Askofu Bagonza amnanga mkulu kimafumbo, soma kwa kifupi

Askofu Bagonza amnanga mkulu kimafumbo, soma kwa kifupi

Viongozi wengi hawawezi kuwa na misimamo ya kiuongozi ktk mambo ya msingi, wameshindwa kuwa wakweli juu ya hizi dini zinazoongozwa kwa kuumiza waumini wake, na kuruhusu viongozi waliotawaliwa na utandawazi kuliko neno lenyewe la Mungu.
 
Bagonza ana hasira sana kuona kiki yake ya kufunga makanisa kwenye dayosisi yake imebuma! Yani imebuma kama ile ya chadema kujiweka karantini,!

Alifikiri hali itakuwa mbaya ili aonekane ni great thinker kumbe ni mwehu tu.

Yey kavimbiwa sadaka za waumini wake ndio sababu unaona anajishindia mtandaoni, na furaha yake ilikuwa kuona watu wanapigwa lockdown.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe bado kula kulala huwezi kuwa na nyumba yenye fens,mbwa,CCTV nk
Kaza makalio utapata tu.
Ukishapata hivyo vitu ndio utamwelea baba askofu.
Asilimia 90 ya vitu alivyoviorodhesha mimi sina katika hivyo mimi nina Akili na Imani tu.
Barakoa sivai ndani sijifungii na Corona sipati hii homa imekuzwa sana kuliko uhalisia wa madhara yake.
Corona ni homa ya kawaida ambayo naamini asilimia kubwa ya watanzania wamewahi kuugua kabla lakini walikuwa hawajijui lakini baada ya kuwapata wazungu na kuwaathiri sana ndio shida ilipoanzia.
Mtumishi fanya kazi ya Mungu achana na siasa Watanzania tuchape kazi.
HONGERA JPM NAIPENDA TANZANIA
 
Jombaa unarukia treni kwa mbele utapakatwa.Nimemjibu Mpangumbe aliyesema hana 90% ya vitu alivyovitaja baba askofu Bagonza kwenye andiko lake.
Wewe bila kujua unakuja kujambajamba kwenye post za wanaume.
Hunijui sikujui sina haja ya kueleza financial status yangu.
Usifikiri kila mtu ni masikini kama wewe

Huyo anayesema 'mavitambaa ya puani' mwenzako ana ma ventilators,1st class treatments,hutamkuta kwny nyomi ya watu,muone tu pale church anawasifia watu hawajavaa barakoa ukafikiri wale watu waliingia church bila kuchekiwa temperature zao.

Utaenda kuzikwa 'usiku usiku' we endelea tu kufanya mizaha mizaha.

BTW usisahau kwenda 'kupareeeee' ile J2 kusherekea kumalizika kwa Corona.
 
Mkuu hapa tupo Tanganyika na mimi nimeizungumzia Tanganyika. Je wewe unandugu ambaye amekufa kwa Corona? Au katika eneo ambalo unaishi umepata taarifa nyingi za vifo kuliko kawaida?
Hili swali kila baada ya siku 3 huwa nawauliza watu mbali mbali hapa dar lakini kila anajibu hakuna lakini wanasema wanasikia mahospitalin watu wanakufa. Sasa swali hao wanaokufa na sisi hatuwajuhi wanatokea wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jombaa unarukia treni kwa mbele utapakatwa.Nimemjibu Mpangumbe aliyesema hana 90% ya vitu alivyovitaja baba askofu Bagonza kwenye andiko lake.
Wewe bila kujua unakuja kujambajamba kwenye post za wanaume.
Hunijui sikujui sina haja ya kueleza financial status yangu.
Umeshapanic tayari! Hizi hasira mplekee mumeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom