Askofu Bagonza: Jakaya Kikwete hana ushawishi wowote kwenye Awamu ya Sita

Nikisikia kiongozi wa dini anajihusisha na masuala ya siasa huwa nakwazika sana.

Sana sana nafarijika napoona anahimiza waamini wajikite katika kufuata misingi yote pasipo kuvunja sheria za nchi.

makanisa mengi sana saaahv yameingiliwa na siasa, hata mahubiri mazima ni siasa au wanawake!
 
Libavicha bhana!

Kwa hiyo tuko hapa kujifunza lugha?

Nenda kafungue darasa
Mtu ambaye hawezi kutofautisha kimaamdishi kati ya "r" na "l", huyo anapata wapi uhalali wa kujadiliana na waerevu humu jukwaani!?
Halafu mimi nilikuwepo duniani tangu miaka ya 1960, hivyo mimi si Bavicha kama ambavyo MaCCM mnavyopenda kujirudisha nyuma umri wenu.
 
Nenda kafungue darasa ufundishe usitupigie kelele hapa
 
Ukweli mchungu, nyie ndio huwa mnapiga kelele za hoja kwa hoja, hapo sijui umeandika hoja ya kikwenu.
Nimeandika hoja ya kumhamasisha kamanda baba askofu Bagonza afikirie kuchukua fomu ya kugombea ubunge 2025 huko Kagera ili kuipa nguvu chadema. Ccm wana askofu Gwajima, chadema itakuwa na skofu Bagonza bungeni: ngoma droo!
 
Hamjielewi wacheni kelele zenu, Bagonza hajasema popote anataka jimbo, jibuni hoja zake full stop.
 
Hamjielewi wacheni kelele zenu, Bagonza hajasema popote anataka jimbo, jibuni hoja zake full stop.
Mkuu, chadema inahitaji wanasiasa wanaojenga hoja, kama Askofu Bagonza, ili kurudisha hadhi yake
 
Ni zuzu tu anayetenganisha din na siasa
Nikisikia kiongozi wa dini anajihusisha na masuala ya siasa huwa nakwazika sana.

Sana sana nafarijika napoona anahimiza waamini wajikite katika kufuata misingi yote pasipo kuvunja sheria za nchi.
 
Maaskofu wanachama wa Chadema yaani wenye political ideology ya CHADEMA, wengi akili zimefyatuka, sijasikia hata mmoja akitaja jina Yesu, wamesahau hata mwelekeo wao, wamebakia siasa kutwa kucha.

Dini na siasa, ni kama mafuta na maji, ukitaka kuzichanganya, utachangayikiwa wewe.
 
Badili avatar mkuu unainajisi image ya hiyo picha
 
Gwajiboi je?
Nikisikia kiongozi wa dini anajihusisha na masuala ya siasa huwa nakwazika sana.

Sana sana nafarijika napoona anahimiza waamini wajikite katika kufuata misingi yote pasipo kuvunja sheria za nchi.
 
Wewe na mama D mnafanana sana, kama bibi na bwana.
 
Ilisemwa ya Kaisari mpe kaisari ya Mungu mpe Mungu. Fullstop.
Fungua akili uelewe hayo maandiko! Ukiyachukua jumla jumla hivyo utapotosha!
Yesu, mitume na manabii wasijishughulisha kuwanyoosha na kuwaambia ukweli wanasiasa na watawala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…