lingamba lidodi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 964
- 1,137
Wewe utakuwa Mgogo, ndiyo maana akili yako haina kumbukumbu na inachokuamuru kuandika.Sasa wapi nimekutukana!!! Au hujui kusoma!!!
Unaweza kuachana na maneno haya ukaendelea na hoja?Sasa wapi nimekutukana!!! Au hujui kusoma!!!
Kwa jinsi ilivyokuingia naamini hutorudia tena maisha yako yotePole sana mkuu sikukusudi kukuumiza.
Muhehe pekee mjinga uliyebaki.
Unaweza kuwa unaongea na baba yako humu,kuna siku yoyote umenote baba yako kukosea, je ulimsaidia kumlala mama yako!!!!
Simply kwa sababu nafasi ya baba haina mbadala.
Niliacha Sana kutumia references za Mwalim ...mwalimu aliongoza nchi ya chama kimoja..jeshi lilikuwa la wananchi wa chama kimoja. Jeshi lilikuwa la chama kimoja...yeye mwenyewe mwalimu alipeleka wanaTANU na baadae wanaCCM jeshi ili kuli-politicise jeshi...matokeo yake ndio haya tunayaona Leo...mwalimu alituachia vingi vya hovyo(kwa ujinga wetu tumeshindwa kuvirekebisha) mfano katiba inayomtaka mkuu wa nchi kuwa mkuu wa serikali, inayomtaka rais asishtakiwe mahakamani n.k lengo lake hasa lilikuwa ni Nini???HAPPY BIRTHDAY MWALIMU JKN.
Hayati Baba wa Taifa, leo 13/4/2019 angetimiza miaka 97 ya kuzaliwa. Alizaliwa tarehe ya leo mwaka 1922. Niandike jambo moja kama kumbukizi na kumuenzi.
Mwaka 1985, wakati anastaafu, alihojiwa na chombo kimoja cha habari. Akaulizwa ataje jambo moja lililomsikitisha sana katika utawala wake, na moja lililomfurahisha sana. Alifikiri kabla ya kujibu. Na baadaye alitaja maasi ya jeshi (KAR) ya mwaka 1964. Tukio hili lilimsikitisha sana.
Akifafanua, alisema tulikuwa na miaka 3 tangu tupate uhuru. Tuliupata uhuru kwa kuwatukana sana wakoloni na mabeberu na kutangaza kuwa tunataka kuwa huru na kujitawala. Tulitumia kila aina ya lugha kuonyesha ubaya wa waingereza na majeshi yao.
Jeshi lilipoasi, Mwalimu na wenzake walitoa amri kuwataka wanajeshi waweke silaha chini lakini wanajeshi waligoma.
Ndipo baada ya siku kadhaa, Mwalimu na wenzake walilazimika kuomba msaada wa meli ya kijeshi ya Waingereza iliyokuwa Pwani ya mahali fulani. Kamanda wa meli hiyo, akitumia kipaza sauti toka melini, alitoa amri kuwataka wanajeshi walioasi waweke silaha chini na kurudi kambini Kolito. Walitii. Hili lilimsikitisha sana Mwalimu. Kuona wanajeshi wake wanatii amri ya mkoloni na kukaidi amri ya kiongozi wao mzalendo.
Masikitiko ya Mwalimu ndicho kiini cha kuvunja jeshi la KAR na kuunda JWTZ. Katika kifupi hiki cha jina la jeshi letu jipya, Mwalimu alisema, alipenda sana neno "Wananchi".
Kwa fahari kubwa, Mwalimu alipokuwa akitaja kuwa jeshi letu tangu wakati huo ni jeshi la wananchi, alionekana kuwa na furaha kubwa.
Mwalimu alituachia jeshi la Wananchi. Si jeshi la viongozi, wala la vyama, wala la awamu, wala la mtu yeyote. Ni jeshi la Wananchi.
Tukio lilomfurahisha alilitaja. Si kusudi ya kumbukizi hii. Watakaopenda kulijua, wasubiri siku nyingine.
Utaendelea kuishi Mwalimu.
Happy Birthday Mwalimu wetu Asiyestaafu.
Imeandikwa na Askofu Benson Bagonza (PhD)
Pole aana We hujui kinachoendelea kibiti ni heri ungekaa kimya.lait kama vyombo vya habari vingeruhusiwa kuripoti usingeandika ulicho andika hapa.Mbona walimzima Azory gwanda alipokwenda kuripoti.You are just arguing from ignorance.Katika mazingira hayo Askofu ina maana nchi yetu mfumo wa ulinzi hakuna Amiri Jeshi Mkuu, nafikiri tafsiri ya Jeshi la Wananchi inatafsiriwa kiholela na kupotosha umma, nchi zilizoendelea Sana Zina mifumo mingi ya usalama kabla ya Majeshi ya ulinzi.
Chukulia mfano wa matatizo ya Kibiti Jeshi la Polisi lilizidiwa na raia waliojihami kwa silaha wakiendesha ugaidi, Serikali iliongeza kasi kwa kutuma jeshi la ulinzi na likadhibiti, wakati mwingine nchi zetu Zina wasaliti wanaopanga njama sophisticated ambazo zinazidi uwezo wa Jeshi la Polisi,Serikali makini itachukua hatua mara moja bila ya kuangalia sura ya mtu au cheo chake au Chama.
Gunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Akae kimya inatosha. Kama ujumbe wapo wasemaji wa ulinzi wangelisemea. Mpaka yeye kasema ina maana hali tete! Kweli au ni siasa na mihemuko yake?Kivipi mkuu!!! Nyinyi mlitaka amkabe na kisu au mnatakaje makamanda!!!
Aisee, kwahiyo yeye kama mkuu wa jeshi mlitarajia angeongela vita wakati hatuna vita, au majukumu ya jeshi wakati wa amani yamebadilika!!!Akae kimya inatosha. Kama ujumbe wapo wasemaji wa ulinzi wangelisemea. Mpaka yeye kasema ina maana hali tete! Kweli au ni siasa na mihemuko yake?
Ukimya hua ni Jambo zuri sana kwa watu wenye busara.Kivipi mkuu!!! Nyinyi mlitaka amkabe na kisu au mnatakaje makamanda!!!