Askofu Bagonza: Itungwe sheria maalum kujinaisha (Criminalize) vitendo vya kusifia viongozi wa Umma!

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 the master!? Master of STUPIDITY.

Law no One NEVER OUTSHINE THE MASTER. Let them flatter the master so they can live comfortably
 
Ni swala la muda tu Siri ya waliomshambulia Lissu, Saa8, Azory nk ziko njiani kufichuka, God knows when Na Nani atafunguka kwa Hilo, Hilo la kichaa mwendazake imeisha hiyoo!
 
🤣🤣😂😂😆😆
 
Reactions: BAK
Your browser is not able to display this video.
 
Reactions: BAK
Kuna mada kibao ziliwahi kuongelea hili, wengi walisema jamaa ni kichaa. Kuna mwanakijiji na barafu. Ngoja nizifukunyue nyuz zao
 
Askofu anaacha majukumu yake ya msingi sasa anaingia mzima mzima kwenye siasa zenye mlengo fulani.

Hatumpangii,ila tunamuasa kuwa na busara,ndio sifa kubwa ya viongozi wenzake wa dini.

Anaunga mkono maneno ya dialo??

Pamoja na kwamba Diallo ni mnafiki kama wanaccm wengine, lakini jana kaongea ukweli. Lile dubwasha lilikuwa katili,dhalimu na ovu.
 

INAPENDEZA kwa mtumishi wa Mungu kutoka hadharani na kusema hayo (kama kweli ni yeye) ambayo yamekwisha kutendeka. Maswali yafuatayo yanahitaji majibu, kutoka kwako mleta mada:
Alikuwa wapi wakati hayo yakitendeka?
Kama kiongozi wa kanisa huchukua hatua gani kuwarudisha kundini viongozi wanaopotoka?
Je, anaweza kutoa mifano ya hao viongozi aliowarudisha kundini?

Isije kuwa naye ni mmoja wa hao ambao Wakiishakufa ndipo anaanza kusema mambo mazito yaliyokuwa yanaendelea nyuma ya pazia.
 
Pamoja na kwamba Diallo ni mnafiki kama wanaccm wengine, lakini jana kaongea ukweli. Lile dubwasha lilikuwa katili,dhalimu na ovu.

Sisi kwetu alikuwa shujaa.

Wazembe,wezi,matapeli,vyeti feki wanakubaliana na kauli ya dialo hapo.
 
Nnachoona hapa. Rais wetu achape kazi tu na daima atende haki. Asifuatilie kabisa hizi habari humu. Maana akianza kufuatilia neno kwa neno kila siku ata changanyikiwa. Na hii ni kwa Rais yeyote wa wakati wowote. Kama nnachokiona si kweli nawaombeni radhi wote kwa maono haya.
 
"Majizi makubwa yako kwenye chama changu CCM" Alisikika akisema Magufuli
Ndege wafananao huruka pamoja.
Kiongozi mkuu wa majizi anayajua majizi menzake. Wanakula wote,wanakunywa wote,wanahonga wote,wanaenda gamboshi wote.
 
Kipindi cha JPM hakuwa anasema ukweli!??
Wewe ni mgeni nchini!!??
 
Tetesi,
Wanaemsema Kichaa aliwahi vunja jeneza alilonunua Dada yake?
Tafadhali
Exactly.
Kuna mtoto inasemwa alikufa kwa malaria,kumbe watu wanakula tuu kuku na mayai yake.
Sadism + incest = !!!?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…