Askofu Bagonza amnanga mkulu kimafumbo, soma kwa kifupi

Jenga hojo dogo .matusi hayana msada kwako.
Aliyekwambia Mungu yupo Roma au Saudia nani!
Italy vifo vilikuwa vingi sana. Ngara hakuna kifo hata kimoja!
Sasa kafungua makanisa. Je corona imeisha? Maana hata wewe unakiri bado ipo!
Dogo kubali tu askofu wetu imani yake ipo markiti
 
tumepishana lugha, WANACHOTANGAZA ROMA NA MECCA ndicho tunachofuata na si upuuzi mwengine.

huwezi kuhiji bila mecca kutoa mwongozo na liturujia inapangwa VAtican,
Huwezi sali ama batizwa kama hakuna mwongozo toka kwa Papa, endeleeni na ujinga wenu mnaolishana huko burigi.
mimi si dogo, nipo na mtoto wa Umri wako, nina exposure na shekeli pia ipo.
 
Yaan anateseka huyu askofu, na anavoona mkulu anazidi kuonyesha njia basi anaumwa zaidi.
Naogopa tu chuki yake anayoitunza mwilini itavomzalishia sumu ije imuangamize mwenyewe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kubali tu kwamba wewe ni mjinga mkuu!
Kwanza Bagonza ni KKKT siyo mvatican yule.
Kingine inaonekana kwenye mambo haya ya iman wewe ni mweupe kabisa kabisa alivyo huyo askofu wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Askofu anafungua makanisa corona imeisha kwenye dayosisi yake?

Hili suala la corona hivi hamuoni kama mnapuyanga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama anamnanga kimafumbo basi hafai kuwa askofu,askofu anatakiwa kusema ukweli hata mbele ya mfalme,huo ni unafiki na unafiki ni dhambi mkuu.
 
Kama anamnanga kimafumbo basi hafai kuwa askofu,askofu anatakiwa kusema ukweli hata mbele ya mfalme,huo ni unafiki na unafiki ni dhambi mkuu.
Fumbo ni Uongo? Kajambe mbele, Yesu Mwenyewe alifundisha kwa mafumbo toka amezaliwa mpaka anapaa Mbinguni,.
Shule tu zifunguliwe hiyo tarehe 1 maana watoto mmezidi humu
 
Niko upande wa Bangoza mtu mwenye PhD fake apashwi kupewa heshima

Bagomza hana imani halisi kuna mtu mmoja aliwahi kusema mambo flani ya huyu askofu mpaka nikawaza lakini kama alitibu basi sitamhukum ila kwa mwendo huu zambi zile zitakuwa zinamsumbua, toka alipotoka huko sijui ulaya au marekani kuja kushika hiyo nafasi, na vitendo vingine, kwa leo naishia hapa ili nipate ukweli wa kutosha.
 
Fumbo ni Uongo? Kajambe mbele, Yesu Mwenyewe alifundisha kwa mafumbo toka amezaliwa mpaka anapaa Mbinguni,.
Shule tu zifunguliwe hiyo tarehe 1 maana watoto mmezidi humu

Yesu huwezi kumlinganisha na binadam mwenye dhambi,
Nambie ywesu alikosea wapi katoka maisha yake?
Lakini huyo bagonza toka utoto wake anayo madhmbi mengi na ya ukubwani, na usishangae ukakuta analala na kinyongi moyoni kuhusu watu wengine, kitu ambacho ni dhambi kwa mtumishi wa mungu.
 
Haka kautumbo kazuri!!

Natafuta ndizi nipikie,ili kawe mswano!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatukatai uaskofu ni cheo tu sio kwamba anamjua sana Mungu kuliko wengine
Poa Askofu ubarikiwe sana
 
Basi utakuwa unasumbuliwa na utindio wa ubongo
Kasome cannon laws utaelewa
Kwa hiyo Bagonza alipata ruhusa kutoka Vatican?
 
Huyu askofu ajue kwamba,pamoja na kwamba yeye ana cheo cha uaskofu lkn kuna serikalinpia anayotakiwa kwenda nayo kwa busara na hekima la sivyo anaonyesha kiburi cha hali ya juu. Hamiliki hii nchi wala hamiliki waumini, still waumini wapo mikononi mwa serikali, sio mali yake,yeye pia yupo chini ya serikali. Ajue hii mchi haiitwi Vatican ambako anadai ndio anawasikiliza, hii ni tz na iko na serikali yake tofauti na serikali ya vatican
 
Baada ya mahubiri hayo anataguna Sadaka na kuwaombea wenzake Toba huku tayari ameonesha hata yeye ni mdhambi.
Hapo nitatumia akili pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nadhani ktk tafsiri aliyo itoa Bagonza nadhani amebase upande mmoja wa matumizi ya akili na kwa maelezo yake kama kweli yy ndiye kaandika basi hakuna kosa linalofanywa na serikali maana vilevile akili ileile inaweza ikaamua kutumia imani kama sehemu ya maamuzi yake kama kweli issue ni akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…