KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Mwalimu alituachia jeshi la Wananchi. Si jeshi la viongozi, wala la vyama, wala la awamu, wala la mtu yeyote. Ni jeshi la Wananchi.
Poor EnglishOk kamshike sharubu zake to justify his weakness!!! And while the process is ongoing tell him that you never appreciate him bcoz he is weak and not smart ,so with due respect ,you disqualify him for the service he's serving !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi uliopita walisema ilikuwa zamu ya mtu wao (mlutheri), wapigakura tukapiga chini. Tangu hapo imekuwa fitna,Wacha ukereketwa wa upinzani wewe askofu. Nani kasema sio jeshi la wananchi. Hao wananchi si wanamiliki hilo jeshi kupitia serikali yao.
Kuna maaskofu wanawashwa wakiona jambo lolote la ufanisi kuhusu serikali ya ccm inayoongozwa na jpm. Kikitokea kitu kuiletea sifa ccm au jpm utawasikia wakiweweseka na wakikebehi wakitegemea waomini wao kuwaamini maana wanafikiri hawana uwezo kutofautisha mambo ya kiroho na siasa.
....labda Mabeyo sababu ya kuzidiwa na shibe ameshindwa kujua kuwa vijana wengi chini yake hawafurahii anavofanya.Huo ndiyo ukweli mchungu
Inashangaza kumwona Kamanda wetu Jenerali Mabeyo ameamua kumlinda Jiwe badala ya kuwalinda wananchi wa Tanzania, kama anavyotakiwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977
Wengine shule zao haziwasaidii wao wala jamii!Asante sana Baba Askofu, unaitenda haki Phd yako, na Uaskofu wako.
Hahaaa, mmekutana.. Inaonekana mnawezana dahHahahaha! Sindano imegusa naves. Hii inaonyesha ndivyo ulivyoishi na wazazi wako kwa kumsaidia baba yako.
Unahisi na wengine walifanya ulivyofanya wewe.
Chuma hunoa chuma, na wewe yupo mwanao atakayekusaidi maana kwa akili hii uliyonayo inaonesha unakosea sana kutimiza Majukumu yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utamfanya nini kenge wewe hadi ajichunge?unafahamu maana ya mkuu wa majeshi au unamfananisha na kumchukulia ovyo kama bwanako....labda Mabeyo sababu ya kuzidiwa na shibe ameshindwa kujua kuwa vijana wengi chini yake hawafurahii anavofanya.
ajichunge!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Itakuwa una undugu na mabeyoUtamfanya nini kenge wewe hadi ajichunge?unafahamu maana ya mkuu wa majeshi au unamfananisha na kumchukulia ovyo kama bwanako
Sent using Jamii Forums mobile app
obviously ku-debate na wewe hakuna tofauti ya prof na mtoto wa vidudu kufanya debate.Utamfanya nini kenge wewe hadi ajichunge?unafahamu maana ya mkuu wa majeshi au unamfananisha na kumchukulia ovyo kama bwanako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakujihusisha na siasa hizi uchwara hakika aliutendea haki ujenerali.I appreciate Mwamunyange,he was best and Smart than Mobeyo....
Kasukumiwee mitii hukoo...!! Sio unaongeaa ungesee hapaa...We onesha matako/mgongo wako humu uliwe,mmezidi kukashifu viongozi na serikali iliyoko madarakani,haya muanzishe nchi yenu na jeshi lenu na huyo askofu wenu muone cha moto.
Kaombe uraia wa italy uwatumikie waitaliano kama askofu wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha ukereketwa wa upinzani wewe askofu. Nani kasema sio jeshi la wananchi. Hao wananchi si wanamiliki hilo jeshi kupitia serikali yao.
Kuna maaskofu wanawashwa wakiona jambo lolote la ufanisi kuhusu serikali ya ccm inayoongozwa na jpm. Kikitokea kitu kuiletea sifa ccm au jpm utawasikia wakiweweseka na wakikebehi wakitegemea waomini wao kuwaamini maana wanafikiri hawana uwezo kutofautisha mambo ya kiroho na siasa.
THIS IS ABSOLUTELY RAPED MIND IF NOT WRETCHEDUnaweza kuwa unaongea na baba yako humu,kuna siku yoyote umenote baba yako kukosea, je ulimsaidia kumlala mama yako!!!!
Simply kwa sababu nafasi ya baba haina mbadala
Soma tenaTHIS IS ABSOLUTELY RAPED MIND IF NOT WRETCHED