Askofu Bagonza amnanga mkulu kimafumbo, soma kwa kifupi

Askofu Bagonza amnanga mkulu kimafumbo, soma kwa kifupi

Asilimia 90 ya vitu alivyoviorodhesha mimi sina katika hivyo mimi nina Akili na Imani tu.
Barakoa sivai ndani sijifungii na Corona sipati hii homa imekuzwa sana kuliko uhalisia wa madhara yake.
Corona ni homa ya kawaida ambayo naamini asilimia kubwa ya watanzania wamewahi kuugua kabla lakini walikuwa hawajijui lakini baada ya kuwapata wazungu na kuwaathiri sana ndio shida ilipoanzia.
Mtumishi fanya kazi ya Mungu achana na siasa Watanzania tuchape kazi.
HONGERA JPM NAIPENDA TANZANIA
Na wao waache kutumia mimbari ya kanisa kupiga siasa.
 
Nakuonea huruma!

Sent using Jamii Forums mobile app
jionee huruma wewe kwanza, mie ninajitegemea kwa 100%...haya ni maisha yasiyo na stress kwasabb unakuwa huru kabisa.
siishi kwa kutegemea posho wala mshahara ili nisiwe mtumwa kama wew ulivyo...hebu jiuliulize nafsini kwako huwa ukionana na Polepole unakuwaje, kama sio kujichekesha chekesha kinafki huku ukimuita boss boss!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asilimia 90 ya vitu alivyoviorodhesha mimi sina katika hivyo mimi nina Akili na Imani tu.
Barakoa sivai ndani sijifungii na Corona sipati hii homa imekuzwa sana kuliko uhalisia wa madhara yake.
Corona ni homa ya kawaida ambayo naamini asilimia kubwa ya watanzania wamewahi kuugua kabla lakini walikuwa hawajijui lakini baada ya kuwapata wazungu na kuwaathiri sana ndio shida ilipoanzia.
Mtumishi fanya kazi ya Mungu achana na siasa Watanzania tuchape kazi.
HONGERA JPM NAIPENDA TANZANIA
Mtumishi huyu huyu akimsifia Magu utakuja kumpongeza. Tuache makengeza
 
Maoni ya huyu Askofu yangetolewa na Sheikh saiz angekuwa ashapewa kesi ya Ugaid.
 
Asilimia 90 ya vitu alivyoviorodhesha mimi sina katika hivyo mimi nina Akili na Imani tu.
Barakoa sivai ndani sijifungii na Corona sipati hii homa imekuzwa sana kuliko uhalisia wa madhara yake.
Corona ni homa ya kawaida ambayo naamini asilimia kubwa ya watanzania wamewahi kuugua kabla lakini walikuwa hawajijui lakini baada ya kuwapata wazungu na kuwaathiri sana ndio shida ilipoanzia.
Mtumishi fanya kazi ya Mungu achana na siasa Watanzania tuchape kazi.
HONGERA JPM NAIPENDA TANZANIA
Huna hivyo vitu kwasababu huna PESA, ukipata vijipesa kidogo na ukajenga nyumba, either vyote utakua navyo au baadhi ya hivyo; anyway, kwani kuna sehemu askofu kazungumzia issue ya CORONA!? Au mi ndio sijaona?
 
Unaweza kuwa kiongozi wa dini lakini usimfahamu Mungu unayemtumikia!
 
jionee huruma wewe kwanza, mie ninajitegemea kwa 100%...haya ni maisha yasiyo na stress kwasabb unakuwa huru kabisa.
siishi kwa kutegemea posho wala mshahara ili nisiwe mtumwa kama wew ulivyo...hebu jiuliulize nafsini kwako huwa ukionana na Polepole unakuwaje, kama sio kujichekesha chekesha kinafki huku ukimuita boss boss!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Povu lote hili inainekana wewe ni kapuku tu! Wenye mafanikio hatujisemi dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumlaumu Baba Askofu ni makosa makubwa, Kwa sababu,!!

