Askofu Bagonza anahudumu Kanisa gani na kwanini anajihusisha na Siasa za moja kwa moja?

wachumiatumbo aho hakuna cha askofu wala nini hapo
 

Kumbe Gwajima Hana huduma ndogo ndogo. Vipi na za kufufua wafu zimo?
 
Gwajima nae ni Mwanasiasa au Kiongozi wa Dini?
 
Gwajima nae ni Mwanasiasa au Kiongozi wa Dini?
mimi nimeuliza kuhusu Baba Askofu Bagonza kwa sababu mimi ni muumini wake.
anatuchanganya ni bora achague moja kati ya siasa au kumtumikia Mungu.
aache kabisa kutuchanganya
 
Kumbe Nchi sasa inaruhusu viongozi wa Dini kuhubiri Siasa! sikuwa nalifahamu hilo.
kama ni hivyo sina tatizo, ila nimetoa angalizo kuwa kwa yetu ya Tanzania ambayo bado haija komaa kivile ni vyema viongozi wetu wa dini wakajiepusha kuhubiri siasa au kuchanganya siasa ktk kumtumikia Mungu.
leo hii Mashekhe nao wakiamua kuchukua mkondo huo wa kuhubiri siasa nchi yetu itavurugika.
nawashauri viongozi wetu wa kiroho wasituchanganye.
Baba Askofu Bangoza namshauri aamue jambo moja kati ya Siasa au Kumtumikia Mungu.
 
mimi nimeuliza kuhusu Baba Askofu Bagonza kwa sababu mimi ni muumini wake.
anatuchanganya ni bora achague moja kati ya siasa au kumtumikia Mungu.
aache kabisa kutuchanganya
Umasikini wako wa akili ndiyo umekuchanganya kama walivyochanganyikiwa maccm wote
 
Viongozi wa dini kukemea maovu yanayofanywa nchini na Wanasiasa ikiwemo kuwapora mali zao, kuwabambikia kesi mbaya na kuwaua waumini wao na wasio waumini wao si KUHUBIRI SIASA.

 
 
Yaani wanawaingiza wachungaji Bungeni kubariki dhuluma Wakati huohuo wachungaji walioko nje yaBunge wnaohubiri kutenda haki wabunge bungeni ,huwaita Majina ya wachungaji butu n kuwataka wasiseme ubaya w wanasiasa walioko bungeni na serkalini. Msiwasikilize watu namna hii
 
Utakapopata exposure na kuongeza ufahamu utakuja kuona ni jambo la kawaida kabisa!

Pamoja na uaskofu bado ni raia na mwananchi wa kawaida mwenye haki na wajibu kikatiba.

Kama ni mpigakura anahaki ya kuhoji mambo!

Tafuta kufahamu zaidi historia za kina askofu Desmond M. Tutu the anti apartheid and human rights activist in SA etc.

Anaheshimika Duniani kote!

Sio kazi za lelemama!
 
Tunaomba TEC wamkemee Baba Askofu Bagonza, maana anatuchanganya sisi waumini wake kwa kujihusisha kwake na mambo ya kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…