Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Kaandaa mkutano mkuu wa FIFA nchini mwake mwaka jana, unajua mkutano ule unaiingizia mangapi Rwanda?.Kagame sio wa kumtolea mfano wa Viongozi bora ni Mkabila sana ameshatangaza kuwa atagombea tena Urais mwakani..
Jina Rwanda lipo katika jezi ya PSG, Neymar na Messi walishawahi kuvaa jezi ya timu hiyo, unajua ni mangapi yanayoendelea kuingia Rwanda kwa kudhamini timu za ligi kuu za Ulaya?.
Tanzania kila mtu anaandika riwaya kwa simu yake kwenye mtandao wa whatsapp, kila mtu anadhani anajua kila kitu.
Maaskofu wanatumia ombwe lililopo na linalotokana na ujinga wa halaiki, ule ule aliousema marehemu Profesa Chachage.