Kwa akiri hiyohiyo aliyoitumia Baba Askofu haikutosha kuushawishi umma, pamoja na wasomi wengine wa Kada yake kukubaliana naye kufunga Ibada zisifanyike,

INA maana gani,

Akiri kubwa huchangwa, La sivyo hubakia uchambuzi tu wa kujifariji,

Na ndiyo mana, Akiri nyingine mbadala iliyochangwa na Kwa tahadhari zote mbali na hiyo isiyochangwa, watu waliendelea kumwabudu Mungu, na hao hao ambao pengine ilifikiliwa kinyume chake baada ya akiri aliyoiafiki Baba Askofu kuitumia, wataungana tena na Baba Askofu kuendelea kumwabudu Mungu wakiwa na Afya njema kama ilivyo kwake

Chanzo cha Akiri ni Mungu, na hivyo, ni vyema Akiri ikabaki katika nafasi yake ya pili na nafasi ya Kwanza Mungu akapewa nafasi yake

Na bila Shaka hakuna aliyemuomba aanze kujitetea, ni udhaifu Tu ambao humtokea mtu yeyote
 
Huu ni utetezi tu. Kipindi hiki ndio kipindi mahsusi cha kuudhihirisha uwezo wa Mungu huyo anaemhubiri. Ukuu wa Mungu haudhihirishwi na hadithi za maandiko tu. Maandiko pekee ndiyo yanayoweza kudhihirisha nani yuko sahihi na kwa misingi gani. Malumbano ya kurushiana maneno hayasaidii lolote.

Kumuamini Mungu ndo ujitie hatarini atakuokoa?
Usimjaribu BWANA Mungu wako
 
a Askofu Bagonza

AKILI na IMANI

Hivi kipi kinaanza? Kipi kinawezesha kingine? Imani ndiyo inakuongoza kuwa na akili au akili inakuongoza kuwa na imani na kuitegemea?

Wanaopuuza umuhimu wa kutumia akili, wawaulize wazazi ambao kwa bahati mbaya wana watoto au jamaa waliopungukiwa na akili, kwa kuzaliwa au kupata tatizo hilo ukubwani. Zawadi kubwa, ya pekee na ya thamani aliyotupa Mungu ni akili. Tunaitumia kutambua na kufanya maamuzi. Hata imani tunayoienzi na kumwamini muumba wetu, tunawezeshwa na akili aliyotupa muumba huyo huyo.

Ndiyo maana pamoja na kwamba Mungu yupo:

1. Tunajenga nyumba na kulala ndani yake, hatulali nje ili Mungu atulinde.

2. Tunajenga uzio mkubwa kuzunguka nyumba, hatuaiachi nyumba ili Mungu atulinde.

3. Tunafuga mbwa wakali, licha ya kuwa na uzio.

4. Tunaajiri walinzi wenye silaha, kana kwamba uzio na mbwa havitoshi.

5. Tunaweka na CCTV kamera licha ya kuwa tuna walinzi, uzio na mbwa wakali.

6. Tunanunua na bima kubwa kuonyesha kuwa wizi bado upo licha ya kuwa tuna yote hayo.

7. Usiku tunaamka mara tatu tatu kuona kama walinzi wapo. Tunaajiri walinzi na wao wanatuajiri kuwachunga usiku.

Pamoja na yote hayo, Mungu aweza kutuchukua kutoka katikati ya ulinzi wote huo. Anatupa akili tuzitumie kujilinda, lakini anabaki na uwezo wa mwisho juu ya maisha yetu.

Hatuwezi kuacha kutumia akili eti kwa sababu yeye yupo. Na hatuwezi kutegemea akili tu eti kwa sababu akili katupa yeye. Imani na akili vyote ni mali ya Mungu, yeye katukabidhi tuvitumie.

TUSIHUKUMIANE na TUSILAUMIANE.

Hawa ndio maaskofu Malaya tu na hana adabu kabisa pimbi huyu, kwanza anathubutuje, pumbavu kbsa hili dudu na limeandika ili aibike nani kama halitaki lihamie huko kwenye lockdown, Mungu hapangiwi procedures.
 
Back
Top Bottom