Ujanamke wake sio tatizo, akili ya kuona mambo ya nchi kama maisha yake ya ukewenza ni uwandawazimu.ISIWE UNASEMA HIVYO KWA KUWA NI MWANAMKE KWA KUWA WALIOTUFIKISHA TULIPO WOTE WALIKUA WANAUME.
unapoteza muda,kama chuki ipo haihitaji wewe uiandalie gazeti.
wanasema chuki humuunguza mwenye kuihifadhi,utakufa kwa shinikizo tu.
Kichaa mwingine huyu hapa!
Unawezaje kuona hitler alikuwa kiongozi bora kama wewe sio kichaa?
Mwendawazimu kawaambukiza, unavyo jiongeresha ni kama umekatwa kichwa.mkuu mlikubalije kufirigiswa na mwendawazimu!!!
Ni sawa kabisa maana tuna uhakika polisi nao wameshachoka, hawana muda watafuata matakwa ya umma.
Ni sawa hata nikifa, ili mradi sijamtangulia yule dhalimu.
Mwendawazimu kawaambukiza, unavyo jiongeresha ni kama umekatwa kichwa.
Ndio maana mnaitwa washenzi wa taifa.
Bagonza ni mwanasiasa au askofu.Mbona anapenda sana siasa.Waumini anawasaidia SAA ngapi,,?INAFIKIRISHA! INASUTA! TUSUTIKE
Nilipochaguliwa kuwa Askofu baada ya wanaofaa kukosekana, marafiki zangu waliandaa tafrija ya kuniaga huko Chicago, Marekani. Mmoja wa watani wangu akatoa hotuba na kusema "Benson, wewe sasa ni Askofu. Tangu sasa una uhakika wa mambo matatu:
1. Daima utakula chakula kizuri
2. Daima utavaa vizuri
3. Daima hutaambiwa ukweli.
Ni miaka 19 tangu niambiwe na yote nimeyaona. Ufafanuzi wa niliyoyaona nitaufanya siku nyingine. Kimsingi Viongozi katika jamii tunaishi kwa kujidanganya, kudanganya na kudanganya.
Leo Nina hili:
Comrade Anthony Diallo amesema maneno mazito. Ametimiza ahadi ya mwana TANU/CCM isemayo "Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko". Ukweli uliochelewa ni bora kuliko uwongo uliowahi.
Nitoe ushauri ufuatao:
1. Viongozi na watawala wetu kama hawawezi kuzuia kusifiwasifiwa basi angalau wanune wakisifiwa.
2. Waliokwishamaliza muda wa uongozi wasijengewe masanamu au kutangazwa ni watakatifu mpaka muda maalum upite.
3. Ikithibitika kuwa kiongozi wa umma ngazi yeyote amewahi kuwa na tatizo la afya akili, maamuzi yake yote yatenguliwe.
4. Walioathirika au kunufaika na maamuzi ya kiongozi mwenye tatizo la afya ya akili wajulikane na kusaidiwa.
5. Itungwe sheria maalum kujinaisha (Criminalize) vitendo vya kusifia viongozi wa umma hadharani au kupendekeza ukiukwaji wa Katiba. Kuwasifia iwe sawa na kuwakashifu. Anayetaka kumsifia au kumkashifu kiongozi amwandikie barua binafsi. Kusifia hadharani ni rushwa.
6. Iwe marufuku wananchi kuwapigia makofi viongozi au kuwachezea ngoma, badala yake Viongozi wawapigie makofi wananchi na kuwachezea ngoma. Waliomba kutumwa, makofi ni ya nini?
Haya yote yanasisitiza msimamo wangu wa TUSUBIRI KUPONGEZA WALA KULAUMU.
Tangu enzi ya Mwalimu mpaka Samia, wanajitokeza watu wa kushinikiza kuvunja katiba ili Viongozi waongezewe muda wa kutawala. Wakiishakufa ndipo tunaanza kuambiwa mambo mazito yaliyokuwa yanaendelea nyuma ya pazia.
INAFIKIRISHA, INASUTA, TUSUTIKE.
View attachment 1848441
Bagonza ni mwanasiasa au askofu.Mbona anapenda sana siasa.Waumini anawasaidia SAA ngapi,,?
Ushauru ni mzuri. Tumwombe Askofu Bagonza ajielekeze kwake. Asisifiwe, asikumbukwe, arudi Chicago.INAFIKIRISHA! INASUTA! TUSUTIKE
Nilipochaguliwa kuwa Askofu baada ya wanaofaa kukosekana, marafiki zangu waliandaa tafrija ya kuniaga huko Chicago, Marekani. Mmoja wa watani wangu akatoa hotuba na kusema "Benson, wewe sasa ni Askofu. Tangu sasa una uhakika wa mambo matatu:
1. Daima utakula chakula kizuri
2. Daima utavaa vizuri
3. Daima hutaambiwa ukweli.
Ni miaka 19 tangu niambiwe na yote nimeyaona. Ufafanuzi wa niliyoyaona nitaufanya siku nyingine. Kimsingi Viongozi katika jamii tunaishi kwa kujidanganya, kudanganya na kudanganya.
