KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Mwalimu alituachia jeshi la Wananchi. Si jeshi la viongozi, wala la vyama, wala la awamu, wala la mtu yeyote. Ni jeshi la Wananchi.
Kuna hata watakaoweza diriki na kusema siku hizi hata 'wananchi' ni mali ya mtu au watu.
Kwa kuwa watu hao wamejimirikisha vifaa vyote vya kuwakandamiza wananchi, likiwemo jeshi, wananchi hawawezi tena kuwa na mamlaka juu ya watu hao; bali inabidi wajisalimishe kwa wamiriki wa vyombo hivyo vinavyokandamiza.
Hilo nalo ni wazo la kufikirisha.