Pre GE2025 Askofu Bagonza: Kanisa likijenga Shule ama Hospitali halihojiwi na Serikali, lakini likihoji mbona dawa hakuna linaambiwa lisichanganye dini na siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kagame sio wa kumtolea mfano wa Viongozi bora ni Mkabila sana ameshatangaza kuwa atagombea tena Urais mwakani..
Kaandaa mkutano mkuu wa FIFA nchini mwake mwaka jana, unajua mkutano ule unaiingizia mangapi Rwanda?.

Jina Rwanda lipo katika jezi ya PSG, Neymar na Messi walishawahi kuvaa jezi ya timu hiyo, unajua ni mangapi yanayoendelea kuingia Rwanda kwa kudhamini timu za ligi kuu za Ulaya?.

Tanzania kila mtu anaandika riwaya kwa simu yake kwenye mtandao wa whatsapp, kila mtu anadhani anajua kila kitu.

Maaskofu wanatumia ombwe lililopo na linalotokana na ujinga wa halaiki, ule ule aliousema marehemu Profesa Chachage.
 
Hahahaaa, sasa anapompa kaisari anayostahili mbona anasakamwa? Au wewe umeelewa kuwa wapo watu maalumu wa kumpa kaisari na wapo wengine maalum wa kumpa Mungu?
 
Kagame sio wa kumtolea mfano wa Viongozi bora ni Mkabila sana ameshatangaza kuwa atagombea tena Urais mwakani..
What is wrong kama watu wake kupitia katiba yao inamruhusu? Waachwe wanyarwanda waamue wenyewe nani awatawale!! He is a benevolent dictator which his better for Rwanda than other options!
 
What is wrong kama watu wake kupitia katiba yao inamruhusu? Waachwe wanyarwanda waamue wenyewe nani awatawale!! He is a benevolent dictator which his better for Rwanda than other options!
Sawa Mkuu katiba yenu inaruhusu wacha nijadili mafuta ya Tanzania.
 
Umesoma ila hujaelewa,rudia kusoma mara nyingi zaidi utamuelewa Askofu Bagonza, otherwise shuleni ulienda kusomea ujinga
 
Mpotoshaji mkubwa, si umuulize Katekista maana ya fungu Hilo kuliko kubwabwaja?
 
CCM imefilisika ndo maana inaokoteza vikongwe kuwapa vyeo vya juu
 
Mbona Gwajima mpo naye huko CCM lakini hamsemi aache madhabahu? Au akiwa anaiunga mkono CCM hana haja ya kutoka nje ya madhabahu lakini akihoji Serikali anatakiwa aachane na madhabahu Kwa sababu ni kuchanganya Dini na siasa? Hivi hamwonagi aibu kutetea ujinga?
 
Uko kwenye blanket ww
 
Sio kwamba Askofu anatamani siasa, bali wewe na watu wa namna yako, ama ni watu wanafiki au mmekosa uelewa wa maana ya siasa.
 
Kuelewa maandiko matakatifu ni kazi sana ndugu yangu.hoja imekaa vzr sana kutoka kwa Askofu Bagonza isipokuwa watu Wana uwezo mdogo sana wa kuelewa.
 
Acha kula ugoro sio mzuri kwa afya ya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…