Leo Nina hili:
Comrade Anthony Diallo amesema maneno mazito. Ametimiza ahadi ya mwana TANU/CCM isemayo "Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko". Ukweli uliochelewa ni bora kuliko uwongo uliowahi.
Nitoe ushauri ufuatao:
1. Viongozi na watawala wetu kama hawawezi kuzuia kusifiwasifiwa basi angalau wanune wakisifiwa.
2. Waliokwishamaliza muda wa uongozi wasijengewe masanamu au kutangazwa ni watakatifu mpaka muda maalum upite.
3. Ikithibitika kuwa kiongozi wa umma ngazi yeyote amewahi kuwa na tatizo la afya akili, maamuzi yake yote yatenguliwe.
4. Walioathirika au kunufaika na maamuzi ya kiongozi mwenye tatizo la afya ya akili wajulikane na kusaidiwa.
5. Itungwe sheria maalum kujinaisha (Criminalize) vitendo vya kusifia viongozi wa umma hadharani au kupendekeza ukiukwaji wa Katiba. Kuwasifia iwe sawa na kuwakashifu. Anayetaka kumsifia au kumkashifu kiongozi amwandikie barua binafsi. Kusifia hadharani ni rushwa.
6. Iwe marufuku wananchi kuwapigia makofi viongozi au kuwachezea ngoma, badala yake Viongozi wawapigie makofi wananchi na kuwachezea ngoma. Waliomba kutumwa, makofi ni ya nini?
Haya yote yanasisitiza msimamo wangu wa TUSUBIRI KUPONGEZA WALA KULAUMU.
Tangu enzi ya Mwalimu mpaka Samia, wanajitokeza watu wa kushinikiza kuvunja katiba ili Viongozi waongezewe muda wa kutawala. Wakiishakufa ndipo tunaanza kuambiwa mambo mazito yaliyokuwa yanaendelea nyuma ya pazia.
INAFIKIRISHA, INASUTA, TUSUTIKE.
View attachment 1848441
ni sawa.na maskofu wafiraji pia tusiwasilize wanapohubiri.na hicho kipete ulichovaa hapo kwenye kidole tusilibusu.INAFIKIRISHA! INASUTA! TUSUTIKE

ni
ni sawa.na maskofu wafiraji pia tusiwasilize wanapohubiri.na hicho kipete ulichovaa hapo kwenye kidole tusilibusu.
lakini pia itungwe sheria ya kujinaisha kuwa kiongozi wa dini kama wewe askofu usishiriki siasa.
nilifikiri maskofu mnaakiri lakini kumbe zero kabisa.Mnakaa kuwadhalilisha watu halafu mnajiita viongizi wa dini
embu nikuulize:hapo kanisani kwako hamna vichaa ambao unawasalisha kila siku?Sikiliza si kila kichaa ameenda mirembi.kwa taarifa yako hata wewe ni kichaa isipokuwa hujafikisha kiwango cha kuenda mirembe.Yani kila mtu ni kichaa sisi wanasaikolojia tunasemaga tofauti ni level ya ukichaa.
Kumbe dishi liliyumba na hamkutaka kutuambia dahh
sisiemu ni wasiri mno
Is Diallo....sure that Jiwe was kichaa? Au reference ni matendo ya Jiwe akaja na conclusion hiyo
Labda matendo yake maana hata mimi huwa namuona Lissu hayupo sawa kwa mtazamo wangu navyoona vitendo vya Lissu na hao watu wawili(Magu na Lissu) hawatofautiana sana katika hili, japo najua wengine wanaweza kutafsiri kuwa simpendi Lissu.
Hapo kwenye Jazba ndipo kwenye matatizo yake ya akili, huwezi ukawa unapandwa jazba tu kila ukiongea na kukufanya ukose hekima na staha halafu wewe uone huyo mtu yupo sawa tu.Lissu mzima sana lakini ana jazba ya kupitiliza (highly temperamental) inapokuja suala la kusimamia ukweli, facts, sheria na taratibu hasa zinazohusu haki za binadamu. Hapo huwa hana subira, staha wala janja janja (tact). Anagonga nyundo directly. Si mzuri sana kisiasa.
Kuonyesha kwamba ni mzima kweli kweli, si rahisi kumshinda Lissu kisheria hasa mahakamani. Ukweli na sheria ndio nguzo zake. Lakini kwenye majukwaa ya siasa unaweza kuwaaminisha watu ambao wengi hawana uelewa deep kuwa hayuko sawa.
Lakini Magu, mambo yake na kauli zake vikiwekwa peupe, [emoji848] ni kizunguzungu tu. Ilibidi awe anaongea kwenye public peke yake muda mwingi. Kwenye mjadala huru: facts zote na data zote zikitandazwa, utapata tabu sana kuelewesha watu kwamba yule mkulu alikuwa shwari kama prezidaa wa nchi.