Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kabisa aseeHuyo mtu wakutuswaga hivyo atapatikana vip?.Ndo maana wenye akili wanataka katiba mpya yenye ubora utakao weka mifumo thabiti yakuongoza nchi kwenye kila nyanja badala yakutegemea mtu ambaye ata akipatikana bado atapita uku nchi ikiendelea kuwepo.
Stupid comment!Mie naongezea. Bagaonza na wenzako wanaojificha kwenye majoho anzisha chama badala ya kujiingiza kwenye siasa kwa mlango wa nyuma. Kikwete alikuwa bomu kuliko rais yeyote aliyewahi kuumbwa. Alikuwa rahisi na siyo rais. Alikuwa mzururaji na mtupu upstairs.
Nchi hii ina wajinga wengi sana. Sijui shule ulienda kusomea ujinga!JK ni aina ya Rais anayepaswa kuongoza Taifa ambalo limeshaendelea tayari na watu wake kwa zaidi ya 80% wanajielewa na wamestaarabika na mifumo iko tayari...
JK anaweza kuongoza nchi yeyote Ulaya au hata USA..
JPM anafaa na alifaa kuliongoza Taifa kama hili ambali bado haliko tayari kimifumo na zaida ya 80% ya watu wake ni wajinga na wapumbavu wasiojielewa... Watanzania bado wako kwenye stage ya kuswagwa kama punda au ng'ombe na wakishavuka hiyo stage sasa ndio wanapaswa kuongoza watu kama JK....Unafikiri hawa wapumbavu wala rushwa na wezi wa mali za umma + wauza madawa nk utawashughulikia kimama kwa kuwalealea wataacha...hizi hela za miradi bila kuwa kiongozi mkorofi unafikiri miradi itakwenda...
Bado Watanzania wako kwenye stage ya mijeledi na kuswagwa..
[emoji120][emoji120][emoji120]Tz kuja kupata Raisi kama JK ambaye ni diplomat mzalendo na Raisi mstarabu itachukua mda, watu wa lijivunia kua Watanzania dimikurasia na Utawaala wa sharia kwa angalau asilimia kubwa ulionekana, Kosa la JK ambalo citakuja kumsahau ni kutuletea huyu JPM wake uncivilised man, katurudisha nyuma miaka kama 20 na chief Hangaya ameanza kumiiga huo buana.
@omtiti kilaza.Askofu mpumbavu
Unatumia msingi gani?Nikisikia kiongozi wa dini anajihusisha na masuala ya siasa huwa nakwazika sana.
Kweli we ni shetaniNikisikia kiongozi wa dini anajihusisha na masuala ya siasa huwa nakwazika sana.
Sana sana nafarijika napoona anahimiza waamini wajikite katika kufuata misingi yote pasipo kuvunja sheria za nchi.
Akhsante sana kwa kututhibitishia kuwa huna elimu, huna busara, huna hata "common sense" ya kujua jema na baya la kuandika hadharani.Mkumbaff mkubwa. Unanijua vizuri kusema eti sina elimu mbwakoko wee. Nijenge hoja gani wakati huna hoja yoyote ya kutolea hoja wala kutumia akili?
Baba askofu ubarikiwe saaana wambea wamemchafua saana kikwete kuhusika na matendo ya awamu ya 6Maneno ya hekima kabisa haya ya baba askofu. Kwa hakika Askofu Bagonza ana hoja nzito:
View attachment 1983684
View attachment 1983686
View attachment 1983687
Kwa hakika kumvisha JK yanayojiri awamu ya sita ni kumkosea sana. Anamalizia baba askofu kwa kusema:
View attachment 1983688
Barikiwa sana baba askofu kwa kuendelea kutuchotea busara na uzoefu uliopewa na Mola wetu kila inapowezekana.
Nje ya mada.
TrueBaba askofu ubarikiwe saaana wambea wamemchafua saana kikwete kuhusika na matendo ya awamu ya 6
Yaani hapo ndo kasema nini. Kwani ushawishi lazima ufanye kila kitu. Mbona inaonekana wazi kabisa. Huhitaji PhD kuona kuwa mama hana maamuzi bali from somewhereManeno ya hekima kabisa haya ya baba askofu. Kwa hakika Askofu Bagonza ana hoja nzito:
View attachment 1983684
View attachment 1983686
View attachment 1983687
Kwa hakika kumvisha JK yanayojiri awamu ya sita ni kumkosea sana. Anamalizia baba askofu kwa kusema:
View attachment 1983688
Barikiwa sana baba askofu kwa kuendelea kutuchotea busara na uzoefu uliopewa na Mola wetu kila inapowezekana.
Wewe shule ulienda kweli na kuelimika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo sasa hivi mnakili kwamba selikali hii inaongozwa na sukuma gang tena?
Yaani hapo ndo kasema nini. Kwani ushawishi lazima ufanye kila kitu. Mbona inaonekana wazi kabisa. Huhitaji PhD kuona kuwa mama hana maamuzi bali from somewhere
Tumia basi akili kidogo- wewe unataka kutumia uchaguzi mkuu kuamua awamu- Nyerere unampa awamu ngapi?Swali fikirishi hivi Katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu awamu za viongozi wakuu wa nchi hivi wote hatuna akili timamu kuweza kutambua maana ya awamu za viongozi wa kuu wa nchi ya Tanzania Nadhani awamu hutokana na uchaguzi mkuu sasabasi iwe hivi:Ya awamu ya 4, ilihakikisha umoja wa kitaifa unakua
awamu ya 5, ya Rais wa 6 vyama vya siasa havikutani kujadili mambo ya kitaifa badala yake msajili wa vyama na polisi walikutana, ndiyo wasemaji wa vyama vya siasa ,hakuna kuimarisha ama kujenga umoja wa kitaifa
Libavicha bhana!Wewe shule ulienda kweli na kuelimika.
Matamshi ndiyo yana shida ya "r" na "l".
Unaposhindwa kutofautisha "r" na "l" kwenye maandishi,naamini hii ni "ukilaza" uliopindukia.
Mnakili = X
Mnakiri =β
Selikali = X
Serikali =β
FaizaFoxy njoo tafadhali utufunde.
Tumia akili mama amtoka kwenye ma NGo kwa nature ni watu ambao wanapenda kuji afflict na Western ili wapate misaada ndo mana serikali yake IPO attention kuvuta ushirikiano na mabeberu.Yaani hapo ndo kasema nini. Kwani ushawishi lazima ufanye kila kitu. Mbona inaonekana wazi kabisa. Huhitaji PhD kuona kuwa mama hana maamuzi bali from somewhere
Tena ni toto rubbishStupid comment!
Utakuta na wewe una mke na watoto...pole yao kwa kuzaliwa na kilaza.
GoodAskofu Bagonza tunakushukuru sana kwa kusaidia kuelimisha uma wa Tanzania ambao wengi tumedumaa!!