Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Hebu punguza jazba mataga.Bagonza ni katoriki?..
Yuke ni KKKT, tena wakati wa korona kalijishaua kufunga makanisa katika dayosis yake wakati wenzie wanasisitiza kuchukua tahadhari huku wanaomba...
Ni kadikteta kwenye dayosisi yake ajabu.
Kwa Bagonza phd yake ndio kila kitu wengine wote takataka. Kana majivuno na kabishi sana na fikiri uhaya na ule ufupi unachangia.
Mafundisho ya Mungu wa kweli ni kuhusu HAKI. Yesu alisema kuweni wamoja kama nilivyo mimi na Babangu.Huyu Bagonza anaharibu siasa. Kiongozi wa dini hapaswi kufanya siasa za kichochezi
Sasa Bagonza na yeye kwanini asitokee moja kwa moja?Askofu Gwajima naye. Siku hizi kuna siasa za dini na dini za siasa
Jaziba gani sasa?Hebu punguza jazba mataga.
Mbona umepanic sana?Afanye siasa za kumsifia Mgombea wa CCM tu kama wanavyofanya Gwajima,Zee Levi la Upako,Gamanywa,Askofu Pengo,etc?
Akimsifia Magufuli na CCM basi sio siasa za uchochezi,ila akisifia chama ambacho si CCM ni uchochezi...
Mavi ya Lowassa!
Nimepaniki kutokana na wewe unavyoona,which is none of my business....Mbona umepanic sana?
Ujumbe uko wazi kabisa nadhani ni viongozi wa dini wachache wanaojali haki za waumini wao zaidi kuliko hofu zao na maslahi zao binafsiNimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Alafu unataka uhuru wa maoni?Nimepaniki kutokana na wewe unavyoona,which is none of my business....
Nimetukana yes,kwasababu I cant tolerate this nonsense!
Too much nonsense around here!
Kafie mbeleNimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Huu ujinga wa kutumia neno uchochezi kama rungu la kuwakomoa wakosoaji wa udhalimu wa utawala wenu ndiyo imepelekea CCM kupata wakati mgumu kwenye kampeni, watu wamechoka kumbambikia kesi kwa visingizio vya neno la kishetani neno haramu linaloitwa uchocheziHuyu Bagonza anaharibu siasa. Kiongozi wa dini hapaswi kufanya siasa za kichochezi
Jibu Mujarabu Kabisa!!Bagonza ni wa kanisa Lutheran, na kwenye kila mkutano huwa tunakuwa na viongozi wa imani zote kwa ajili ya maombezi.
Una swali lingine Comrade?
SuguyeBaada hapo. Zungumzia pia kuhusu Gwajima, Geo Davie wa Arusha etc ambao wanampigia kampeni Pombe waziwazi
Sijakunyima kuyaandika..Alafu unataka uhuru wa maoni?
Utaanza lini kuvumilia kusoma maoni usiyoyapenda?
Kwa gwajiboy ni ruksa[emoji2956][emoji41],mbona mnajiona mnahaki sana na hisia za watu!?juzi kati apo kabla ya mzee kurudi kwenye chaka lake,ulikuwa na point sana,sijui umekwama wap?Huyu Bagonza anaharibu siasa. Kiongozi wa dini hapaswi kufanya siasa za kichochezi
Kwa gwajiboy ni ruksa[emoji2956][emoji41],mbona mnajiona mnahaki sana na hisia za watu!?juzi kati apo kabla ya mzee kurudi kwenye chaka lake,ulikuwa na point sana,sijui umekwama wap?Huyu Bagonza anaharibu siasa. Kiongozi wa dini hapaswi kufanya siasa za kichochezi
Basi kila mtu ashunde mechi zake aisee,Sijakunyima kuyaandika..
Na mimi ni haki ya kuchukia maoni nisiyoyapenda...naruhusiwa kuyachukia au kuyapenda
Au wewe unataka yapendwe tu?GTFOH!
Unaruhusiwa kutukana pia,who cares?
Magu hapati tano tena hutaki andamanaBasi kila mtu ashunde mechi zake aisee,
Na Magu tano tena hutaki kufa.