga?!
This is too low.
Asante kuuliza.samahani : Naomba kukuuliza , unapoandaa na kuandika andiko kama hili na mengine mengi yanayofanana na hili , unatumia mbinu gani ?!, ukizingatia lugha ya kiswahili haijitoshelezi kimsamiati lakn ww katika maandiko yako ,umeweza tena kwa kiasi kikubwa kabisa ,kwanza kuandika mada zenye kuleta maana na mantiki kwa hadhira ,ukizingatia wakati huo chuo kikuu tunadai hatuwezi kutumia kiswahili kwasababu hakijitoshelezi kimsamiati .msaada Tafadhari.
Binafsi nashukuru sana mama amoni.Asante kuuliza.
Ni kweli, lugha ya kiswahili haijitoshelezi kimsamiati, lakini inaweza kutumika hata chuoni.
Kuna wakati nakosa misamiati ambayo ni kisawe sahihi, lakini natumia mbinu kadhaa za kutafsiri. Mfano, nilipokuwa natafsiri "explicit contradiction", "implicit contradiction" na "formal contradiction" nilihakikisha nimeelewa vizuri kinachosema, na kukipa tafsiri yangu.
Niliposoma nikaona naeleweka. Kwa hiyo, Kiswahili kinaweza kutumika popote. Tatizo ni mtazamo tu.
Mfano, baadhi ya wasomaji wanataka nikiandika kwa Kiswahili, kisha nitoe tafsiri ya Kiimgereza ili waweze kuelewa zaidi.
Nafanya hivyo mara moja moja, japo inachosha. Kunahitajika muda, na rasilimali baki, wakati nafanya kazi hii bila malipo.
Ebu chambua kati ya mchele na pumbaBinafsi nashukuru sana mama amoni.
Maandiko yako Ni mwanga kwangu ,hasa ukizingatia mimi ni mwanafunzi wa shahada ya awali katika chuo kikuu.