Askofu Bagonza: JWTZ ni Jeshi la Wananchi, si Jeshi la Watawala wala Viongozi!

Askofu Bagonza: JWTZ ni Jeshi la Wananchi, si Jeshi la Watawala wala Viongozi!

Hapo ana maana wanajeshi ni WANANCHI na linaweza kutokea lolote
Binadamu ana maamuzi yake anapoamua yake na yako yatabaki ushauri tu
Kwa mfano nikitaka kitu ukaja na ushauri wako au maamuzi yako kwangu
Unajua kabisa muamuzi wa mwisho ni mimi na sio amri au ushauri au maneno yako.
Kama hujaelewa rudia kusoma tena na tena


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Mabeyo anachonga sana, ngumu kumtofautisha polepole . hayo mambo awaachie kina bashiru
 
Kuna watu humu wanasimuliwa yaliyopita, wengine waliyaona, kwa wale walioona pengine wanaweza kujibu hill.

Ni wakati gani JWTZ halikumlinda mwalimu Nyerere? hivi wengi wenu mnafahamu kwamba wakuu wengi wa majeshi walitokea mkoa wa Mara?

Hivi mnajua sababu ya mwalimu kufanya vile? "his security"

Sijaona tofauti yoyote ya tawala zilizopita na utawala huu katika kulitumia JWTZ.

Wakati ule jeshi letu lilishiriki pakubwa kwenye vita vya ukombozi kusini kwa afrika, wakati huu Rais analitumia jeshi letu katika kuijenga nchi.

Hakuna threat yoyote kutoka nje ya nchi wala ndani ya nchi, kuna tatizo gani kuunganisha nguvu kujenga nchi yetu
 
Huo ndiyo ukweli mchungu

Inashangaza kumwona Kamanda wetu Jenerali Mabeyo ameamua kumlinda Jiwe badala ya kuwalinda wananchi wa Tanzania, kama anavyotakiwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977
Lini na wapi wamekataa au kushindwa kulinda mipaka ya nchi mpaka useme hivyo?,au umetumwa kwa maslahi yapi sasa?
 
Katika mazingira hayo Askofu ina maana nchi yetu mfumo wa ulinzi hakuna Amiri Jeshi Mkuu, nafikiri tafsiri ya Jeshi la Wananchi inatafsiriwa kiholela na kupotosha umma, nchi zilizoendelea Sana Zina mifumo mingi ya usalama kabla ya Majeshi ya ulinzi.
Chukulia mfano wa matatizo ya Kibiti Jeshi la Polisi lilizidiwa na raia waliojihami kwa silaha wakiendesha ugaidi, Serikali iliongeza kasi kwa kutuma jeshi la ulinzi na likadhibiti, wakati mwingine nchi zetu Zina wasaliti wanaopanga njama sophisticated ambazo zinazidi uwezo wa Jeshi la Polisi,Serikali makini itachukua hatua mara moja bila ya kuangalia sura ya mtu au cheo chake au Chama.
Gunga

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano wako ni irrelevant.....yani jeshi lianze kudeal na maneno tunayotumia kuwaambia viongozi wetu pale wanapokosea? Sasa hilo ni la wananchi au viongozi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sipendi sana Maaskofu kuingilia mambo ya siasa pia.. Hii ni kumbukumbu nzuri ila naye Askofu sio kazi yake kuingilia ingilia siasa, kazi yake kuu ni kanisani na kuhubiri injili, ila hii nakubali ni reminder bora kwa viongozi wote, kama Sudan jeshi lilivyoaungana na wananchi, kwani jeshi ni la wananchi..!! Ila Baba Askofu, si kila kazi ya siasa unataka kufanya..!! Ila wamekusikia, niongezee kidogo, nachojua Jeshi la wananchi kazi yao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi, tusivamiwe kutoka nje, mambo ya ndani ya nchi, najua ni Jeshi la polisi, sasa naona kama jukumu kuu linasahaulika kidogo kidogo
Kwahiyo wakaepembeni waangalie mambo yanavyoharibika tu then baadae tukawaombe waje watusuluhishe? Kinga nibora kuliko tiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I appreciate Mwamunyange,he was best and Smart than Mobeyo....
Ok kamshike sharubu zake to justify his weakness!!! And while the process is ongoing tell him that you never appreciate him bcoz he is weak and not smart ,so with due respect ,you disqualify him for the service he's serving !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF weng n upinzan na ha2ongei fact wkt mwngn 2nasema 2 ili kuleta minyumbuko au mihemko ye2 yaan m2 akileta maada ya kuicfu serikal ana2kanwa ila akileta ya kuiponda anapongezwa sn hapo ha2tend hak kimcng 2chambue kila hoja
 
Wacha ukereketwa wa upinzani wewe askofu. Nani kasema sio jeshi la wananchi. Hao wananchi si wanamiliki hilo jeshi kupitia serikali yao.
Kuna maaskofu wanawashwa wakiona jambo lolote la ufanisi kuhusu serikali ya ccm inayoongozwa na jpm. Kikitokea kitu kuiletea sifa ccm au jpm utawasikia wakiweweseka na wakikebehi wakitegemea waomini wao kuwaamini maana wanafikiri hawana uwezo kutofautisha mambo ya kiroho na siasa.
 
Back
Top Bottom