Eti eh!!!. Nafasi ya baba haina mbadala katika jambo Mona tu, la kumlala mama. Zaidi ya hapo ni kuminya Uhuru wa watoto wako kutoa mawazo yao na kufubaza akili zao.
Mwamunyage ndiye strong, alimgomea jk.Kamanda kutoa matamko kuashiria kuwa wananchi kudai haki zao za kisiasa ni kutaka kuvunja amani kwa kweli ni jambo la kusikitisha sana.
Kamanda aache Siasa zifanywe na wanasiasa yeye adeal na mambo ya kijeshi tu
absolutelyHakujihusisha na siasa hizi uchwara hakika aliutendea haki ujenerali.
Unaweza kuwa unaongea na baba yako humu,kuna siku yoyote umenote baba yako kukosea, je ulimsaidia kumlala mama yako!!!!
Simply kwa sababu nafasi ya baba haina mbadala.
Yeye anauliza niko darasa la ngapi!!!maana nina hoja za kitoto, kumuweka sawa sasa ajue hata vyuoni kuna wajinga na wanazeeka pia, nikamwambia unaweza kuwa unaongea na baba yako,hivyo hoja ya darasa la ngapi ni upuuzi.Kwl nmeamna hata wajjnga wanazeeka hii kaul inadhihrisha kuwa kwl wajinga wanazeeka na ujinga wao,
maana kama unaona kuwa ww ni mtu mzma mwenye akil timamu ultakiwa kudhihrsha hlo kwa hoja za msing na ztakazofanya hyo unayemuita dgo akil kuwa hapa naongea na baba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbali na kwenda kulinda amani DRC, sudan nk, jeshi letu liko idle, na ogopa, an idle mind is a devil's workshop.Bado najiuliza kuhusu kauli ya Mabeyo sijapata majibu. Hivi kama ni kweli akiamua kuchukua hatua dhidi ya hao watu anaodai wanahatarisha amani na usalama wa nchi waliopo ndani atakuwa anatumia sheria gani? Atachukua majukumu ya Polisi na Magereza? Kwani Polisi wameshindwa kazi yao? Au anataka kuwapindua? Au atatangaza hali ya hatari? Haoni atakuwa amevunja sheria?
Nasikitika sana kwa mara ya kwanza Jeshi linataka kujitumbukiza ktk siasa, hata kipindi cha awamu ya kwanza wakati chama kimoja kilipokuwa pia Jeshini haikuwa hivi lengo lilikuwa ni kutengeneza uzalendo tu kwa wanajeshi, lakini Jeshi kama Jeshi lilifanya majukumu yake kwa kujibu wa sheria, sembuse leo hii wakati wa vyama vingi?
Tunaenda wapi huku, my country Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi sipendi sana Maaskofu kuingilia mambo ya siasa pia.. Hii ni kumbukumbu nzuri ila naye Askofu sio kazi yake kuingilia ingilia siasa, kazi yake kuu ni kanisani na kuhubiri injili, ila hii nakubali ni reminder bora kwa viongozi wote, kama Sudan jeshi lilivyoaungana na wananchi, kwani jeshi ni la wananchi..!! Ila Baba Askofu, si kila kazi ya siasa unataka kufanya..!! Ila wamekusikia, niongezee kidogo, nachojua Jeshi la wananchi kazi yao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi, tusivamiwe kutoka nje, mambo ya ndani ya nchi, najua ni Jeshi la polisi, sasa naona kama jukumu kuu linasahaulika kidogo kidogo