Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo vizuri kichwani huyu Dkt. Na uzuri wake huwa hatetereshwi na mtu katika misimamo yake. Hata Yesu pamoja na uwezo wote wa Ki-Mungu alionao alimkatatia Shetani aliyemwambia ajitupe chini toka mnarani maana Mungu atamlinda asipate madhara. Alimwambia, "Shetani ondoka kwangu, maana imeandikwa usimjaribu bwana Mungu wako"Dr Baba Askofu yuko vizuri PhD yake haina mashaka wala hatuwezi kuhoji alisoma chuo gani na alipata alama gani wakati akichukua BA,MA na PhD.
huyo askofu ni mmoja kati ya waliopewa bilioni 8 alizoiba mbowe ?Niko upande wa Bangoza mtu mwenye PhD fake apashwi kupewa heshima
Ukimfuata Jiwe utalala mlango wazi. Hamna kitu kichwani. Sasa kwa nini alikimbilia mafichoni?Asilimia 90 ya vitu alivyoviorodhesha mimi sina katika hivyo mimi nina Akili na Imani tu.
Barakoa sivai ndani sijifungii na Corona sipati hii homa imekuzwa sana kuliko uhalisia wa madhara yake.
Corona ni homa ya kawaida ambayo naamini asilimia kubwa ya watanzania wamewahi kuugua kabla lakini walikuwa hawajijui lakini baada ya kuwapata wazungu na kuwaathiri sana ndio shida ilipoanzia.
Mtumishi fanya kazi ya Mungu achana na siasa Watanzania tuchape kazi.
HONGERA JPM NAIPENDA TANZANIA
Mkuu hivi kuna jinai yoyote raisi kwenda kwao, ? Au kabla ya corona hajawahi kwenda kuishi Chato?Ukimfuata Jiwe utalala mlango wazi. Hamna kitu kichwani. Sasa kwa nini alikimbilia mafichoni?
Wapi nilipomtaja Rais na wapi nilipotaja Chato?Mkuu hivi kuna jinai yoyote raisi kwenda kwao, ? Au kabla ya corona hajawahi kwenda kuishi Chato?
Uelewa wako ni kidogo mno!
Unaweza kulala Mlango wazi kwakuwa unamwamini Mungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wampe tu. Cha kupewa siku zote siyo chako na siyo ndivyo ulivyo.Ujue UDSM wana mpango wa kumpa u proffesor bwana jiwe
Dark Side
Wewe ni wa "mwilini" huwezi jua mambo ya "rohoni" kwahiyo unaposema adhihirishe nguvu za mungu its as if zipo kariakoo unaenda kuziokota tu, hujui ni suala la imani, pimbiHuu ni utetezi tu. Kipindi hiki ndio kipindi mahsusi cha kuudhihirisha uwezo wa Mungu huyo anaemhubiri. Ukuu wa Mungu haudhihirishwi na hadithi za maandiko tu. Maandiko pekee ndiyo yanayoweza kudhihirisha nani yuko sahihi na kwa misingi gani. Malumbano ya kurushiana maneno hayasaidii lolote.
Jiwe=JPMWapi nilipomtaja Rais na wapi nilipotaja Chato?
Wewe wasema.Jiwe=JPM
Mafichoni=Chato
Sasa wewe niambie huyo jiwe ni nani na alijificha wapi? Rejea post #52
Magufuli siyo JIWE.Jiwe=JPM
Mafichoni=Chato
Sasa wewe niambie huyo jiwe ni nani na alijificha wapi? Rejea post #52